Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ndio uhuru wao haupaswi kuingiliwa kama vile uhuru wa malaya na walevi haupaswi kuingiliwa.Si umesema tusiwaingilie uhuru wao
Na maovu yao yawe hadharani kama walevi ma malaya
Ndio uhuru wao haupaswi kuingiliwa kama vile uhuru wa malaya na walevi haupaswi kuingiliwa.
Lakini kufanya hadharani matendo yao na kama hawaku ruhusiwa kufanya hivyo katika sehemu fulani au nchi fulani basi hapo itabidi wadhibitiwe.
Maana na wao watakuwa wameingilia uhuru wa wasiopenda tabia zao.
Yote ni ku promote ushogaKwa ujumla hii habari ndyo imeshika kasi duniani, watu wengi wamechukizwa na hiki kitendo
Siwatetei.Hebu tuweke wazi wewe unawatetea mashoga au hauwatetei?
Maana naona una maneno mengi sana
Yote ni ku promote ushoga
Siwatetei.
Ni mtihani mkuu aiseeNa humu JF kuna wanaounga mkono huo ushoga
Wanasema sisi tunaokosoa tunajipendekeza
Nimechoka mkuu!
Ni mtihani mkuu aisee
Wengine wapo tayari kukemea dini lakini sio kukemea mapungaNa humu JF kuna wanaounga mkono huo ushoga
Wanasema sisi tunaokosoa tunajipendekeza
Nimechoka mkuu!
Wengine wapo tayari kukemea dini lakini sio kukemea mapunga
Heheheee, mwamposa akikusikia atakushangaa sana.Dini imewahi kukuletea ugali mezani?
KAZI ni kipimo cha UTU
Maisha siyo magumu kiivyo, alafu ukute ni shabiki wa Man UHabarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Sasa hivyo vinahusiana vipi hapo na Ukristo?Point ni vitendo vya kishoga
Na tukio huru wala halina uhusiano na Ukristo.Tatzo sio namba ya watu, tatzo ni kutumia hao mapunga kuigiza au kufananisha tukio hilo
Mzungu akuletee dini halafu wewe ndo unaanza kumpa “lecture” kuhusu hiyo dini?!😀Habarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Hili jibu ni Oversize 🙌Hao watu kama wamefanya makufuru mbele ya Mungu yeye ndiye atajua jinsi ya kuwahukumu.
Wewe pambana na dhambi zako.
Hizo ni hoja za kitoto na za kiburi cha uzima. Nilishatoka huko mkuu.Kama huyo Mungu yupo kwa nini uhangaike kumuongelea na kumuelezea?
Kwa nini asije mwenyewe ajidhihirishe na kujiongelea?
Huoni kwamba unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule?
Huyo Mungu kama yupo ajiongelee mwenyewe sio ninyi kuja hapa JF kufungua nyuzi za kumwelezea.
Halafu hamtaki tumkosoe, ilhali hamna hata uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.
Huoni kwamba unahangaika kutetea uongo wako uwe kweli?
Thibitisha uwepo wa huyo mungu.
Upinde ni dini pia.Dini imewahi kukuletea ugali mezani?
KAZI ni kipimo cha UTU