Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa
Sipendi upuuzi mimi
Kwa hatua waliyofikia watanzania hamuwezi fanya lolote. Mlifanya makosa sana kumpiga risasi mkifikiri mmemmaliza. Haya ndo matokeo ya kutumia nguvu badala ya akili.
Pambaneni na Lissu mliyemjenga wenyewe. Na si utani huyu mtu anapendwa kweli
The army can’t defeat people ndugu. Huwezi vunja miguu au kupiga risasi watu 2000. Hakuna anayeweza kufanya hivyo na hata waliojaribu hawakufanikiwa
Wewe endelea kuota,undhani wote waliomo humu ni wakulima wa simiyu? ,sina muda wa kukuaminisha Mimi ni nani na sihitaji unijue,ila jichanganyeni kesho ndo mtakijua kilichomzui kuku kukojoa
Bora ungekubali mkulima wa Simiyu kuliko hiyo kazi unayojimwambafai ni vile hujui wakulima wanapata nini na wewe unapata nini ..Wewe endelea kuota,undhani wote waliomo humu ni wakulima wa simiyu? ,sina muda wa kukuaminisha Mimi ni nani na sihitaji unijue,ila jichanganyeni kesho ndo mtakijua kilichomzui kuku kukojoa
Hapa ndipo mnapojitafutia matatizo kwa Serikali yetu ya kidikteta harafu mnaanza kulalamika baadaye.Kwani wakienda watu wachache kumpokea Airport kinyakimya mtapungukiwa na nini?Acha upotoshaji wewe. Kumpokea mpendwa wetu kuna husiana vipi na msiba? Wewe hujawahi kumpokea mpendwa wako airport? Acha mikwara mbuzi.
Hata Irak ilikuwa sovereignty lakini kutokana na uminywaji wa haki za binadamu na uhuru wa habari, Saddam Hussein yalimkuta yaliyomkuta.Tatizo wafuasi wa chadema huwa nadhindwa kuelewa ilimu zenu ni za kiwango gani,unajua màana ya neno Tanzania is a sovereignty state,?
Ongeza nguo povu la kutoshaHakutakuwa na mikusanyiko yoyote,msubirini huyo mhuni wenu afike nyumbani mkamsalimie kwake sio kufanya mikusanyiko iliyopigwa marufuku,nawambia kesho maji mtayaita mma.
Eti lissu ,mtu mmoja hawezi leta karaha kwa raia milioni 50,tena ole wenu na huo waraka wenu sijui wa umoja wa mataifa au umoja wa facebook
Hapa ndipo mnapojitafutia matatizo kwa Serikali yetu ya kidikteta harafu mnaanza kulalamika baadaye.Kwani wakienda watu wachache kumpokea Airport kinyakimya mtapungukiwa na nini?
Wajinga hawa. Lissu tunampokea kwa amani tena kishujaa sana leo. Watupige risasi wote kama vipi
Vyovyote vile, Lisse tunampokea kishujaa tena kwa amani, watanzania wanaona na dunia inaona. Kama mnaweza tupigeni risasi woteWaambie wamkumbe Akwilina tu watapata majibu na jifanyen mpendwa wenu hivyohivyo dunian hkn mpendwa watu wanafanya watakula mkiwa na akili mtatafakar wale wote mliopanga kumpokea mpendwa wenu ila mkumbuke mkiwa na furaha wenzenu wanahuzuni
Kwanza Mwinyi Zanzibar alipokewa kimyakimya?Hapa ndipo mnapojitafutia matatizo kwa Serikali yetu ya kidikteta harafu mnaanza kulalamika baadaye.Kwani wakienda watu wachache kumpokea Airport kinyakimya mtapungukiwa na nini?