Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Mnahangaika sana kuwaongelea hao Mungu na shetani kwa vile hawajawahi kuwepo na hawapo kujiongelea mwenyewe.

Mimi siamini hata uwepo wa huyo Shetani halafu unakurupuka huko na mawenge yako kuja kusema shetani ananitumia?

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani.
Hahaaaaaa acha usela mavi dogo na kutudanganya huku eti huamini. Nifahamuvyo, kuna mawakala wengi mitandaoni ukiwemo wewe mna mission maalum ya kupotosha watu hususani kwenye dhana ya Shetani kuwa ni nadharia na sio halisi.
 
Wangeguswawale jamaa wa Ijumaa, pangewaka sana.

Sisi Wakristo twaamini Mungu wetu ana nguvu na atajitetea mwenyewe, hahitaji msaada wetu.
 
1. Hiyo picha ya last supper si imechorwa na mtu? Ni mchoro huo acha wenge.

2. Nchi zilizoendelea hazipo kidini sana, hiyo sanamu ya fahali ni alama, fahali anawakilisha nguvu na ustahimilivu
Upinde ni dini pia.

Ukana Mungu ni dini pia.

labda ungenyoosha sentensi zako kwa kusema mataifa yalioyoendelea wanauacha uktristo na kuikumbatia dini ya Ukana Mungu ambapo kazi yao kubwa ni kulinda Uasherati na Ushetani na kudhibiti Waamini wa Mungu mkuu
 
Wangeguswawale jamaa wa Ijumaa, pangewaka sana.

Sisi Wakristo twaamini Mungu wetu ana nguvu na atajitetea mwenyewe, hahitaji msaada wetu.
Kwanini kulikuwa na Crusades? Kwanini watu walikuwa wakichomwa moto kwa blasphemy huko Ulaya? Hiki ulichoandika hapa walikuwa hawakijui kabisa?

Katika nchi za "kikristo" ndio Yesu Mtume wa Allah anatukanwa waziwazi. Ni nyinyi na ndugu zenu mayahudi ndio mnaongoza kuwatukana Mitume wa Allah (Amani iwe juu yao wote).

Hamumfuati Yesu (Amani iwe juu yake) wala hamuifuati Dini yake Uislam. Mmemsingizia na kumzushia mengi. Na sasa mmeungana na ndugu zenu mayahudi kumtukana matusi na kumdhalilisha.
 
Ila kuna watu mna complicate maisha aisee dah
Nakusapoti. Dini inapingwa na dini, waafrika bado hatujajua hilo. Dinu moja itaonfolewa na dini nyingine.Wanaozipinga dini ni gao hao walioanzisha dini.
 
Jesus, the son of Mary and the Messiah: Between Islam and Christianity. Here are ten points that every Christian really should know about Jesus (peace be upon him).
 
Attachments

Hahaaaaaa acha usela mavi dogo na kutudanganya huku eti huamini. Nifahamuvyo, kuna mawakala wengi mitandaoni ukiwemo wewe mna mission maalum ya kupotosha watu hususani kwenye dhana ya Shetani kuwa ni nadharia na sio halisi.
Thibitisha kwamba huyo shetani ni halisi.
 
Hizo ni hoja za kitoto na za kiburi cha uzima. Nilishatoka huko mkuu.
Kama ni hoja za kitoto mbona huna hata majibu yake?

Nakwambia hivi, Hakuna Mungu anayetoa Uzima kwa kiumbe chochote kile.

Huyo Mungu hajawahi kuwepo na hayupo kutoa uzima kwa kiumbe chochote kile.
 
Habarini waumini..

Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.

Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).

View attachment 3053686

View attachment 3053713

Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.

View attachment 3053699

Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.

Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.

Haya mambo ya shetani akijionyesha waziwazi kwamba anapingana na Bwana Yesu. Hao kwa mateso yao tu wako kinyume na Bwana Yesu. Hivi ni vitu ambavyo kwa nyakati hizi si vya kushangaa. Asomaye biblia na afahamu!
 
Ndio imani yao nao. Utasemaje wanadhalilisha ukiristo kwa wao kuweka picha ya ng'ombe?
 
Mzungu akuletee dini halafu wewe ndo unaanza kumpa “lecture” kuhusu hiyo dini?!😀

Miafrika ndivyo tulivyo.

Hata mafundi wa magari bongo utadhani wenyewe ndo waliyaunda.
Wapi nimetoa Lecture kuhusu dini? Au na wewe ndyo wale mnaotetea Upinde?
 
Haya mambo ya shetani akijionyesha waziwazi kwamba anapingana na Bwana Yesu. Hao kwa mateso yao tu wako kinyume na Bwana Yesu. Hivi ni vitu ambavyo kwa nyakati hizi si vya kushangaa. Asomaye biblia na afahamu!
Hakika hizi ni nyakati za mwisho, na shetani ana watetezi wengi kuliko waumini, tujitahidi kuokoa familia zetu na nafsi zetu wenyewe
 
Wangeguswawale jamaa wa Ijumaa, pangewaka sana.

Sisi Wakristo twaamini Mungu wetu ana nguvu na atajitetea mwenyewe, hahitaji msaada wetu.
Kwanini usiseme Waislam, unasema jamaa wa ijumaa
 
Wapi nimetoa Lecture kuhusu dini? Au na wewe ndyo wale mnaotetea Upinde?
Acha upumbavu. Unaposema dini zimedhalilishwa wewe hiyo dini unajuwa ilipoanzia?

Eti sijui kichwa cha ng’ombe ndo Mungu wa Baali. Hiyo hadithi nani kakufundisha?

Eti upinde. Wewe unapindwa?
 
Acha upumbavu. Unaposema dini zimedhalilishwa wewe hiyo dini unajuwa ilipoanzia?

Eti sijui kichwa cha ng’ombe ndo Mungu wa Baali. Hiyo hadithi nani kakufundisha?

Eti upinde. Wewe unapindwa?
Kutumia Lugha ya matusi ni ishara kwamba huna hoja ya msingi, kama unatetea upinde sema tu
 
Back
Top Bottom