Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman


Mkuu wabongo hawawazi fursa, wao chuki tu ndio zinawatesa
 
Hahaha mlimpuuza Lissu mpigania rasilimali zetu, mkaendekeza uchama
Lissu huyu huyu aliyekuwa akipinga kuzuiwa kwa makinikia na kufumuliwa kwa mikataba ya Barrick kwa kudai tungeshitakiwa MIGA?!😄
 
Biashara na waArabu haina tija kwa waTz sana sana hapa ni utumwa mambo leo unaasisiwa na mheshimiwa prezdaa, " ngoja tuone yetu macho!!!
 
Kitimoto Oman!! 😂😂 hapo ni wanyamapori tu.
 
Soko la kitimoto ndo bado changamoto, ni kweli tutapeleka huko Oman? We mzenji tu na tubajua utafaidi kwenye biashara hii bila kuathrika na chochote wakati sisi huku bara tunaumia kwa kufukuzwa kwenye makazi yetu apewe mwarabu wa Oman pemba awinde wanyamapori kadri awezavyo.
 
Kuna baadhi ya wananyama poli hawaruhusiwi kuwinda mfano Twiga, Simba, Tembo, mbwa mwitu nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo bado yule sultani Jamshid hajaingia yupo hapo Oman alishahama kutoka London pengine anaandaliwa kupokelewa rasmi
 
Huyu Bibi tozo, nchi imemshinda kabisa. Arudi makunduchi tu.
 
Lissu huyu huyu aliyekuwa akipinga kuzuiwa kwa makinikia na kufumuliwa kwa mikataba ya Barrick kwa kudai tungeshitakiwa MIGA?!😄
Acha kupotosha, Lissu ndio alisema sheria zifumuliwe kabla ya kuzuia makontena na ndio ilichofanya serikali ilipangua sheria ndio ikawaita mezani so Lissu was right.

Kuhusu kushtakiwa jisomee hapa kabudi akichambua kesi zilizopelekwa mahakamani na hao wawekezaji

 
Mwinyi, Kikwete, Samia = Loliondo, Ngorongoro, kumalizika Kwa Tembi🤔🤔🤔🙆🙆
 
Duh!...huyu sultani ni maulana ?..
FaizaFoxy brazaj safuher
Yes, ni utamu wa lugha, ukiwa India na Pakistan, wale tunaowaita huku kwa Ma sheikh wao huoita "maulana". Ukiwa Oman na nchi nyingine Mawlana ni kma vile kusema "His excellency".

Lugha ya Kiarabu, unaunda kutwamka sentensi kutokana na maudhui. Ni kama Kiswahili, una meza chakula, lakini chakula hicho hicho unakiweka juu ya meza.

Ni neno hilo hilo lakini kutoana na sentensi linabadilika maana.

Pia kwenye Kiarabu na Kiswahili pia (kwa kuwa kinashabihiana na Kiarabu kwa asolimia kubwa, kuna neno (verb) na jina (noun) linalotokana na neno hilo hilo.Ma

Usifanye kosa kabisa la kujaribu kutafsiri neno kwa neno, hutaipata maana kusudiwa. Makosa kama hayo yamefanyika hata katika kuitafsiri Qur'an na kuifanyia tarjima. Mfano kila ilipotajwa "ardh" kwenye Qur'an wengi hufikiria inatajwa hii ardhi tunayotembea na kujenga juu yake. Kwa Kiarabu kutegemea na sentensi, "ardh" kwa Kiarabu pia ni "scripture". Au "quotation".

Natumai umeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…