PreGE2025 Ole Sendeka: Natamani Tundu Lissu atoke gerezani aje ashindane na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtaendelea kusikitika sana. This time no bussness as usual
 
Mmesikia sehemu yoyote Mzee Ole Sendeka huyu Shemeji yangu akitaja kuhusu Tume Huru na Udukuzi wa maboxi ya kura?
 
Wewe hakuna kitu chochote unajua.
 
Kaongea kwa code mzee Sendeka. Wahafidhina wameona kuendelea kumshikilia TAL kunazidi kuchafua kisima wanachochota maji. Siku si nyingi ataachiwa mwenyekiti wa chadomo.
 
Lissu anajua fika ataaibika ndiyo maana anaharibu mikutano yake makusudi. Inamshinda nini kuendesha mikutano kiustaarabu bila matusi, uzushi, uchochezi, uropokaji, upotoshaji. Angemwaga tu sera zake aendeshe siasa safi tuone mchuano. Wanajua hawawezi kushinda njia halali, wanataka walete vurugu labda pengine mataifa ya nje yaingilie, bahati mbaya CCM ni maprofesa wa siasa siyo kwamba hawawezi kutukana ni kwamba wanajua siasa.
 
huyu laigwanan ni Ngugi wa Thiong`o mimi nimemwelewa sana
 
..Lissu atambwaga Samia ikiwa Tume itakuwa Huru, na Uchaguzi utakuwa wa haki.

..katika mchezo wa ngumi Tundu Lissu ni sawa na bondia anayeweza kupigana kama Southpaw, na Orthodox. Yaani ni bondia aliyekamilika.
 
Buree kabisaa
 
Sasa wewe tatizo lako ni nini, akili kupinda?
Hubiri uwepo wa mazingira huru na haki wakati wa uchaguzi. Hilo pekee ndilo la muhimu.
 
Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.
Ili mtuuue na kutupa kesi zisizo na dhamana
 
Leo umetumia lugha ngumu.
Hawa "mabondia" sijawahi kuwasikia!

Lakini ninakubaliana na maudhui ya hoja.

..Mabondia wanawekwa katika makundi mawili.

Orthodox.

Mguu wa kushoto, na Mkono wa kushoto, vinatangulia. Anatupa jab na mkono wa kushoto.

Southpaw.

Mguu wa kulia, na mkono wa kulia, vinatangulia. Anatupa jab na mkono wa kulia.

..Sasa wako mabondia tactician kwelikweli ambao katikakati ya game anaweza kujibadilisha toka Orthodox, au Southpaw, ili kumzingua mpinzani wake.

..TUNDU LISSU angekuwa bondia basi tungemuweka katika kundi la kipekee kwamba hatabiriki. Kwamba anaweza kupigana kama Orthodox, au Southpaw, katika viwango vilevile.
 
Dah!
Umeeleweka barabara.
 
Sasa wewe tatizo lako ni nini, akili kupinda?
Hubiri uwepo wa mazingira huru na haki wakati wa uchaguzi. Hilo pekee ndilo la muhimu.
Usinipangie cha kusema wewe. Koma kabisa.

Haramia la Kikenge

Nani alikuambia akili kupinda ni tatizo?

Hii ni akili kubwa, na ndio maana unahangaika na kuweweseka na kila ninalo bandika.

Koma. Kawahubirie mamluki wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…