Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Ndiyo zao. Na bado kifinyo kikiendelea watalalama zaidi
Ni malofa hai ila kuna viakili kiduchu wamebaki nanvyo vitakavyowatuma wasirudie tena, wametuma ka drone, Israel karnda kuwachoma moto kama nyasi, hawana hamu naye tena… wanaongea tu kujitutumua. Maana vile walivyochomwa nchi inaenda kukosa huduma kadhaa muhimu. Maana bandari imechomwa, means yale mafuta waliyochimba wakawa wanajiandaa kuyasafirisha kwenda China yote yamechomwa moto, drilling sites zimepugwa moto, vyanzo vya umeme navyo vimepigwa moto.
Kitakachofuata ni kuendelea kuzichoma ngome zote na kui backup serikali Yemen ambayo hadi sasa imeshapoteza kwa houth 75% ya eneo la nchi nzima lenye 80% of country’s population. Wataisaidia kianza ku gain maeneo yote waliyouapoteza na kuwaangamiza houth ambao maeneo yao tayari yatakuwa kwenye shida na uhitaji wa huduma nyingi muhimu kama vile mafuta, umeme, na bidhaa nyinginezo
 
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil
Mfahamu Imam Ahmed Khalil mufti mkuu wa Oman mzaliwa wa Zanzibar Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=iHs6fNuK2JY
Mwanzuoni huyu mwenye umri wa miaka 81 sasa, lulu yenye thamani alizaliwa mwezi Julai tarehe 27 mwaka 1942 mjini Zanzibar ...tunu ya elimu ... alipotimiza umri wa miaka 9 alifanikiwa kuhifadhi kitabu kizima cha Kurani pia kujikita katika akida, nahau na lugha ya kiarabu .. mwingi wa kujifunza mambo mengi pia kufanya biashara za familia ili hali akiendelea na ilimu ya dini ilipotimu mwaka 1964 baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar..
 
Ni malofa hai ila kuna viakili kiduchu wamebaki nanvyo vitakavyowatuma wasirudie tena, wametuma ka drone, Israel karnda kuwachoma moto kama nyasi, hawana hamu naye tena… wanaongea tu kujitutumua. Maana vile walivyochomwa nchi inaenda kukosa huduma kadhaa muhimu. Maana bandari imechomwa, means yale mafuta waliyochimba wakawa wanajiandaa kuyasafirisha kwenda China yote yamechomwa moto, drilling sites zimepugwa moto, vyanzo vya umeme navyo vimepigwa moto.
Kitakachofuata ni kuendelea kuzichoma ngome zote na kui backup serikali Yemen ambayo hadi sasa imeshapoteza kwa houth 75% ya eneo la nchi nzima lenye 80% of country’s population. Wataisaidia kianza ku gain maeneo yote waliyouapoteza na kuwaangamiza houth ambao maeneo yao tayari yatakuwa kwenye shida na uhitaji wa huduma nyingi muhimu kama vile mafuta, umeme, na bidhaa nyinginezo
Buildings in northern Israel damaged in rocket barrage from Lebanon
Kwamba pigo la Israel ni fanisi kuzidi ya USA na UK!?..acha kujilisha upepo,wamepiga matanki ya mafuta bandarini,hebu tutajie visima vya mafuta vya Yemeni nasi tuvijue
 
Mfahamu Imam Ahmed Khalil mufti mkuu wa Oman mzaliwa wa Zanzibar Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=iHs6fNuK2JY
Mwanzuoni huyu lulu yenye thamani alizaliwa mwezi Julai tarehe 27 mwaka 1942 mjini Zanzibar ...tunu ya elimu ... alipotimiza umri wa miaka 9 alifanikiwa kuhifadhi kitabu kizima cha Kurani pia kujikita katika akida, nahau na lugha ya kiarabu .. mwingi wa kujifunza mambo mengi pia kufanya biashara za familia ili hali akiendelea na ilimu ya dini ikipotimu mwaka 1964 baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar..

Mapinduzi ya Zanzibar hayakua na si matukufu,waliuawa watu 13000 wasio hatia,wake kwa waume na watoto
 
Tuliongopewa ktk historia ila sio wayahudi hao. Historia ilikuwa wayahudi waliojenga pyramid na sio hawa fake
Umeumbwa kwa ajili ya kudanganywa hivyo wewe ni wa kudanganywa tu, maana hata aliyekusimulia tena naye kakudanganya na wewe ukaishia kuuamini uongo unaoupenda
 
Hali si shwari

Habari za ABC - Habari Zinazochipuka, Habari Mpya na Video
abcnews.go.com
Kukiwa na shambulio la msikiti huko Oman tulivu, kundi lililogawanyika la Islamic State ...

