..Mabondia wanawekwa katika makundi mawili.
Orthodox.
Mguu wa kushoto, na Mkono wa kushoto, vinatangulia. Anatupa jab na mkono wa kushoto.
Southpaw.
Mguu wa kulia, na mkono wa kulia, vinatangulia. Anatupa jab na mkono wa kulia.
..Sasa wako mabondia tactician kwelikweli ambao katikakati ya game anaweza kujibadilisha toka Orthodox, au Southpaw, ili kumzingua mpinzani wake.
..TUNDU LISSU angekuwa bondia basi tungemuweka katika kundi la kipekee kwamba hatabiriki. Kwamba anaweza kupigana kama Orthodox, au Southpaw, katika viwango vilevile.