Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Sio Balaa ni BAALbasi hiyo ya Balaa' wanaitaka wataenda nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Balaa ni BAALbasi hiyo ya Balaa' wanaitaka wataenda nayo.
Ndiyo Ukweli.....Hao watu kama wamefanya makufuru mbele ya Mungu yeye ndiye atajua jinsi ya kuwahukumu.
Wewe pambana na dhambi zako.
Ibilisi ndio nini,??Ibilisi
BaphometIbilisi ndio nini,??
ExactlyWa Wadudu Wa Arusha.....
Msabato ni msabato au wewe sio msabatoSawa, nani ni Msabato?
Mimi sio MsabatoMsabato ni msabato au wewe sio msabato
Sasa mbona una tabia za kisabato?Mimi sio Msabato
Sana yaanii..!!Ila kuna watu mna complicate maisha aisee dah
Tabia zipi hizo za Kisabato, hembu niambie MkuuSasa mbona una tabia za kisabato?
Hilo la kwanza sijajua limedhalilishaje Ukristu, sana sana limeutukuza. Maigizo ya mateso ya Kristu huwa tunayafanya sana na yana baraka zote, tena sio za kufichaficha.Mimi sijatoa hukumu kwao, ila sijapenda hayo maudhui.
Una uhakika wazungu ndo wameleta dini africa??Mwanetu punguza kuvuta unachovuta. Utakuja kufa siku si zako. Dini, dini fyoko fyoko.....hao wazungu ndio wamekuletea dini yenyewe we unabweka bweka hapa.
Maigizo yanayo fanywa na mashoga ni kuutukuza ukristo?Hilo la kwanza sijajua limedhalilishaje Ukristu, sana sana limeutukuza. Maigizo ya mateso ya Kristu huwa tunayafanya sana na yana baraka zote, tena sio za kufichaficha.
Asili gani mkuu, kuabudu ancestors?? Babu wa kale waliokufa miaka buku iliyopita?? Kwann usirudi mwenyew ukaabudu hao mababu zakoRudi kwenye asili yako na achana na hizo dini za kuletewa.
Hizo za kufananisha kila picha na Alama za kanisaTabia zipi hizo za Kisabato, hembu niambie Mkuu
Tatzo sio picha, bali ni maudhui ambayo picha hiyo imebebaHizo za kufananisha kila picha na Alama za kanisa
Habarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Kati ya mimi au wewe ni nani amekuwa Brainwashed?MK254 huyu ndugu na wale watani zako tofauti haipo au vipi?
Brain washee ni brain washee tu; siyo dini!
Kati ya mimi au wewe ni nani amekuwa Brainwashed?
Kumbe wameleta babu zako toka Ruangwa?Una uhakika wazungu ndo wameleta dini africa??