Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahahaha,mkimpelekea ng'ombe au mbuzi, maana ake hujapeleka nyama tu,hapo unakua umempa hadi ngozi,kwato,anakua na faida nyingiMaendeleo ni kusafirisha bidhaa iliyoongezewa thamani!! Hao waarabu waje wajenge viwanda vya kusindika nyama na tusafirisha nyama iliyosindikwa na siyo tusafirishe ng'ombe na mbuzi kisha kule wakisindika wanatuletea zikiwa na bei juu!!
Somalia ni failed state, kule hata watu wanauzwa. Somalia unafanya chochote unachojisikia, Hakuna serikaliViwanda hivyo ni wasomali Mkuu na hata Dodoma walikuwa Waturuki walipoacha Wasomali wakendeleza ila wazawa pia
Wao kuja kujenga sidhani maana ni uamuzi wa individuals na sio maamuzi yetu sisi
Halafu kama ni faida Mbona ipo kubwa tu kwa mfano Somalia wala nisitoe mfano wa Australia tena
Somalia yenye vita kila kukicha ila biashara zinaendelea na wanasafirisha live kila leo
Wao wamekubaliana kutuma Ngamia, Kondoo na Mbuzi
Wao hawana Ng’ombe maana hali ya hewa Labda haiwakubali
Miaka yote wanapeleka Uarabuni tangu enzi na enzi Kwa hiyo lazima faida iwepo
Sawa na muuza magari na muuza spare tu [emoji23]
We mfia CCM unasikitika au ndo unafurahia? Shwaini kabisa 😟We are officially sold out.
Ccm imeuza nchiWe are officially sold out.
Unalinganisha failed country Somalia na tanzaniaNchi kama Somali wanasafirisha Mbuzi na Kondoo huko Oman,Australia wanasafirisha Kondoo huko Oman,
Naona badala ya kuchangamkia fursa mmekimbili sijui Twiga mara Tembo!
Bila kubadili hizi fixed mind mentality mtu atajikuta yupo pale pale tu miaka na miaka.
Hiyo siyo hoja.Zanzibar ilianza kupata maendeleo kabla ya Tanganyika
Subiri hapo hapo na kidumu chako cha ulanzi mwagitoHiyo siyo hoja.
Somalia ni failed state, kule hata watu wanauzwa. Somalia unafanya chochote unachojisikia, Hakuna serikali
Unalinganisha failed country Somalia na tanzania
Somalia sio nchi ya kufananisha na chochote. Somalia ni failed state, Hakuna serikaliMkuu Somaliland wako vizuri sana na amani tele wanasafirisha kutoka Port ya Bossaso na Port ya Berbera na wanafanya biashara kuliko unavyofikiria
Kuna fursa nyingi sana huko
Kwa mtu ambae hajatembea na kuona vita ni ngumu sana kuelewa hili
Kuna fursa nyingi sana sehemu vita inapotokea
Mimi hapa nilikuwa na Lorry huko uarabuni miaka ya 80 baada ya vita kuanza baina ya Iraq na Iran ikabidi chakula kiwe kinashushwa kwenye Port za jirani kama Kuwait
Na hapo ndio nilipiga hela kubeba ngano kupeleka Iraq
Ila kama una roho ya uoga huwezi fanya hiyo biashara katikati ya vita
Angalia Congo kuna wanaume wanapeleka chakula huko na misaada ya UN
Kwa hiyo Hakuna cha failed state
Sisi miaka 60 ya Uhuru bado tunaringia Amani zaidi ya hapo ni zero state
Acha tupingane kwa hoja mimi nimefanya kazi kwenye nchi zenye vita na huwa nachekelea haswa kama aliesema waache wagombane Sisi tutawauzia chakula
Turudi kwenye hadithi yetu ya usafirishaji wa nyama sasa
Lisu hajawahi pigania rasilimali zetu zaidi ya tumbo lake na mabeberuHahaha mlimpuuza Lissu mpigania rasilimali zetu, mkaendekeza uchama
Acha tuoneMaendeleo ni kusafirisha bidhaa iliyoongezewa thamani!! Hao waarabu waje wajenge viwanda vya kusindika nyama na tusafirisha nyama iliyosindikwa na siyo tusafirishe ng'ombe na mbuzi kisha kule wakisindika wanatuletea zikiwa na bei juu!!
Hakuna mfumo dume wala nini! hapa! mtu ukiwa na integrity ndogo ni ndogo tu!Mama anazingua sana Sasa hivi.
Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.
Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke ni kiumbe dhaifu even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.
Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.
Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.