Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

Makubaliano hayo yalitiwa saini na Abdul Nasser Abdullah al Yamani, makamu wa rais, Maendeleo ya Biashara, Viwanja vya Ndege vya Oman, na Christine Mwakatobe wa KADCO.
View attachment 2263284
Makubaliano hayo yanaeleza kuwa Shirika la Viwanja vya Ndege vya Oman litafanya uendelezaji wa Jengo la Watu Mashuhuri (VIP) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, Ujenzi wa hoteli ya nyota tano kwa ajili ya abiria na jengo la biashara/maduka makubwa katika uwanja huo.

MY TAKE;

Wanyama wetu watapona? Madini yetu ya Tanzanite je?

=====

Muscat. Oman Airports has on Monday June 13 signed a memorandum of understanding (MoU) with Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO) to develop a VIP passenger terminal in Kilimanjaro International Airport.

Following the agreement, Tanzania will benefit from Oman Airports’ experience in airport management and VIP services.

The MoU was signed by Abdul Nasser Abdullah al Yamani, vice-president, Business Development, Oman Airports, and Christine Mwakatobe of KADCO.

The MoU stipulates that Oman Airports will undertake the development of the General Terminal for VIPs and hangar facility at Kilimanjaro International Airport, development of a five-star hotel for passengers and a business complex/shopping mall in the airport.

The MoU has scope for development of other facilities that may be agreed upon mutually between the parties.

‘This partnership will serve in developing the facilities referred to in the text of the MoU to ensure the provision of high-standard services as part of efforts to raise revenues for both the Tanzanian government that
ka owns the airport and Oman Airports,’ a press release said

Chanzo: The Citizen
Wanajenga kama mkopo au donation. Haya mambo hayawezekani ndio maana hatupendi. Sisi tumepata uhuru 1961 kabla ya oman iliyopewa uhuru na waingereza baada sultan qobos kutaka nchi yake kujiendesha kwa uhuru zaidi kutoka kwa waingereza mwaka 1964 ikiwa ni baada ya mapinduzi ya zanzibar.
Nchi yetu ni tajiri kabisa kwa mali asili. Inatupunguzia heshima kwenda na bakuli kila mahali kuombaomba mtu yeyote kwa kua mweupe hata kama ni muarabu.
Kama ni ushirikiano wa kibiashara au kiuchumi lakini ukweli watanzania hatutaki misaada ya kupewa kwa kua hakuna cha bure. Waomani wakijenga bure hapo kilimanjaro kwa hakika watatulipisha kwa njia isiyofaa.
 
Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

Makubaliano hayo yalitiwa saini na Abdul Nasser Abdullah al Yamani, makamu wa rais, Maendeleo ya Biashara, Viwanja vya Ndege vya Oman, na Christine Mwakatobe wa KADCO.
View attachment 2263284
Makubaliano hayo yanaeleza kuwa Shirika la Viwanja vya Ndege vya Oman litafanya uendelezaji wa Jengo la Watu Mashuhuri (VIP) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, Ujenzi wa hoteli ya nyota tano kwa ajili ya abiria na jengo la biashara/maduka makubwa katika uwanja huo.

MY TAKE;

Wanyama wetu watapona? Madini yetu ya Tanzanite je?

=====

Muscat. Oman Airports has on Monday June 13 signed a memorandum of understanding (MoU) with Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO) to develop a VIP passenger terminal in Kilimanjaro International Airport.

Following the agreement, Tanzania will benefit from Oman Airports’ experience in airport management and VIP services.

The MoU was signed by Abdul Nasser Abdullah al Yamani, vice-president, Business Development, Oman Airports, and Christine Mwakatobe of KADCO.

The MoU stipulates that Oman Airports will undertake the development of the General Terminal for VIPs and hangar facility at Kilimanjaro International Airport, development of a five-star hotel for passengers and a business complex/shopping mall in the airport.

The MoU has scope for development of other facilities that may be agreed upon mutually between the parties.

‘This partnership will serve in developing the facilities referred to in the text of the MoU to ensure the provision of high-standard services as part of efforts to raise revenues for both the Tanzanian government that owns the airport and Oman Airports,’ a press release said

Chanzo: The Citizen
 
Sijaona ubaya hapo. Maana ni hatua ya kimaendeleo ni mbaya kama isingefanyika kabisa.
 
