Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Hapo zamani ilidhaniwa myahudi hata mmoja hawezi kuuliwa na muarabu ikizingatiwa vita vya siku 7 na jinsi wanavyoweza kujiokoa kama kule Entebe. Kama kweli mayahudi wapatao 1200 waliuliwa basi aliyewaua atakuwa alipata ushindi.
Siyo kwamba ilidhaniwa kuwa hakuna muyahudi ambaye hawezi kuliwa na mwarabu ni kwamba akiuliwa muyahudi mmoja na mwarabu kipigo watakachokitoa wayahudi kwa mwarabu siyo cha kitoto,Israel wanawathamini raia wao kuliko kitu chochote wako tayari kutumia rasimali za nchi yao kwa ajili ya kumuokoa raia wao mmoja tu awe hai au maiti.
 
Huna lolote katika historia.Tangu lini Hamas walipigana na Mahmoud Abbas na kuteka kipande cha Gaza.
Nenda kalale
 
Vijana wa sultan said seyd moved to Zanzibar in 1848
Hapa wapemba wengi sana wataenda kuunga mkono kupigwa
 
lakini mwaka huu kanuni walizojiwekewa zimefumuliwa na Hamas.
Mwezi wa 9 hakuna ushindi japo wameachiwa na kila mtu wafanye wanavyotaka.Mateka bado wameshikiliwa na wao wanawindwa mmoja mmoja ndani ya eneo wanalolizunguka.
 
Subiri tuone iwapo huyo mwamba Israel bado amebakiwa na nguvu ile iliyotajwa katika historia.
Nguvu ipi Israel anayo mtu alishiwa mpaa silaha akanza lia lia na kuomba oh US katunyima silaha.

Israel amekosea step safari hi, na yule mfadhili wake US ananza eti mtisha Iran asingie vita 😄

Anadhani Iran anamuogopa ikiwa Hezbullah na Yemen hawatishiki na US atishwe Iran
 
Masheikh wa Oman sio kama wa Tanzania
Mashehe Wa Tanzania wanajua kutenganisha dini na siasa na mambo ya kitaalamu

Wa Iran ,Somalia,Yemen,Iraq ,Sudan,Oman nk vichwan weupe ndio maana nchi zao unakuta zinaingia vitani nchi za waislamu watupu wanapigana hadi nchi inabaki magofu tu sababu ya ubwege wa mashehe kuingilia mambo ya siasa wakati wanasiasa wapo kwenye nchi zao

Matokeo unakuta wanapiganisha waislamu kwa waislamu nchi inakuwa magofu sababu ya vita wakizochochea wao

Hapa Tanzania mashehe wanajielewa vinginevyo hawa Anwar Sunna walishataka kuanzisha vita kwa kutaka kuteka misikiti ya Bakwata na kuanzisha taifa lao mkuranga,kibiti na Rufiji na Zanzibar kuwa iwe yao na misikiti kama ya Mwembechai nk wakadhibitiwa kwa kukutana na mashehe wanajielewa wakawaambia shenzi nyie kajengeni yenu na kushauri serikali iwafanyaje .serikali ikasikiliza ushauri kilichowakuta Tanzania bara na Zanzibar sidhani kama watakuja kusahau

Wakaondoka Bakwata wakaanzisha kabaraza kao kanaitwa baraza kuu makao yao makuu utafikiri kibanda cha kufuga nguruwe pale magomeni mapipa Dar
kadogo sana kazi yao iliyobaki kwa sasa kugombana na Bakwata kuhusu kuandama mwezi kipindi cha Ramadhani kufunga Ramadhani kuanze lini na kufungua kuwe lini?

