Hayo gaidi anakuwaje mcha Mungu?Macha Mungu huyo, tena ni mswahili mwenzetu.
Sema serikali ya kinafik haigtomsikiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo gaidi anakuwaje mcha Mungu?Macha Mungu huyo, tena ni mswahili mwenzetu.
Sema serikali ya kinafik haigtomsikiliza.
Siyo kwamba ilidhaniwa kuwa hakuna muyahudi ambaye hawezi kuliwa na mwarabu ni kwamba akiuliwa muyahudi mmoja na mwarabu kipigo watakachokitoa wayahudi kwa mwarabu siyo cha kitoto,Israel wanawathamini raia wao kuliko kitu chochote wako tayari kutumia rasimali za nchi yao kwa ajili ya kumuokoa raia wao mmoja tu awe hai au maiti.Hapo zamani ilidhaniwa myahudi hata mmoja hawezi kuuliwa na muarabu ikizingatiwa vita vya siku 7 na jinsi wanavyoweza kujiokoa kama kule Entebe. Kama kweli mayahudi wapatao 1200 waliuliwa basi aliyewaua atakuwa alipata ushindi.
Huna lolote katika historia.Tangu lini Hamas walipigana na Mahmoud Abbas na kuteka kipande cha Gaza.Wale taifa ni la kwao hakuna nchi inaitwa Palestine haijawahi kuwepo
Taifa pekee duniani ambalo mipaka yao haikuchorwa na mkoloni ni Isreal tu
Israel kwenye Biblia ile nchi walipewa na Mungu na mipaka yao iko defined kwenye Biblia inaanzia wapi na kuishia wapi
Kumekuwa na vita nyingi waarabu kutaka kupora nchi yao mara wafanikiwe mara washindwe
Wakishindwa walitawanyika nchi nyingi duniani .Lakini wengine hubaki wakipambana ndani
1948 walirudi kwa nguvu zote kutimua waarabu waliokuwa wanekalia nchi yao kwa miaka .Wakafanikiwa kuwavurumisha hadi Gaza.Umoja wa mataifa ukaingilia kati kuwa hao waarabu waliozaliwa hapo Israel wakaishi miaka mingi wataenda wapi? Ikaja solution ya ku create serikali ya majimbo ambako Israel kutakuwa na Majimbo mawili huru yenye mamlaka kamili kila upanfe ukiwa na serikali yake .Hilo wazo lilikubalika na wapalestina wenye msimamo wastani ila wenye msimamo mkali wakagoma kuwa myahudi lazima afutwe juu ya uso wa dunia na asiwepo Israel. Hapo ndipo mziki ulipoanzia .Kule Gaza kuna serikali mbili moja ya wapalestina msimamo wastani ambao wangependa kuwe na serikali mbili za majimbo jimbo huru la Palestine na la wayahudi.Wakapiga kura Palestine moderate wakampa uraisi Raisi wa sasa Mahamoud Abbas kama Raisi wa Palestine anayetambuliwa kimataifa na hata Tanzania kama Raisi wa Palestine na wana ubalozi hata hapa Tanzania
Kivumbi kikaja Hamas wakaamua kuanzisha vita na kundi la Mahamoud Abbas wakateka kipande cha Gaza na kukikalia kinachopakana na Israel wakaanza vita vikisaidiana na Iran kupigana na Mahamoud Abbas na Israel
Wakati hakitambuliwi na serikali ya Palestine wala jumuiya ya kimataifa zaidi ya makundi ya kigaidi na Iran
Wapalestina wenyewe moderate na serikali yao waluopigia kura na kumpa Mahamoud Abbas hawana shida na issue ya kuwa na two states ndani ya Israel hata iwe kesho
Shida iko kwa hao mujahidina wa Hamas na Iran wao wataka Israel ifutwe Pale Israel na duniani
Jumuiya ya kimataifa ikikaa mezani na serikali halali ilichochaguliwa kidemokrasia na wananchi mjadala unakuwa uko vizuri tu tatizo ni hayo makundi ya kigaidi ya Hamas
Solution ya mgogoro pale ni kuwa na serikali mbili za majimbo ambapo Israel wala haina Shida ndio maana ilikubali kuwa na mamlaka huru ya Palestine chini ya Mahamoud Abbas aliyepewa ridhaa ya kuunda serikali na wapalestina wenyewe kwenye uchaguzi walioufanya wenyewe wakijisimamia wenyewe na tume zao za Uchaguzi sio Israel
Sikushangai, umejazwa ujinga ukakujaa.Hayo gaidi anakuwaje mcha Mungu?
lakini mwaka huu kanuni walizojiwekewa zimefumuliwa na Hamas.Siyo kwamba ilidhaniwa kuwa hakuna muyahudi ambaye hawezi kuliwa na mwarabu ni kwamba akiuliwa muyahudi mmoja na mwarabu kipigo watakachokitoa wayahudi kwa mwarabu siyo cha kitoto,Israel wanawathamini raia wao kuliko kitu chochote wako tayari kutumia rasimali za nchi yao kwa ajili ya kumuokoa raia wao mmoja tu awe hai au maiti.
