Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Maendeleo ni kusafirisha bidhaa iliyoongezewa thamani!! Hao waarabu waje wajenge viwanda vya kusindika nyama na tusafirisha nyama iliyosindikwa na siyo tusafirishe ng'ombe na mbuzi kisha kule wakisindika wanatuletea zikiwa na bei juu!!
hahahahaha,mkimpelekea ng'ombe au mbuzi, maana ake hujapeleka nyama tu,hapo unakua umempa hadi ngozi,kwato,anakua na faida nyingi
 
Viwanda hivyo ni wasomali Mkuu na hata Dodoma walikuwa Waturuki walipoacha Wasomali wakendeleza ila wazawa pia

Wao kuja kujenga sidhani maana ni uamuzi wa individuals na sio maamuzi yetu sisi
Halafu kama ni faida Mbona ipo kubwa tu kwa mfano Somalia wala nisitoe mfano wa Australia tena
Somalia yenye vita kila kukicha ila biashara zinaendelea na wanasafirisha live kila leo
Wao wamekubaliana kutuma Ngamia, Kondoo na Mbuzi
Wao hawana Ng’ombe maana hali ya hewa Labda haiwakubali

Miaka yote wanapeleka Uarabuni tangu enzi na enzi Kwa hiyo lazima faida iwepo

Sawa na muuza magari na muuza spare tu [emoji23]
Somalia ni failed state, kule hata watu wanauzwa. Somalia unafanya chochote unachojisikia, Hakuna serikali
 
13 June 2022
Muscat, Oman

RAIS SAMIA HASSAN, HOTUBA YAKE ASISITIZA WADAU KUCHANGAMKIA FURSA

Nchi kama Somali wanasafirisha Mbuzi na Kondoo huko Oman,Australia wanasafirisha Kondoo huko Oman,

Naona badala ya kuchangamkia fursa mmekimbili sijui Twiga mara Tembo!

Bila kubadili hizi fixed mind mentality mtu atajikuta yupo pale pale tu miaka na miaka.
Unalinganisha failed country Somalia na tanzania
 
Somalia ni failed state, kule hata watu wanauzwa. Somalia unafanya chochote unachojisikia, Hakuna serikali

Mkuu Somaliland wako vizuri sana na amani tele wanasafirisha kutoka Port ya Bossaso na Port ya Berbera na wanafanya biashara kuliko unavyofikiria
Kuna fursa nyingi sana huko

Kwa mtu ambae hajatembea na kuona vita ni ngumu sana kuelewa hili

Kuna fursa nyingi sana sehemu vita inapotokea

Mimi hapa nilikuwa na Lorry huko uarabuni miaka ya 80 baada ya vita kuanza baina ya Iraq na Iran ikabidi chakula kiwe kinashushwa kwenye Port za jirani kama Kuwait
Na hapo ndio nilipiga hela kubeba ngano kupeleka Iraq
Ila kama una roho ya uoga huwezi fanya hiyo biashara katikati ya vita

Angalia Congo kuna wanaume wanapeleka chakula huko na misaada ya UN
Kwa hiyo Hakuna cha failed state
Sisi miaka 60 ya Uhuru bado tunaringia Amani zaidi ya hapo ni zero state

Acha tupingane kwa hoja mimi nimefanya kazi kwenye nchi zenye vita na huwa nachekelea haswa kama aliesema waache wagombane Sisi tutawauzia chakula

Turudi kwenye hadithi yetu ya usafirishaji wa nyama sasa
 
Somalia sio nchi ya kufananisha na chochote. Somalia ni failed state, Hakuna serikali
 
Tanzania ya viwanda baada ya ngosha ku rest in peace. Ikawa ndoto za saa kumi na mbili asubuhi. Daaaaaa! INAUMA SANA
 
Kusema kweli hata wanaomtetea mama na agenda zake wanapata wakati mgumu sana ni hivo tu aibu kubadili mlengo.
 
Maendeleo ni kusafirisha bidhaa iliyoongezewa thamani!! Hao waarabu waje wajenge viwanda vya kusindika nyama na tusafirisha nyama iliyosindikwa na siyo tusafirishe ng'ombe na mbuzi kisha kule wakisindika wanatuletea zikiwa na bei juu!!
Acha tuone
 
Mama anazingua sana Sasa hivi.

Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.

Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke ni kiumbe dhaifu even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.

Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.

Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.
Hakuna mfumo dume wala nini! hapa! mtu ukiwa na integrity ndogo ni ndogo tu!
Hivi mnajua huyu ni binti yake yule aliyeingia mkataba wa loliondo yule ruksa aliyeruhusu kuuza loliondo na mwandishi mmoja stan katabalo akalogwa akafa kwa kufuatilia!?
Hivi mnajua huyu amezaa mtoto na yule rais aliyeifundisha tanzania ufisadi na hasa kusafirisha wanyama pori hai kupeleka arabuni? Amemzaa Rit1 mwanae ambaye sasa amempa uwaziri wa ardhi yetu? Twafwaaa!

Fikiria sasa- Samia mwanae Mwinyi, Samia mamaye Ritz1, Ritz1 wa jakaya----Tutapona???

Serious hakuna uchama hapa ila ndugai na uzuzu wake alituamsha kidogo tukamzodoa akapigwa na kitu kizito.
 
Back
Top Bottom