Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washavuta za Royal tour ni wakati sasa wa kulipa deni. Demu keshakunywa nia za watu ni wakati wa kulipasure maana CCM haitaki kuwaona wamasai
Naona ile pride ya mimi Mmasai wa Arusha inaenda kuftika. Serikali inawapeleka Handeni kwa Wazigua.
Yaani wilaya nne zigeuzwe mapori ili waarabu wawinde na kusafirisha wanyama wetu bila bughudha!! Na watu wanakuja na justification!!! Kweli rushwa inapofusha macho, hata hao waarabu wanatuna sisi manyani kweli
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba.
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana.
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba.
Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai.
Naona kila comment unajaribu kuingiza uvyama ili kulazimisha hoja yako iungwe mkono na wanaharakati uchwara, lkn kinachofurahisha wengi wanakupuuza, na kuzipita comments zako kimya kimya kama hawazioni. Ni kwa vile haujui tu kwamb watu wote humu washafaham kama wewe ni mchunga ng'ombe wa Kenya, unaetaka kubaki katika ardhi yetu kwa masilahi ya mabwanyenye wa nchi yako. Shame on you.Ukweli CCM inataka kuwafuta wa masai asee
Wacha wakulane menyewe ,CCM kwa CCm yetu macho!Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba.
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana.
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba.
Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai.
Hatari snWashavuta za Royal tour ni wakati sasa wa kulipa deni. Demu keshakunywa nia za watu ni wakati wa kulipa
..Spika anamkatisha-katisha mchangiaji Mh.Ole Sendeka na hampi muda wa kujenga hoja yake.
Majirani wanatuibia tangu tukiwa watoto na kibaya zaidi wakishafanya hivyo wanaongea maneno ya dharau dhidi yetu.Hao wamasai wakiwa tanzania wanajiita watanzania..wakiwa kenya wanajiita wakenya,na kenya wanajifanya wajanja wakatimwingine kuzuia watarii wanaokuja tanzania...sasa sisi tunawahamishia.wamasai.wetu pwani .halafu kule tunaweka mpaka imala kabisa kwenye mipaka yetu ya hifadhi kati yetu nakenya...
Mzungu.akitaka kuona mmasai wa tanzania aje tanzania kweli na akitaka kuona mmasai wa kenya abaki kenya...
Hizo njia za ushirika wa hifadhi nakenya ndio.njia zinazosafirisha madini yetu,tembo.wetu na mambo mengine...
Spika amemuacha aongee mpaka mwisho halafu akaombwa asome tafsiri ya sheria iliyoandikwa katika makaratasi aliyoingia nayo bungeni, Ole sendeka akashindwa na kuishia kufuta hoja yake!...hatuna utamaduni wa kusikiliza hoja mpaka mwisho bila kumkatisha-katisha mchangiaji.
..mimi nimeona kuna kitu alichokuwa nacho Ole Sendeka lakini kwasababu ya kusakamwa na Spika ameshindwa kuchangia na hoja yake kueleweka.
..kuna pande mbili zinazokinzana. Kwa hiyo, Ole Sendeka ametumwa, na wanaompinga nao wametumwa.Ole sendeka ametumwa na watu kutoka nje na hakujiandaa, hakuingia akiwa amekamilika akaishia kufuta hiyo hoja yake.
Kuna tafsiri potofu ya kinachofanywa na serikali kutoka kwa wanaharakati na haiwezi kuwasaidia wao na wale wanaofikiwa na hiyo tafsiri, haiwasaidii chochote.
Spika amemuacha aongee mpaka mwisho halafu akaombwa asome tafsiri ya sheria iliyoandikwa katika makaratasi aliyoingia nayo bungeni, Ole sendeka akashindwa na kuishia kufuta hoja yake!.
Unajaribu kumpaka matope Dr Tulia lakini anayo substance pana sana akiwa ni spika mwanasheria.
Bwashee mule bungeni hakuna asiyetumwaOle sendeka ametumwa na watu kutoka nje na hakujiandaa, hakuingia akiwa amekamilika akaishia kufuta hiyo hoja yake.
Kuna tafsiri potofu ya kinachofanywa na serikali kutoka kwa wanaharakati na haiwezi kuwasaidia wao na wale wanaofikiwa na hiyo tafsiri, haiwasaidii chochote.
Alipewa muda wa kutosha na hata angepewa saa nzima bado asingeweza kujieleza vyema kwani vifungu vya sheria havikuwemo kati ya makaratasi yake...Spika alikuwa anamlazimisha Ole Sendeka asome vifungu vya sheria vile anavyotoka yeye Spika.
..Kwa maoni yangu Ole Sendeka alitakiwa apewe nafasi kusoma vifungu vya sheria vile ambavyo yeye alikuwa amejiandaa kwa hoja yake.
..Naamini mchangiaji yeyote mle bungeni hatakiwi kukatishwa-katishwa kama ialivyofanyiwa Ole Sendeka.
..Hata kitendo cha kumpa TAARIFA mbunge wakati akichangia nakiona ni bugudha. Huo ndio mtizamo wangu.
Tatizo lipo katika uwasilishaji wa hicho mbunge anachotumwa na kuwa na vielelezo vyote sahihi vya suala husika.Bwashee mule bungeni hakuna asiyetumwa