johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Mwalimu Tulia anajua baadhi ya sheria hufutwa kwa sheria mpya siyo vifunguTatizo lipo katika uwasilishaji wa hicho mbunge anachotumwa na kuwa na vielelezo vyote sahihi vya suala husika.
Alipewa muda wa kutosha na hata angepewa saa nzima bado asingeweza kujieleza vyema kwani vifungu vya sheria havikuwemo kati ya makaratasi yake.
Naibu waziri alijibu kwa hasira kwani alichukulia kama vile serikali inataka kuwaonea wamasai wakati eneo la hifadhi halina watu.
Kuna suala la kizalendo linafanywa na serikali tatizo la watanzania siku zote ni tafsiri potofu kuenezwa kwa haraka kuliko zile sahihi.
Hilo suala kizalendo linalofanywa na serikali lifafanue hapa. Tunayosikia ni kwamba:Alipewa muda wa kutosha na hata angepewa saa nzima bado asingeweza kujieleza vyema kwani vifungu vya sheria havikuwemo kati ya makaratasi yake.
Naibu waziri alijibu kwa hasira kwani alichukulia kama vile serikali inataka kuwaonea wamasai wakati eneo la hifadhi halina watu.
Kuna suala la kizalendo linafanywa na serikali tatizo la watanzania siku zote ni tafsiri potofu kuenezwa kwa haraka kuliko zile sahihi.
Ardhi ipo Handeni na ni yenye rutuba na fidia wanalipwa na wanakutana na nyumba zilizojengwa tayari.Mwalimu Tulia anajua baadhi ya sheria hufutwa kwa sheria mpya siyo vifungu
Ndio sababu alimuwahi Ole sendeka kabla hajamwaga mboga!
Angekuwa Zitto Kabwe angekomaa naye hadi mwisho kama Buzwagi
Usichanganye madesaArdhi ipo Handeni na ni yenye rutuba na fidia wanalipwa na wanakutana na nyumba zilizojengwa tayari.
Wenye akili wameona kubishana na serikali hakuna maana yoyote.