Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Nyerere aliwajaza fikra potofu za Ujamaa. Wawekezaji mnawaita mabeberu na kuwaogopa. Ndiyo maana baada ya miaka 60 ya uhuru uchumi uko hovyo.
Na hiyo ni dhana potofu sana, watanzania wanashindwa kupambana kimataifa kila siku kwa kujiona hawawezi.

Wamejengewa misingi ya kukaa ndani ya nchi na peke yao tu, dhana ni hiyo hiyo ya wazalendo dhidi ya mabeberu.

Nico Njohole miaka ya 1980 mwanzoni ilikuwa aende akafanye majaribio Arsenal, watu wa FAT wakamkatalia!!.

Tunaongelea Arsenal ya miaka hiyo, hivi leo kama Nico angekwenda London angekuwa amefungua njia kwa kina Samatta wengi tu.

Habari za Samatta zisingeonyesha ushamba wetu kama ilivyo miaka ya sasa, yote haya Mwalimu Nyerere anahusika moja kwa moja, kulinyima Taifa aliloliongoza fursa za watu wake kuutambua mapema ushindani wa kimataifa.

Wengi wa hawa wanaopiga kelele sijui wanyama wetu, sijui mwarabu anauziwa, ni akili zile zile zilizolelewa kijamaa zikakosa kuutambua ushindani uliopo duniani.
 
Upo sahihi boss, usisahau lakini Tz ni moja ya nchi yenye idadi kubwa ya mifugo Africa (Ukiondoa Sudan Kusini), kama kuuza mifugo ni njia ya kupanua biashara si mbaya.

Ila kuhimiza uwekezaji kwenye hiyo sekta hapa nchini (pamoja na uvuvi) ndio inafaa zaidi.
Kupanua biashara ni kufungua viwanda vingi vya nyama na sio kuuza mnyama hai.
Uchumi wa nchi unaendeshwa kwa nchi kuzalisha kupitia viwanda, Kama kweli tunaitaji kupanua biashara waletwe wawekezaji wajenge viwanda vingi tuzalishe nyama nyingi tuuze huko duniani. Tuache aibu hii, leo ukienda supermarket unakutana na maziwa na nyama kutoka nje alafu sisi hao hao tunaendelea kuwapelekea wanyama hai
 
USSHAMBA WA WATANZANIA UMEWAFANYA KUWA NA WOGA WA KILA KITU.
UJINGA PIA NAO UNACHANGIA.
HII HABARI YA UTUMWA ULE WA KALE HAIPO TENA DUNIANI,BALI SASA MASIKININDIO UNAOKUFANYA UBAKI KUWA MTUMWA
-TUMEKUWA WAOGA WA KUJICHANGANYA ,TUMEKUWA KAMA ''JOKA LA MDIMU''
Hapo nani muoga aneyetakiwa kufungua uwekezaji watu wazalishe nyama viwandani au anayeuza mnyama akiwa hai?
 
Mama anazingua sana Sasa hivi.

Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.


Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke ni kiumbe dhaifu even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.

Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.

Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.
Sasa nani kasoma ndugu kamwendo !!??
Waliosoma na kuelimika hawawi hivi ndugu.
 
Mwenyekiti Kinana chapa kazi

Kile chombo chako kifanyie service ya nguvu kwaajili ya kwenda Oman, Dubai na China
 
Lazima uwachukie tu, kwa kivazi kama ulichoweka kwenye avatar inaonyesha unapenda mambo ya kujiachia viuongo vyako vya ndani hovyo kwa namna hiyo ni ngumu kuishi sehemu zenye ustaarabu mzuri .
Waarabu ni wastaarabu toka lini!!?
Unaujua ustaarabu wewe!!??
Basi neno ustaarabu litakuwa na tafasiri mpya siku hizi.
 
Haya kitimoto anaenda Oman..!
Sikuwahi kujua watu mna siri sana
 
😁😁😁
AI7c0A.jpeg
 
Nchi kama Somali wanasafirisha Mbuzi na Kondoo huko Oman,Australia wanasafirisha Kondoo huko Oman,

Naona badala ya kuchangamkia fursa mmekimbili sijui Twiga mara Tembo!

Bila kubadili hizi fixed mind mentality mtu atajikuta yupo pale pale tu miaka na miaka.
Kwani hapo Oman kilo moja ya kitimoto shilingi ngapi za kitanzania!
 
Uganda Wala Kenya hawakua na nyerere na wao hawakua na huu ujamaa, hebu tuambie wapo wali kulingaana na hao wenzetu wengine?

Umezaliwa lini lakini? Kama ulikuwepo enzi za Nyerere ungekumbuka tulikuwa tunaenda kununua dawa za mswaki na sabuni za Omo Kenya maana huku zilikuwa adimu. Ukienda Nairobi unaonekana kama umeenda Ulaya enzi zile. Kama ulikuwepo enzi za Ujamaa wa Nyerere huwezi kusahau hali ngumu ya uchumi iliyokuwepo.
 
Salaam Wakuu,

Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.

Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.

Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.

Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.

Watanzania Kaeni Mkao wa kula.

............................................................................


