Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Si umesema tusiwaingilie uhuru wao

Na maovu yao yawe hadharani kama walevi ma malaya
Ndio uhuru wao haupaswi kuingiliwa kama vile uhuru wa malaya na walevi haupaswi kuingiliwa.

Lakini kufanya hadharani matendo yao na kama hawaku ruhusiwa kufanya hivyo katika sehemu fulani au nchi fulani basi hapo itabidi wadhibitiwe.

Maana na wao watakuwa wameingilia uhuru wa wasiopenda tabia zao.
 
Hebu tuweke wazi wewe unawatetea mashoga au hauwatetei?

Maana naona una maneno mengi sana
 
walianza kukataz nikab wakafata mashung na kufunika nywele kwa mabint wa kiislam tukapga kelel tukaambiw kwa dhihaka na wa kristo kua tamadun zao wafaransa sio wa kristo wqislam warud miji yao wavae hijab kwa uhuru sas wamehamia kwa wa kristo mtulie tu daw iingie wafaransa washenz
 
Habarini waumini..

Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.

Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).

View attachment 3053686

View attachment 3053713

Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.

View attachment 3053699

Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.

Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Maisha siyo magumu kiivyo, alafu ukute ni shabiki wa Man U
 
Mzungu akuletee dini halafu wewe ndo unaanza kumpa “lecture” kuhusu hiyo dini?!😀

Miafrika ndivyo tulivyo.

Hata mafundi wa magari bongo utadhani wenyewe ndo waliyaunda.
 
Ni Uislam tu ndio umebaki na misingi yake madhubuti. Na ni katika Uislam tu ndio Mitume wa Allah (Amani iwe juu yao wote) ikiwemo Yesu wanapewa heshima yao. Ni Uislam tu ndio umebaki na maadili yake na ndio unaolinda maadili kiukweli.
 
Kama huyo Mungu yupo kwa nini uhangaike kumuongelea na kumuelezea?

Kwa nini asije mwenyewe ajidhihirishe na kujiongelea?

Huoni kwamba unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule?

Huyo Mungu kama yupo ajiongelee mwenyewe sio ninyi kuja hapa JF kufungua nyuzi za kumwelezea.

Halafu hamtaki tumkosoe, ilhali hamna hata uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Huoni kwamba unahangaika kutetea uongo wako uwe kweli?

Thibitisha uwepo wa huyo mungu.
Hizo ni hoja za kitoto na za kiburi cha uzima. Nilishatoka huko mkuu.
 
Back
Top Bottom