Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Kweli hatuwezi kuwa sawa, tunatofautiana mitazamo na namna ya kuyatizama mamboMiye nisiyeona taabu na lolote kwenye uzinduzi huo siwezi kuwa kama wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hatuwezi kuwa sawa, tunatofautiana mitazamo na namna ya kuyatizama mamboMiye nisiyeona taabu na lolote kwenye uzinduzi huo siwezi kuwa kama wewe!
Kweli hatuwezi kuwa sawa, tunatofautiana mitazamo na namna ya kuyatizama mambo
Wewe ndyo upo Brainwashed, yani hujali na hujui chochote kuhusu spiritualityNa ndiyo u brain washee ulipo hapo ndugu.
Si rahisi nyani kuona kundule.
nyie Ndio mkikuta jiwe limepasuka katikati mnafananisha na mpasuo wa mwanamkeTatzo sio picha, bali ni maudhui ambayo picha hiyo imebeba
Sisi? Mimi na nani?nyie Ndio mkikuta jiwe limepasuka katikati mnafananisha na mpasuo wa mwanamke
Inasikitisha sana kuona umeanza kushambulia familia yangu bila sababu yoyote.Kumbe wameleta babu zako toka Ruangwa?
By the way Sean Paul Christianity was present in africa 1400years before colonialism.Inasikitisha sana kuona umeanza kushambulia familia yangu bila sababu yoyote.
Alaf cha kushangaza mnajiona mna akili na mmepevuka kwa sababu hamna dini wakati kichwani mmejaa upuuzi mfano mtu kama wewe, you can't talk without insulting others, Pathetic!
Hayo maudhui yalikuwapo kwa Wagiriki na Wa Misri wa kale kabla ya Ukristo.Habarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Unaweza usiwe shoga ukawa mwizi, mzinzi au msengenyaji kama hivi. Lakini mbele ya uso wa Mungu hao wote ni watoto wake, anawapa neema ya kitubio ili warudi kwake. Ni ajabu kushikia bango ushoga huku unaishi na wanawake bila ndoa, unamwibia boss, unashindia uongo nkMaigizo yanayo fanywa na mashoga ni kuutukuza ukristo?
Where did I insult you?Inasikitisha sana kuona umeanza kushambulia familia yangu bila sababu yoyote.
Alaf cha kushangaza mnajiona mna akili na mmepevuka kwa sababu hamna dini wakati kichwani mmejaa upuuzi mfano mtu kama wewe, you can't talk without insulting others, Pathetic!
Wote hatujakamilika, lakini sio sawa kuonyesha hadharani vitendo hivyo hasa kuhusisha mambo ya kiimaniUnaweza usiwe shoga ukawa mwizi, mzinzi au msengenyaji kama hivi. Lakini mbele ya uso wa Mungu hao wote ni watoto wake, anawapa neema ya kitubio ili warudi kwake. Ni ajabu kushikia bango ushoga huku unaishi na wanawake bila ndoa, unamwibia boss, unashindia uongo nk
Tatzo au chukizo ni kwanini trans ndyo wamefanya tukio hilo?Hayo maudhui yalikuwapo kwa Wagiriki na Wa Misri wa kale kabla ya Ukristo.
Ukristo unajimwambafy tu kujimilikisha kila kitu.
Pia, watu wengi hawajui historia.
Habarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
😂😂😂😂Ila kuna watu mna complicate maisha aisee dah
Kweli kabisa Waislamu wana msimamo mkali na mambo yanayohusu imani yao, pia hao mashetani wanalijua hilo ndyomaana wanaamua kudhihaki na kuchezea imani za wengineKwasisi waislam haibadilishwi ndio maana tumepewa majina mpaka kuitwa magaidi Kisa tu mosimamo thabiti juu ya Imani na hatuwezi kukubali wapuuzi wachache wakaaribu misingi ya dini na tukawafurahia ili Dunia ituone ni wazuri dini yetu yapenda amani,kifupi nipe uhuru wa kuabudu usiingilie Imani yangu na Wala yako Sina muda wa kuhangaika nayo ila ukiniingilia lzm unitaniita gaidi na Wala hatuhitaji utupende Kisa tumeunga ushoga au matendo kinyume na maadili
Kwa taarifa yako popote ulipo jua kwamba hata Waislam hususan Mtume Muhamad hiyo jana alikiwa mocked wakati wa ufunguzi wa Olympic kwa kuigilizoa safari yake ya Isra na Miraj amepanda kiumbe chenye mabaya.
Kula chuma hicho toka Paris hapo jana
View attachment 3053836
View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1817186754568319072?t=qFRCN1jJkYjnsSQ9MSCzSQ&s=19
Lakini hapa nchini, wasanii wa nyimbo za burudani wengi ni waisilamu. Unazungumziaje hilo?Kwasisi waislam haibadilishwi ndio maana tumepewa majina mpaka kuitwa magaidi Kisa tu mosimamo thabiti juu ya Imani na hatuwezi kukubali wapuuzi wachache wakaaribu misingi ya dini na tukawafurahia ili Dunia ituone ni wazuri dini yetu yapenda amani,kifupi nipe uhuru wa kuabudu usiingilie Imani yangu na Wala yako Sina muda wa kuhangaika nayo ila ukiniingilia lzm unitaniita gaidi na Wala hatuhitaji utupende Kisa tumeunga ushoga au matendo kinyume na maadili
Kuleta dini sio kwamba wao ndyo waanzilishi, nia yao ilikuwa ni kusambaza habari njema za uokovu duniani koteKwani aliewaletea hiyo dini uko AFRICA ni nani?? hizo ni drama tu