Siku 3 zilizopita - Shambulio la wiki hii kwenye msikiti wa Shiite katika mji mkuu wa Oman, taifa tulivu lililoepusha ghasia za wanamgambo kwa muda mrefu....

Watu wenye silaha walimvamia Imam Ali katika mji mkuu wa Muscat, wakiwa wamejazana na waumini wakifanya maombi maalum usiku wa kuamkia sikukuu ya maombolezo ya Washia ya Ashoura.

Siku hii muhimu ya Ashura inaadhimisha kifo cha kishahidi cha karne ya 7 cha mjukuu wa Mtume Muhammad, Hussein, huko Karbala katika Iraq ya kisasa.

Wengi wa waliokuwa ndani walikuwa Wapakistani, ambao ni idadi kubwa ya wahamiaji karibu milioni 2 ambao wanasaidia kuimarisha uchumi wa Oman wanaofanya kazi katika ujenzi na nyanja zingine.

Muumini mmoja wa Kipakistani ambaye jina lake halijafahamika katika msikiti huo aliliambia gazeti la Times of Oman, linalochapishwa kila siku kwa lugha ya Kiingereza, kwamba shambulio hilo na kurushiana risasi na polisi wa Oman lilichukua muda wa saa moja na nusu...
 
Mashehe Wa Tanzania wanajua kutenganisha dini na siasa na mambo ya kitaalamu

Wa Iran ,Somalia,Yemen,Iraq ,Sudan,Oman nk vichwan weupe ndio maana nchi zao unakuta zinaingia vitani nchi za waislamu watupu wanapigana hadi nchi inabaki magofu tu sababu ya ubwege wa mashehe kuingilia mambo ya siasa wakati wanasiasa wapo kwenye nchi zao

Matokeo unakuta wanapiganisha waislamu kwa waislamu nchi inakuwa magofu sababu ya vita wakizochochea wao

Hapa Tanzania mashehe wanajielewa vinginevyo hawa Anwar Sunna walishataka kuanzisha vita kwa kutaka kuteka misikiti ya Bakwata na kuanzisha taifa lao mkuranga,kibiti na Rufiji na Zanzibar kuwa iwe yao na misikiti kama ya Mwembechai nk wakadhibitiwa kwa kukutana na mashehe wanajielewa wakawaambia shenzi nyie kajengeni yenu na kushauri serikali iwafanyaje .serikali ikasikiliza ushauri kilichowakuta Tanzania bara na Zanzibar sidhani kama watakuja kusahau

Wakaondoka Bakwata wakaanzisha kabaraza kao kanaitwa baraza kuu makao yao makuu utafikiri kibanda cha kufuga nguruwe pale magomeni mapipa Dar
kadogo sana kazi yao iliyobaki kwa sasa kugombana na Bakwata kuhusu kuandama mwezi kipindi cha Ramadhani kufunga Ramadhani kuanze lini na kufungua kuwe lini?

Hapa Tanzania mashehe wengi wanajielewa sana tena mno tofauti na huo watumbukiza nchi au vijana wa kiislamu kwenye vita waende kuuliwa huko au eneo walipo liwe uwanja wa vita
Inachekesha sana kuwa masheikh wa Tanzania wanajielewa kuliko masheikh wa mashariki ya kati.Nadhani umekusudia masheikh waliotayarishwa na akina nyinyi kufanya kazi zenu na si kazi Mungu.
 
Umeumbwa kwa ajili ya kudanganywa hivyo wewe ni wa kudanganywa tu, maana hata aliyekusimulia tena naye kakudanganya na wewe ukaishia kuuamini uongo unaoupenda
Waliojenga pyramid walitawala mpaka Israel ya Leo,Tena mmoja alikua mnubi,black kuliko wewe, biblia inasema yesu alikua na rangi ya shaba,netanyahu Hana rangi ya shaba,ni mzungu,Ila mo Salah ana rangi ya shaba Kama yesu
 
Ndiyo tatizo lenu na lako kuingea vitu vya kufikirika na mfano halisi ni unapojaribu kunitaja kwenye maelezo yako
 
Kila siku upo humu unatetea Serikali na chama.
Tafsiri yako ya kutetea ni ipi!?..mkisema ccm haijafanya chochote tangu uhuru,nitasem nyinyi waongo,kwa sababu Mimi nilikua na akili timamu 1986,nilisafiri toka tunduru huko ruvuma mpaka shinyanga,najua adha ya usafiri kipindi hicho,hakuna lami,tope,gari chache,Leo toka Kuna lami kote huko,hapo nitakua naitetea ccm au natetea ukweli!?
 
Back
Top Bottom