Ngorongoro jumlisha Kili airport.. Moja jumlisha moja ni 11[emoji1545]
 
Pascal nimalizie hasabu yako, kwa kujibu kuwa ,kinachouzwa ni hifadhi ya Ngorongoro plus uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Airport iliyojengwa na baba wa Taifa mwaka 1972. Mwisho wa kunukuu.
 
Wanajenga kama mkopo au donation. Haya mambo hayawezekani ndio maana hatupendi. Sisi tumepata uhuru 1961 kabla ya oman iliyopewa uhuru na waingereza baada ya mapinduzi ya zanzaibar mwaka 1964. Nchi yetu ni tajiri kabisa kwa mali asili. Inatupunguzia heshima kwenda na bakuli kila mahali kuombaomba mtu yeyote kwa kua mweupe hata kama ni muarabu.
Kama ni ushirikiano wa kibiashara au kiuchumi lakini ukweli wstanzania hatutaki misaada ya kupewa kwa kua hakuna cha bure. Waomani wakijenga bure hapo kilimanjaro kwa hakika watatulipisha kwa njia isiyofaa.

Hapo wa kuwalaumu ni viongozi na tatizo letu Sisi ndio tunawachagua
Wao wanaangalia fursa na kama utakubali kwa masharti mabovu wao wanafurahia sio waarabu tu hata wazungu na wengine wanaotaka kuwekeza au wanatoa msaada

Mtu pekee aliekuwa anasaidia waafrika we zie bila maslahi alikuwa Qaddafi tu

Hawa wana lao jambo na viongozi wetu wanajidhalilisha sana na kuangalia matumbo yao tu kwani wanayoongea nyuma ya pazia hakuna anaeambiwa wala kuwekwa wazi

Haya mabakuli hayataisha kwani wanaposema tumepewa kiasi fulani iwe mikopo au nini
Tatizo ni uongo usioisha kila hela eti elimu mara hospitali ni mzunguko huo miaka na miaka
 
I
Ngorongoro jumlisha Kili airport.. Moja jumlisha moja ni 11
emoji1545.png
Ili wanyama wasafirishwe bila matatizo na kwa usiri lazima mwekezaji wa Ngorongoro, Loliondo awe huyo huyo ni mwekezaji wa uwanja wa KIA. Utakaotumika kusafirishs wanyama na vitoweo vya waarabu.
 
Ni mradi mzuri sana kwakua KIA kwa sasa inapokea wageni wengi sana hivyo kwa kiasi kikubwa sana itachangia kutuletea maendeleo
 
Flow ya international flights ipoje hapo KIA, anyway ni investment nzuri kwa ku boost utalii kwenye mbuga zetu na mlima kilimanjaro hasa kwa wale high profile tourists.
 
Ushauri wangu kwa watanzania:
1. Waarabu wanataka kuwekeza loliondo na ngorongoro sasa. Uwanja wa ndege wa KIA ujengwe na kufadhiliwa na watanzania wenye uwezo ili kukinda uhusiano wa uwekezaji wa wanyama na usafirishaji wake
 
Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

Makubaliano hayo yalitiwa saini na Abdul Nasser Abdullah al Yamani, makamu wa rais, Maendeleo ya Biashara, Viwanja vya Ndege vya Oman, na Christine Mwakatobe wa KADCO.
View attachment 2263284
Makubaliano hayo yanaeleza kuwa Shirika la Viwanja vya Ndege vya Oman litafanya uendelezaji wa Jengo la Watu Mashuhuri (VIP) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, Ujenzi wa hoteli ya nyota tano kwa ajili ya abiria na jengo la biashara/maduka makubwa katika uwanja huo.

MY TAKE;

Wanyama wetu watapona? Madini yetu ya Tanzanite je?

=====

Muscat. Oman Airports has on Monday June 13 signed a memorandum of understanding (MoU) with Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO) to develop a VIP passenger terminal in Kilimanjaro International Airport.

Following the agreement, Tanzania will benefit from Oman Airports’ experience in airport management and VIP services.

The MoU was signed by Abdul Nasser Abdullah al Yamani, vice-president, Business Development, Oman Airports, and Christine Mwakatobe of KADCO.

The MoU stipulates that Oman Airports will undertake the development of the General Terminal for VIPs and hangar facility at Kilimanjaro International Airport, development of a five-star hotel for passengers and a business complex/shopping mall in the airport.

The MoU has scope for development of other facilities that may be agreed upon mutually between the parties.