Hapa Tanzania mashehe wengi wanajielewa sana tena mno tofauti na huo watumbukiza nchi au vijana wa kiislamu kwenye vita waende kuuliwa huko au eneo walipo liwe uwanja wa vita
 
lakini mwaka huu kanuni walizojiwekewa zimefumuliwa na Hamas.
Mwezi wa 9 hakuna ushindi japo wameachiwa na kila mtu wafanye wanavyotaka.Mateka bado wameshikiliwa na wao wanawindwa mmoja mmoja ndani ya eneo wanalolizunguka.
Wanaokufa ni binadamu kama Mimi na wewe,kwa hiyo mimi siungi mkono kwa mpalesitina kumuua muyahudi wala muyahudi kumuua mplesitina.

Ninachokijua ni kwamba mara zote wayahudi walipigwa kutokana na kumukasirisha Mungu kwa mambo fulanifulani kwa hiyo Mungu alikuwa anatoa kibali kwa mataifa mengine cha kuwapiga wayahudi ili iwe fundisho kwao kutokana na makosa waliomkosea Mungu.

Ndio maana siyo ajabu kwa Hama's kujipenyeza Israel na kufanya wakitakacho jambo kama hilo linapotokea linatoa funzo kwa wayahudi kutafakari ni wapi walipokosea na niwapi wanapotakiwa kujirekebisha.
 
Huna lolote katika historia.Tangu lini Hamas walipigana na Mahmoud Abbas na kuteka kipande cha Gaza.
Nenda kalale
Hiyo hapo

The Fatah–Hamas conflict is an ongoing inter-Palestinian militant conflict between Fatah, based in the West Bank, and Hamas, based in the Gaza Strip. The conflict began after the Second Intifada because Fatah disputed Hamas winning 2006 elections in the Palestinian National Authority (PNA). It grew further when Hamas took control of the Gaza Strip by military force in 2007 during the Battle of Gaza. The two groups have been trying to reconcile in recent years and have since found themselves somewhat on the same side in the 2023 Israel–Hamas war
 
Kote huko Kuna kambi za jeshi za marekani,kabla NATO na USA hawajaenda Iraq 2003 kifitna, waarabu walikua wametulia zao,lakini republican wakaiba kura 2000 bush ashinde waingie kwenye miradi yao ya Vita,Hadi Leo dunia iko tofauti
 
Wanawathamini raia!!?..hebu jifunze itikadi ya hanibal ya Israel
 
Kwa hiyo yeye na wa Oman wenzake wanaondoka saa ngapi kwenda huko vitani? Au ni wito kautoa kwenda kwa Waislam wengine duniani?
 
Houthi anatetea Palestine,Sasa hivi Israel kishaingia kwenye 18 za houthi so kila siku atafanya kazi ya kupangua makombora
Lakini kabla ya Houthi kurusha drone Israel hao Wayahudi hawakuwa na shida na Yemen.

Vita itakapochachamaa hatutegemei kusikia IDF inaua watoto na wanawake. Tuwaache wapigane hadi wachoke wenyewe bila lawama
 
Lakini kabla ya Houthi kurusha drone Israel hao Wayahudi hawakuwa na shida na Yemen.

Vita itakapochachamaa hatutegemei kusikia IDF inaua watoto na wanawake. Tuwaache wapigane hadi wachoke wenyewe bila lawama
Aliyepiga Yemen ni muunganiko wa marekani,saudia na misri, Yemen wao wamesema aliyesaidia vyuma vitatua kwake,so saudia washaanza kujitetea,kitachifwata ni Israel kubaki mwenyewe kwenda kupiga Yemen kitu ambacho kimiundombinu hawezi,ndiyo maana kajitetea mapema kwamba alipiga mwenyewe bila msaada wa yeyote
 
Sawa. Wacha tusubiri tuone mtanange.
 
Lakini kabla ya Houthi kurusha drone Israel hao Wayahudi hawakuwa na shida na Yemen.

Vita itakapochachamaa hatutegemei kusikia IDF inaua watoto na wanawake. Tuwaache wapigane hadi wachoke wenyewe bila lawama
Tayari mbona wameshaanza kulia, wamesema mashambulizi hayo pia yamepiga civilians target😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…