Nguvu ipi Israel anayo mtu alishiwa mpaa silaha akanza lia lia na kuomba oh US katunyima silaha.Subiri tuone iwapo huyo mwamba Israel bado amebakiwa na nguvu ile iliyotajwa katika historia.
Mashehe Wa Tanzania wanajua kutenganisha dini na siasa na mambo ya kitaalamuMasheikh wa Oman sio kama wa Tanzania
Wanaokufa ni binadamu kama Mimi na wewe,kwa hiyo mimi siungi mkono kwa mpalesitina kumuua muyahudi wala muyahudi kumuua mplesitina.lakini mwaka huu kanuni walizojiwekewa zimefumuliwa na Hamas.
Mwezi wa 9 hakuna ushindi japo wameachiwa na kila mtu wafanye wanavyotaka.Mateka bado wameshikiliwa na wao wanawindwa mmoja mmoja ndani ya eneo wanalolizunguka.
Hiyo hapoHuna lolote katika historia.Tangu lini Hamas walipigana na Mahmoud Abbas na kuteka kipande cha Gaza.
Nenda kalale
Alianza Yemen (Houthi) kutuma drone Tel AvivAnayepiga ni muisrael halafu unasema anayechokoza ni muislamu.Akili gani hiyo uliyonayo
Kote huko Kuna kambi za jeshi za marekani,kabla NATO na USA hawajaenda Iraq 2003 kifitna, waarabu walikua wametulia zao,lakini republican wakaiba kura 2000 bush ashinde waingie kwenye miradi yao ya Vita,Hadi Leo dunia iko tofautiKwa dunia ya sasa hakuna jamii inayoongoza kuanzisha chochoko zinazoletelea vita kama waislamu
Vita nyingi zinazoendelea duniani asilimia kubwa ni chochoko za waislamu ndio waanzishaji.Uende msumbiji vita ipo waanzilishi wao,uende Sudan wao,uende Somalia wao,hata hii ya Israel ya Gaza wao ndio walilianzisha October 7,ukienda Yemen wao,Iraq wao,Lebanon wao,Iran walianzisha wao kupindua mfalme,Ya Afghanistan wao na Osama wao,kuangusha twin tower marekan wao,kushambulia ubalozi wa Tanzania na Kenya wao,magaidi ya kibiti ,mkuranga na Rufuji wao
Yaani waislamu ni kero kwa dunia
Watakwambia uislamu dini ya amani nyuma wameshika upanga
Wanawathamini raia!!?..hebu jifunze itikadi ya hanibal ya IsraelSiyo kwamba ilidhaniwa kuwa hakuna muyahudi ambaye hawezi kuliwa na mwarabu ni kwamba akiuliwa muyahudi mmoja na mwarabu kipigo watakachokitoa wayahudi kwa mwarabu siyo cha kitoto,Israel wanawathamini raia wao kuliko kitu chochote wako tayari kutumia rasimali za nchi yao kwa ajili ya kumuokoa raia wao mmoja tu awe hai au maiti.
Kwa hiyo yeye na wa Oman wenzake wanaondoka saa ngapi kwenda huko vitani? Au ni wito kautoa kwenda kwa Waislam wengine duniani?Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.
Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.
Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.
Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
Houthi anatetea Palestine,Sasa hivi Israel kishaingia kwenye 18 za houthi so kila siku atafanya kazi ya kupangua makomboraAlianza Yemen (Houthi) kutuma drone Tel Aviv
Lakini kabla ya Houthi kurusha drone Israel hao Wayahudi hawakuwa na shida na Yemen.Houthi anatetea Palestine,Sasa hivi Israel kishaingia kwenye 18 za houthi so kila siku atafanya kazi ya kupangua makombora
Aliyepiga Yemen ni muunganiko wa marekani,saudia na misri, Yemen wao wamesema aliyesaidia vyuma vitatua kwake,so saudia washaanza kujitetea,kitachifwata ni Israel kubaki mwenyewe kwenda kupiga Yemen kitu ambacho kimiundombinu hawezi,ndiyo maana kajitetea mapema kwamba alipiga mwenyewe bila msaada wa yeyoteLakini kabla ya Houthi kurusha drone Israel hao Wayahudi hawakuwa na shida na Yemen.
Vita itakapochachamaa hatutegemei kusikia IDF inaua watoto na wanawake. Tuwaache wapigane hadi wachoke wenyewe bila lawama
Sawa. Wacha tusubiri tuone mtanange.Aliyepiga Yemen ni muunganiko wa marekani,saudia na misri, Yemen wao wamesema aliyesaidia vyuma vitatua kwake,so saudia washaanza kujitetea,kitachifwata ni Israel kubaki mwenyewe kwenda kupiga Yemen kitu ambacho kimiundombinu hawezi,ndiyo maana kajitetea mapema kwamba alipiga mwenyewe bila msaada wa yeyote
Tayari mbona wameshaanza kulia, wamesema mashambulizi hayo pia yamepiga civilians target😅Lakini kabla ya Houthi kurusha drone Israel hao Wayahudi hawakuwa na shida na Yemen.
Vita itakapochachamaa hatutegemei kusikia IDF inaua watoto na wanawake. Tuwaache wapigane hadi wachoke wenyewe bila lawama