Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Una ufala kichwani siyo bure.Ulishasikia wapi Tume huru ndiye inayopiga kura?
Wananchi ndio wapigaji kura.
Sasa kwa hizi mbinu na mikakati ya CHADEMA wakiongozwa na Mamluki na vibaraka na mawakala wa Kibeberu, za kuigawanya Tanzania na Wananchi wake...
...CHADEMA hata ikiwaita Wanachama wake wote, haitashinda uchaguzi.
Huo ndio Ukweli.
====
Narudia alichokisema...Tundu hawezi kuwa tishio kwenye sanduku la kura.
Nasema, Tundu ni Tishio kwa Usalama wa Kitaifa na Uhuru wake(He is a threat to our Sovereignty)
Hatahivyo, hoja zenu za kwamba Tume sio huru, hazina mashiko.
UMEKAA UNATYPE MANENO MENGI UKIDHANIA UNAANDIKA POINT KUMBE HUJUI LOLOTE,,,Ulishasikia wapi Tume huru ndiye inayopiga kura?
Wananchi ndio wapigaji kura.
Sasa kwa hizi mbinu na mikakati ya CHADEMA wakiongozwa na Mamluki na vibaraka na mawakala wa Kibeberu, za kuigawanya Tanzania na Wananchi wake...
...CHADEMA hata ikiwaita Wanachama wake wote, haitashinda uchaguzi.
Huo ndio Ukweli.
====
Narudia alichokisema...Tundu hawezi kuwa tishio kwenye sanduku la kura.
Nasema, Tundu ni Tishio kwa Usalama wa Kitaifa na Uhuru wake(He is a threat to our Sovereignty)
Hatahivyo, hoja zenu za kwamba Tume sio huru, hazina mashik
Una ufala kichwani siyo bure.
Unapambana na mtu umemfunga miguu na mikono ?! Halafu ulete tambo hapa. Weka tume isiyoamriwa na moja wa wagombea. Uone kama Ccm itambulia nini !
Itakuwa kitovu chake kinawashaHaina hii ya wazee , wapo na mchango mdogo kwa Taifa, wazee wa kwenda na upepo wa kisiasa
Nzima huyu haioni kuna Cha maana kwenye hii kesi hata asiyejua Sheria,anashangaa!“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.
Hoja zako ni za usingizini!Ulishasikia wapi Tume huru ndiye inayopiga kura?
Wananchi ndio wapigaji kura.
Sasa kwa hizi mbinu na mikakati ya CHADEMA wakiongozwa na Mamluki na vibaraka na mawakala wa Kibeberu, za kuigawanya Tanzania na Wananchi wake...
...CHADEMA hata ikiwaita Wanachama wake wote, haitashinda uchaguzi.
Huo ndio Ukweli.
====
Narudia alichokisema...Tundu hawezi kuwa tishio kwenye sanduku la kura.
Nasema, Tundu ni Tishio kwa Usalama wa Kitaifa na Uhuru wake(He is a threat to our Sovereignty)
Hatahivyo, hoja zenu za kwamba Tume sio huru, hazina mashiko.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮Ulishasikia wapi Tume huru ndiye inayopiga kura?
Wananchi ndio wapigaji kura.
Sasa kwa hizi mbinu na mikakati ya CHADEMA wakiongozwa na Mamluki na vibaraka na mawakala wa Kibeberu, za kuigawanya Tanzania na Wananchi wake...
...CHADEMA hata ikiwaita Wanachama wake wote, haitashinda uchaguzi.
Huo ndio Ukweli.
====
Narudia alichokisema...Tundu hawezi kuwa tishio kwenye sanduku la kura.
Nasema, Tundu ni Tishio kwa Usalama wa Kitaifa na Uhuru wake(He is a threat to our Sovereignty)
Hatahivyo, hoja zenu za kwamba Tume sio huru, hazina mashiko.
Kama ulikuwepo kwenye kichwa changu, Huyu ni chawa 100%UMEKAA UNATYPE MANENO MENGI UKIDHANIA UNAANDIKA POINT KUMBE HUJUI LOLOTE,,,
Jua lishawaka kaanike nguo ulizolewa nazo pombe jana
Kuna hoja anayo ila inabidi uangalifu namna ya kuifafanua“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.
Huenda ni msomi kabisa unaheshimika kwa mawazo chanya na busara ila umeshindwa kuelewa tu kuwa nchi hii haijawahi kuwa na sheria zinzompa kila mgombea haki sawa katika kutafuta nafasi ya uraisi.Laigwanaan Tumdu hajawahi kuwa tishio katika sanduku la Kura
Ni tishio kwa Usalama wa Taifa huru la Watanzania.
Tundu sio Tishio kwa CCM ama wagombea wake.
Baada ya ku-realise kuwa upinzani kushinda ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano, huyu mwamba aka-repent, na kujiunga na GOLIATH, sasa aanakula kuku kwa mrija
Kafuata Utawala wa KIIMLA ambao utaenda kuangushwa na Uchaguzi HURU na wa HAKI.Baada ya ku-realise kuwa upinzani kushinda ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano, huyu mwamba aka-repent, na kujiunga na GOLIATH, sasa aanakula kuku kwa mrija
Maonyesho ya kushindana kupata wajinga zaidi!Tishio kwenye sanduku la kura, kwani Tanzania kuna uchaguzi au kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
Tatizo ni Samia mwenyewe anamuhofia sana Lissu, aliwekeza hela nyingi sana kumzuia asiwe mwenyekiti Chadema akashindwa sasa ndiyo kaamua kutumia Polisi na Mahakama kumuweka kizuizini, anaujua mziki wa Lissu saa nne tu chali.“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.
Saa nne tu mtu anarudi kizimkazi, Samia kwenye uchaguzi huru na wa haki hamuwezi Lissu tena ataaibika sana na analijua hili ndiyo maana maetumia polisi na mahakama kumuweka kizuizini kinyume cha sheria za nchi.Safi kabisa. Lissu siyo tishio. Basi na wakubali Reforms. Twende dakika 90 Maza vs Simba:
Lucas Mwashambwa, njinjo, Tlaatlaah, imhotep na wale wengine.
Tushuhidie nani atapigika kama ngoma.
Kwa hoja!
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.View attachment 3349998View attachment 3349999View attachment 3350003View attachment 3350004
Sasa wewe na hawo viongozi wako na waliokuwa wanajeshi ni nani mkweli?