Rais Samia akiwa kwenye kongamano Kiuchumi nchini Oman, amesema kuwepo kwa vyombo vya usafirishaji vya majini kusafirisha wanyama walio hai na bidhaa mbalimbali kwenda Oman kutaboresha biashara kati ya pande hizo mbili

Pia amegusia japokuwa tuna makubwa ya kuvua, kwa sasa hamna uvuvi wenye tija kwa taifa, amesema “kuna nchi zinakuja Tanzania kuvua na hatuwezi kuwafukuza kwa sababu hatuna vifaa, hivyo wanavua na kuondoka, hili ni eneo lingine ambalo tunaweza kushirikiana kwa pamoja”

Amesema kuwa kongamano la mwaka huu limekusudia kuangazia namna Tanzania itashirikiana na Oman katika sekta za utalii, kilimo, Uzalishaji (viwanda) mifugo na uvuvi na usafirishaji wa majini.
Magu hatarii🥲🥲

1. JPM anajenga Reli ya Mwendo kasi – SGR.

2. JPM anajenga Bwawa la Umeme – Nyerere HydroPower.

3. JPM amenunua Ndege 13 aina tofautitofauti.

4. JPM amejenga Ikulu kule Dodoma na yale Magorofa ya Wizara kule Mji wa Serikali Dodoma ( Mtumba) Magufuli City

5. JPM amehamisha Makao Makuu ya Serikali na ameijenga Dodoma imekuwa Jiji

6. JPM amejenga FlyOver Dar es Salaam pale Ubungo na TAZARA
.
7. JPM amejenga daraja la Tanzanite pale Selander.

8. JPM ametengeneza huu Mfumo wa Kompyuta wa Malipo ya Serikali.

9. JPM alikuwa anaweka umeme hadi Vijijini (kwa Tsh. 27,000/= tu.)

10. JPM ameshawishi Bomba la Mafuta kutoka Uganda lipite Tanzania.

11. JPM anajenga daraja la Kingongo Ferry Busisi kule ziwa Victoria.

12. JPM amejenga Meli kubwa mbili mbili kila ziwa, yaani Ziwa Victoria 2, Ziwa Tanganyika 2 na Ziwa Nyasa 2.

13. JPM amejenga Hospital za Kanda kubwa nne… Dodoma, Mara, Mtwara, Geita na Songea

14. JPM amejenga Hospitali za Wilaya Zaidi ya 70

15. JPM amejenga Mradi Mkubwa wa Maji ya Victoria kule Tabora

16. JPM amejenga Mradi wa Maji Mkubwa Arusha

17. JPM amejenga Barabara ya Njia Nane Dar es Salaam hadi Kibaha

18. JPM alikuwa anajenga Mizani za Kisasa kabisa Kwenye Barabara zote kubwa

19. JPM amejenga Vituo vya Afya Zaidi ya 500

20. JPM amejenga na Kununua Rada 4 za AirPort

21. JPM amejenga Viwanja vya Ndege Mara, Iringa, Mbeya, Chato, Songea na Rukwa

22. JPM amejenga Masoko ya Madini kila Mikoa yenye migodi ya madini

23. JPM amejenga ukuta wa Mirerani na kuweka Camera za Ulinzi

24. JPM amejenga Bandari Kilwa, na kuzipanua Bandari Mtwara, Tanga na Dar es Salaam

25. JPM amejenga Masoko ya Kisasa zaidi, ya maana kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam

26. JPM amejenga Bus Stand za Kisasa Zaidi mikoani kama Dodoma, Mwanza, Dar es Salaam nk

27. JPM amenunua Vifaa Tiba kama MRI, CT Scan, Vifaa vya Kufanyia Oparations za Moyo pale JKCI Wagonjwa wanatoka nchi jirani kuja kutibiwa Tanzania

28. JPM amejenga Vivuko vya Majini sehemu mbalimbali kama Mafia, Kilwa, Ukerewe

29. JPM amejenga Barabara za Lami za adabu miji mingi sana, Barabara zina mifereji, Taa, na Taa za kuongozea magari.

30. JPM amejenga Shule za Msingi na Sekondari na kukarabati za zamani zikawa Bora kama Vyuo vikuu

31. JPM ametengeneza Vitanda kwenye mahospitali watu hawalali chini.

32. JPM ametengeneza Madawati karibia shule nyingi sana wanakaa kwenye Madawati.

33. JPM kajenga Hostel pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uhaba wa vyumba umepungua.

34. JPM akasimamia mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu, na boom likawa linatoka kwa wakati (Migomo Vyuoni imeisha).

35. JPM aliamua kutusomeshea Watoto bila kulipa ADA ya Shule (Msingi na Sekondari)
36. JPM kafufua reli ya Kati na reli ya kwenda Moshi hadi Arusha.

37. JPM alikuwa anajenga kiwanda cha Sukari cha Magereza Morogoro.

38. JPM amejenga Kiwanda cha Viatu vya Jeshi – Lukaranga Moshi viatu haviagizwi tena nje ya nchi.

39. JPM anajenga Kiwanda cha Vifaa Tiba na Dawa huko Njombe.

40. JPM anajenga Barabara za Mwendo Kasi Mbagara hadi Gerezani Kariakoo

41. JPM amejenga FlyOvers pale Veta na Uhasibu Dar es Salaam.

42. JPM amejenga Vituo Vya Polisi, Nyumba za Askari Polisi na Magereza.

43. JPM amejenga yale Magorofa ya pale Magomeni na aliruhusu watu wakae bure kwa Miaka 5..

Hongera kwa jembe JPM.
Watu waache maneno ya ajabu, watu wafanye Yao tuyaone.
wasikae kutwa kumuongelea Hayati.. Rose Muhando aliimba Jifunze kwa waliofanikiwa..

📌📌Hayati Magufuli hakuwaji kwenda kuomba mikopo na wawekezaji ulaya.
 
Back
Top Bottom