Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Ndiyo zao. Na bado kifinyo kikiendelea watalalama zaidiTayari mbona wameshaanza kulia, wamesema mashambulizi hayo pia yamepiga civilians target😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo zao. Na bado kifinyo kikiendelea watalalama zaidiTayari mbona wameshaanza kulia, wamesema mashambulizi hayo pia yamepiga civilians target😅
Ni malofa hai ila kuna viakili kiduchu wamebaki nanvyo vitakavyowatuma wasirudie tena, wametuma ka drone, Israel karnda kuwachoma moto kama nyasi, hawana hamu naye tena… wanaongea tu kujitutumua. Maana vile walivyochomwa nchi inaenda kukosa huduma kadhaa muhimu. Maana bandari imechomwa, means yale mafuta waliyochimba wakawa wanajiandaa kuyasafirisha kwenda China yote yamechomwa moto, drilling sites zimepugwa moto, vyanzo vya umeme navyo vimepigwa moto.Ndiyo zao. Na bado kifinyo kikiendelea watalalama zaidi
Mfahamu Imam Ahmed Khalil mufti mkuu wa Oman mzaliwa wa Zanzibar TanzaniaMufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil
Buildings in northern Israel damaged in rocket barrage from LebanonNi malofa hai ila kuna viakili kiduchu wamebaki nanvyo vitakavyowatuma wasirudie tena, wametuma ka drone, Israel karnda kuwachoma moto kama nyasi, hawana hamu naye tena… wanaongea tu kujitutumua. Maana vile walivyochomwa nchi inaenda kukosa huduma kadhaa muhimu. Maana bandari imechomwa, means yale mafuta waliyochimba wakawa wanajiandaa kuyasafirisha kwenda China yote yamechomwa moto, drilling sites zimepugwa moto, vyanzo vya umeme navyo vimepigwa moto.
Kitakachofuata ni kuendelea kuzichoma ngome zote na kui backup serikali Yemen ambayo hadi sasa imeshapoteza kwa houth 75% ya eneo la nchi nzima lenye 80% of country’s population. Wataisaidia kianza ku gain maeneo yote waliyouapoteza na kuwaangamiza houth ambao maeneo yao tayari yatakuwa kwenye shida na uhitaji wa huduma nyingi muhimu kama vile mafuta, umeme, na bidhaa nyinginezo
Mfahamu Imam Ahmed Khalil mufti mkuu wa Oman mzaliwa wa Zanzibar Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=iHs6fNuK2JY
Mwanzuoni huyu lulu yenye thamani alizaliwa mwezi Julai tarehe 27 mwaka 1942 mjini Zanzibar ...tunu ya elimu ... alipotimiza umri wa miaka 9 alifanikiwa kuhifadhi kitabu kizima cha Kurani pia kujikita katika akida, nahau na lugha ya kiarabu .. mwingi wa kujifunza mambo mengi pia kufanya biashara za familia ili hali akiendelea na ilimu ya dini ikipotimu mwaka 1964 baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar..
Tuliongopewa ktk historia ila sio wayahudi hao. Historia ilikuwa wayahudi waliojenga pyramid na sio hawa fakeHuwajui vizuri wayahudi wewe rudi katika shule ya historia hao jamaa hawafai
Umeumbwa kwa ajili ya kudanganywa hivyo wewe ni wa kudanganywa tu, maana hata aliyekusimulia tena naye kakudanganya na wewe ukaishia kuuamini uongo unaoupendaTuliongopewa ktk historia ila sio wayahudi hao. Historia ilikuwa wayahudi waliojenga pyramid na sio hawa fake
Inachekesha sana kuwa masheikh wa Tanzania wanajielewa kuliko masheikh wa mashariki ya kati.Nadhani umekusudia masheikh waliotayarishwa na akina nyinyi kufanya kazi zenu na si kazi Mungu.Mashehe Wa Tanzania wanajua kutenganisha dini na siasa na mambo ya kitaalamu
Wa Iran ,Somalia,Yemen,Iraq ,Sudan,Oman nk vichwan weupe ndio maana nchi zao unakuta zinaingia vitani nchi za waislamu watupu wanapigana hadi nchi inabaki magofu tu sababu ya ubwege wa mashehe kuingilia mambo ya siasa wakati wanasiasa wapo kwenye nchi zao
Matokeo unakuta wanapiganisha waislamu kwa waislamu nchi inakuwa magofu sababu ya vita wakizochochea wao
Hapa Tanzania mashehe wanajielewa vinginevyo hawa Anwar Sunna walishataka kuanzisha vita kwa kutaka kuteka misikiti ya Bakwata na kuanzisha taifa lao mkuranga,kibiti na Rufiji na Zanzibar kuwa iwe yao na misikiti kama ya Mwembechai nk wakadhibitiwa kwa kukutana na mashehe wanajielewa wakawaambia shenzi nyie kajengeni yenu na kushauri serikali iwafanyaje .serikali ikasikiliza ushauri kilichowakuta Tanzania bara na Zanzibar sidhani kama watakuja kusahau
Wakaondoka Bakwata wakaanzisha kabaraza kao kanaitwa baraza kuu makao yao makuu utafikiri kibanda cha kufuga nguruwe pale magomeni mapipa Dar
kadogo sana kazi yao iliyobaki kwa sasa kugombana na Bakwata kuhusu kuandama mwezi kipindi cha Ramadhani kufunga Ramadhani kuanze lini na kufungua kuwe lini?
