Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

By the way Sean Paul Christianity was present in africa 1400years before colonialism.
 
Hayo maudhui yalikuwapo kwa Wagiriki na Wa Misri wa kale kabla ya Ukristo.

Ukristo unajimwambafy tu kujimilikisha kila kitu.

Pia, watu wengi hawajui historia.
 
Maigizo yanayo fanywa na mashoga ni kuutukuza ukristo?
Unaweza usiwe shoga ukawa mwizi, mzinzi au msengenyaji kama hivi. Lakini mbele ya uso wa Mungu hao wote ni watoto wake, anawapa neema ya kitubio ili warudi kwake. Ni ajabu kushikia bango ushoga huku unaishi na wanawake bila ndoa, unamwibia boss, unashindia uongo nk

Ingekuwa dhambi ndio kigezo cha kuwatenga watu, Yesu asingekuwa karibu na Mathayo Lawi, Maria Magdalena au yule mwanamke aliyeletwa mbele yake kwa kukamatwa katika uzinzi
 
Where did I insult you?
Asking if your forefathers brought religion isn't an insult at all. Tell me then, who brought religion if not the whites?
 
Wote hatujakamilika, lakini sio sawa kuonyesha hadharani vitendo hivyo hasa kuhusisha mambo ya kiimani
 
Kwasisi waislam haibadilishwi ndio maana tumepewa majina mpaka kuitwa magaidi Kisa tu mosimamo thabiti juu ya Imani na hatuwezi kukubali wapuuzi wachache wakaaribu misingi ya dini na tukawafurahia ili Dunia ituone ni wazuri dini yetu yapenda amani,kifupi nipe uhuru wa kuabudu usiingilie Imani yangu na Wala yako Sina muda wa kuhangaika nayo ila ukiniingilia lzm unitaniita gaidi na Wala hatuhitaji utupende Kisa tumeunga ushoga au matendo kinyume na maadili
 
Hayo maudhui yalikuwapo kwa Wagiriki na Wa Misri wa kale kabla ya Ukristo.

Ukristo unajimwambafy tu kujimilikisha kila kitu.

Pia, watu wengi hawajui historia.
Tatzo au chukizo ni kwanini trans ndyo wamefanya tukio hilo?
 


Kwa taarifa yako popote ulipo jua kwamba hata Waislam hususan Mtume Muhamad hiyo jana alikuwa mocked wakati wa ufunguzi wa Olympic kwa kuigilizolia safari yake ya Isra na Miraj amepanda kiumbe chenye mabawa.

Kula chuma hicho toka Paris hapo jana


View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1817186754568319072?t=qFRCN1jJkYjnsSQ9MSCzSQ&s=19
 
Kweli kabisa Waislamu wana msimamo mkali na mambo yanayohusu imani yao, pia hao mashetani wanalijua hilo ndyomaana wanaamua kudhihaki na kuchezea imani za wengine
 
Aisee, sikuona hii...

Hawa jamaa kweli wana uadui mkubwa na watu wa Imani, na naamini wana lengo kuu zaidi ya kufanya mockery tu
 
Lakini hapa nchini, wasanii wa nyimbo za burudani wengi ni waisilamu. Unazungumziaje hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…