‘This partnership will serve in developing the facilities referred to in the text of the MoU to ensure the provision of high-standard services as part of efforts to raise revenues for both the Tanzanian government that owns the airport and Oman Airports,’ a press release said

Chanzo: The Citizen
Kwani wanyama wako wasipopona kuna shida?
 
Tumeuzwa!
Tunakopa?
Nani atamilimi maduka na mjengo wa VIP?
Asante raisi kwa kuwateremshia wajomba bei ya Tanzania.
 
KWa Sasa Mimi sitaki Wala sikia waarabu, Kama ambavyo wamekua wakiwafanyisha kazi za ajabu ndugu zetu wapendao huko , mfano ni dada mmoja alifika kule la kaa miaka 3 ila mda wote nifungiwa ndani kisa analea mbibi mmoja,Sasa wametugeukia kwenye aridhi yetu wapo radhi wamasai wafe kisa wanataka wanyama
Kesi yoyote,huwa inasikizwa na upande wa pili,ilitakiwa hao wanaosema wameteswa kwa kazi za ndani,wangewataja majina hao waliowatesa,mji wanaoishi,mtaa wanaoishi,namba ya nyumba.Vyombo vya habari vingefatilia ,na kujuwa ukweli.Lakini wengi wanaotaja wamefanyakazi za ndani,hawataji majina ya wahusika,hata jina moja,au wangetaja jina au majina ya waliowaunganisha katika hizo kazi,kama wao ,hao wafanyakazi,hawawajui,waliofanya kazi kwao.
Maelezo ya upande wa wanaodaiwa ni watesaji,hayapatikani.Kesi haimuliwi kwa maelezo ya upande mmoja.Huwa kawaida kisheria,hata mahakamani,mshtakiwa anatumiwa wito,mara tatu,asipotokea,ndio kuna taratibu nyingine,zinafuatwa.
 
Nilikuwa nashangaa kwanini serikali miaka yote hawakujenga mahoteli jirani na uwanja huu wa KIA?

Tusipige kelele sasa mdau wa maendeleo ameamua kuja kuwekeza baada ya nchi kufunguka na kuona fursa ambayo wazee wetu nashangaa hawakuiona inayotazama mlima maarufu wa Kilimanjaro na pia kujenga mahoteli wageni wafikie wakisubiri miruko / flight za ndege.
Haujui unachokiongea.
Mbona kuna Hotel & Lodges km 8 hivi toka uwanjani.
Kuna Kia Panoni Hotel, Planet Lodge, Kia Lodge nk.

Ila kikubwa ni kuubrand uwanja wa Kia ili uwe na hadhi ya kimataifa kwa kuongoza running way, VIP lounge, shopping place, waiting rooms, waiting lounge nk.

Ukweli huu uwanja ulisahaulikaga sana kwa muda mrefu na japo upo bz ila kumuonekano upo kama gofu.

Marehemu aliusahau sana na kwenda kujenga huko Chato sakati asilimia kubwa ya watalipwa wanautumia uwanja wa KIA

Hongera mama Samia kwa jitiada zako zisizo na upendeleo
 
wenye wivu mwaka huu watakufa au watapararaizi........maaana kwa jinsi Rais anavyo upiga mwingi ni hatari...
wachawi na wanga sasa wanahara kwa uchungu wa roho mbaya.

hakuna kurudi nyuma mwendo mdundo mpaka kieleweke.
 
Ushauri wangu kwa watanzania:
1. Waarabu wanataka kuwekeza loliondo na ngorongoro sasa. Uwanja wa ndege wa KIA ujengwe na kufadhiliwa na watanzania wenye uwezo ili kukinda uhusiano wa uwekezaji wa wanyama na usafirishaji wake
Uwezo wa kujenga SGR na madaraja km la Tanzanite upo..ila uwezo wa kufanya extension ya KIA haupo..! Hata hivyo hivi karibuni kumekuwa na ndege nyingi za moja kwa moja kutoka Israel kuja nchini kupitia KIA kuleta watalii..unawapa watu wawekeze KIA ambao ni mahasimu wa baadhi ya watumiaji wa uwanja huo ina mantiki ipi? au ndio ujumbe kwamba waisrael wasije tena, au watafute uwanja mwingine wakatue ndege zao, ni kweli mtu anayesumbua akili kutaka kufahamu vile biashara zinafanyika atashindwa kujua hili? Kupanga ni kuchagua huwezi kutaka upate vyote, yaani uwape waarabu KIA halafu wakati huo huo unataka waisrael waje kutalii kwenye mbuga zetu..
 
Back
Top Bottom