Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Mimi sijatoa hukumu kwao, ila sijapenda hayo maudhui.
Hilo la kwanza sijajua limedhalilishaje Ukristu, sana sana limeutukuza. Maigizo ya mateso ya Kristu huwa tunayafanya sana na yana baraka zote, tena sio za kufichaficha.

Kuhusu kichwa, sijajua dhamira zao so siwezi kutoa hitimisho, yawezekana kuna link na historia ya Olympiki au mwenyeji wa michezo hiyo, kama zilivyo olympic rings
 

MK254 huyu ndugu na wale watani zako tofauti haipo au vipi?

Brain washee ni brain washee tu; siyo dini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…