Hapa Tanzania mashehe wengi wanajielewa sana tena mno tofauti na huo watumbukiza nchi au vijana wa kiislamu kwenye vita waende kuuliwa huko au eneo walipo liwe uwanja wa vita
Waliojenga pyramid walitawala mpaka Israel ya Leo,Tena mmoja alikua mnubi,black kuliko wewe, biblia inasema yesu alikua na rangi ya shaba,netanyahu Hana rangi ya shaba,ni mzungu,Ila mo Salah ana rangi ya shaba Kama yesuUmeumbwa kwa ajili ya kudanganywa hivyo wewe ni wa kudanganywa tu, maana hata aliyekusimulia tena naye kakudanganya na wewe ukaishia kuuamini uongo unaoupenda
Mbona unaitetea ccm kila siku humu? Wakati ccm ndiyo ASP ilitlyotekeleza hayo mauajiMapinduzi ya Zanzibar hayakua na si matukufu,waliuawa watu 13000 wasio hatia,wake kwa waume na watoto
Ndiyo tatizo lenu na lako kuingea vitu vya kufikirika na mfano halisi ni unapojaribu kunitaja kwenye maelezo yakoWaliojenga pyramid walitawala mpaka Israel ya Leo,Tena mmoja alikua mnubi,black kuliko wewe, biblia inasema yesu alikua na rangi ya shaba,netanyahu Hana rangi ya shaba,ni mzungu,Ila mo Salah ana rangi ya shaba Kama yesu
"Question" Were there any Egyptian pharaohs who ruled Israel?Umeumbwa kwa ajili ya kudanganywa hivyo wewe ni wa kudanganywa tu, maana hata aliyekusimulia tena naye kakudanganya na wewe ukaishia kuuamini uongo unaoupenda
Sitetei chama chochote Bali husimama kwenye ukweli,nisipokua Simba haimaanishi Mimi yangaMbona unaitetea ccm kila siku humu? Wakati ccm ndiyo ASP ilitlyotekeleza hayo mauaji
"Question" Were there any Egyptian pharaohs who ruled Israel?Ndiyo tatizo lenu na lako kuingea vitu vya kufikirika na mfano halisi ni unapojaribu kunitaja kwenye maelezo yako
Unatatajia mimi nikasome na kuamini hicho ulichokisoma wewe? Kwani uliambiwa kwamba maadam kitu kikishaandikwa tu basi lazima mkiamini mtake msitake? Au hiyo link umeilete ndiyo ina ushahidi keamba mimi ni mweusi?
Bro, you're really messed up upstairsUnatatajia mimi nikasome na kuamini hicho ulichokisoma wewe? Kwani uliambiwa kwamba maadam kitu kikishaandikwa tu basi lazima mkiamini mtake msitake? Au hiyo link umeilete ndiyo ina ushahidi keamba mimi ni mweusi?
Kila siku upo humu unatetea Serikali na chama.Sitetei chama chochote Bali husimama kwenye ukweli,nisipokua Simba haimaanishi Mimi yanga
Uzuri Israeli haogopi Mazombi anajipigia tuVijana wa sultan said seyd moved to Zanzibar in 1848
Hapa wapemba wengi sana wataenda kuunga mkono kupigwa
Tafsiri yako ya kutetea ni ipi!?..mkisema ccm haijafanya chochote tangu uhuru,nitasem nyinyi waongo,kwa sababu Mimi nilikua na akili timamu 1986,nilisafiri toka tunduru huko ruvuma mpaka shinyanga,najua adha ya usafiri kipindi hicho,hakuna lami,tope,gari chache,Leo toka Kuna lami kote huko,hapo nitakua naitetea ccm au natetea ukweli!?Kila siku upo humu unatetea Serikali na chama.