Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Upinde ni dini pia.Religion is like an "Opium"
Dini ni kama wazimu
Ukana Mungu ni dini pia.
Sasa ni bora tu useme kuwa wafuasi wa yesu wanataka kuwaiga wale walioonyoka zaidi. Waislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinde ni dini pia.Religion is like an "Opium"
Dini ni kama wazimu
Hahaaaaaa acha usela mavi dogo na kutudanganya huku eti huamini. Nifahamuvyo, kuna mawakala wengi mitandaoni ukiwemo wewe mna mission maalum ya kupotosha watu hususani kwenye dhana ya Shetani kuwa ni nadharia na sio halisi.Mnahangaika sana kuwaongelea hao Mungu na shetani kwa vile hawajawahi kuwepo na hawapo kujiongelea mwenyewe.
Mimi siamini hata uwepo wa huyo Shetani halafu unakurupuka huko na mawenge yako kuja kusema shetani ananitumia?
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani.
Upinde ni dini pia.1. Hiyo picha ya last supper si imechorwa na mtu? Ni mchoro huo acha wenge.
2. Nchi zilizoendelea hazipo kidini sana, hiyo sanamu ya fahali ni alama, fahali anawakilisha nguvu na ustahimilivu
Kwanini kulikuwa na Crusades? Kwanini watu walikuwa wakichomwa moto kwa blasphemy huko Ulaya? Hiki ulichoandika hapa walikuwa hawakijui kabisa?Wangeguswawale jamaa wa Ijumaa, pangewaka sana.
Sisi Wakristo twaamini Mungu wetu ana nguvu na atajitetea mwenyewe, hahitaji msaada wetu.
Nakusapoti. Dini inapingwa na dini, waafrika bado hatujajua hilo. Dinu moja itaonfolewa na dini nyingine.Wanaozipinga dini ni gao hao walioanzisha dini.Ila kuna watu mna complicate maisha aisee dah
Thibitisha kwamba huyo shetani ni halisi.Hahaaaaaa acha usela mavi dogo na kutudanganya huku eti huamini. Nifahamuvyo, kuna mawakala wengi mitandaoni ukiwemo wewe mna mission maalum ya kupotosha watu hususani kwenye dhana ya Shetani kuwa ni nadharia na sio halisi.
Kama ni hoja za kitoto mbona huna hata majibu yake?Hizo ni hoja za kitoto na za kiburi cha uzima. Nilishatoka huko mkuu.
Habarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Ndio imani yao nao. Utasemaje wanadhalilisha ukiristo kwa wao kuweka picha ya ng'ombe?Habarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Wapi nimesema maisha ni magumu?Maisha siyo magumu kiivyo, alafu ukute ni shabiki wa Man U
Wapi nimetoa Lecture kuhusu dini? Au na wewe ndyo wale mnaotetea Upinde?Mzungu akuletee dini halafu wewe ndo unaanza kumpa “lecture” kuhusu hiyo dini?!😀
Miafrika ndivyo tulivyo.
Hata mafundi wa magari bongo utadhani wenyewe ndo waliyaunda.
Tukio la kudhalilisha Ukristo ni lile la kutumia mapunga kuigiza picha ambayo ina maudhui ya kristoNdio imani yao nao. Utasemaje wanadhalilisha ukiristo kwa wao kuweka picha ya ng'ombe?
Hakika hizi ni nyakati za mwisho, na shetani ana watetezi wengi kuliko waumini, tujitahidi kuokoa familia zetu na nafsi zetu wenyeweHaya mambo ya shetani akijionyesha waziwazi kwamba anapingana na Bwana Yesu. Hao kwa mateso yao tu wako kinyume na Bwana Yesu. Hivi ni vitu ambavyo kwa nyakati hizi si vya kushangaa. Asomaye biblia na afahamu!
Kwanini usiseme Waislam, unasema jamaa wa ijumaaWangeguswawale jamaa wa Ijumaa, pangewaka sana.
Sisi Wakristo twaamini Mungu wetu ana nguvu na atajitetea mwenyewe, hahitaji msaada wetu.
Acha upumbavu. Unaposema dini zimedhalilishwa wewe hiyo dini unajuwa ilipoanzia?Wapi nimetoa Lecture kuhusu dini? Au na wewe ndyo wale mnaotetea Upinde?
Kutumia Lugha ya matusi ni ishara kwamba huna hoja ya msingi, kama unatetea upinde sema tuAcha upumbavu. Unaposema dini zimedhalilishwa wewe hiyo dini unajuwa ilipoanzia?
Eti sijui kichwa cha ng’ombe ndo Mungu wa Baali. Hiyo hadithi nani kakufundisha?
Eti upinde. Wewe unapindwa?
Usiwe mtumwa wa akili.Kutumia Lugha ya matusi ni ishara kwamba huna hoja ya msingi, kama unatetea upinde sema tu
Hata nikiwa mtumwa, Akili ni zangu na wewe una zakoUsiwe mtumwa wa akili.