Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 338
- 397
Dah nimesikia hata kifo chake kilisababishwa na mambo ya kisiasa, alikuwa anaumwa lakini alinyimwa ruhusa ya kwenda kutibiwa nnje ya nchi kwa sababu tu za kisiasaNilichompenda sio mziki Bali maisha yanahitaji ubunifu, jamaa kamaliza degree ya engineering kafa mwanamziki
Aiseee ni kweli hii?Dah nimesikia hata kifo chake kilisababishwa na mambo ya kisiasa, alikuwa anaumwa lakini alinyimwa ruhusa ya kwenda kutibiwa nnje ya nchi kwa sababu tu za kisiasa
Una mix sasa hiyo! Ila yenyewe ni nyimbo kabisa ipo kwenye hii albumNinayo, napenda nyimbo za kiafrika..
Ila ni nyimbo ambayo ni IPO miongoni , ni audio ya dk 13 yenye nyimbo ya awana ndani yake.
Ni zouk remix ya hii nyimboNinayo, napenda nyimbo za kiafrika..
Ila ni nyimbo ambayo ni IPO miongoni , ni audio ya dk 13 yenye nyimbo ya awana ndani yake.
Unayo?Nimeipata! Ni nzuri.