Uchaguzi 2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

Wampe sasa walau ukuu wa Wilaya siyo wamtelekeze kama Kafulila.
 
Nawewe unaamini hili?
 
Maskini, huyu nae mamluki washam-buy kwa pesa za madafu. Sisiem bana kwa kiki.
 
Lissu jibu hoja hizo za chadema kuhujumu maendeleo. Nimesikia nikashangaa na zisipojibiwa zitakuwa ni kweli.
 
Duh CCM imechokwa kweli kweli yaani wamefikia hatua ya kutumia siasa nyepesi kiasi hiki.
CCM wanatatapa mara wamtume tumbili kuzurula kwenye Maradio Tv kuongea hovyo hovyo kama mtu aliyechanganyikiwa.
 
Lissu jibu hoja hizo za chadema kuhujumu maendeleo. Nimesikia nikashangaa na zisipojibiwa zitakuwa ni kweli
Hoja gani hapo ebu jiongeze kuwa na Akili za kweli acha kuishi kwa kukariri ujinga wa CCM kiwepesi hivyo wenzako wajanja wamempuuza tayari
 
Kumbe alifanya yeye?! Huu upuuzi na maigizo yasiyolipiwa yanawafaa Lumumba. Mwananchi gani mwenye akili atakubaliana na uzwazwa huo?
Tatizo la CCM ni kuwadharau watanzania wakiwaona ni wajinga ndiyo maana huwatuma watu kwenda kuongea wakiamini wapo wajinga wataamini ingawa wengi hawana mda wa kusikiliza ujinga wa CCM.
 
Kipindi hiki ndicho Watanzania watajua unafiki wa CCM
 
Hii nchi bado hatujapevuka kisiasa. Kama unakua mwanasiasa na unakubali hicho alichokisema, ana matatizo. Yeye na hao aliowataja wanatakiwa kukamatwa kwa makosa hayo kama kweli yapo, vinginevyo ni utoto tu.
 
Hivi yule arumeru alipotelea wapi naye? Maana alikuja moto kweli kweli.
 
Kumbilamoto anajipendekeza ili akishinda udiwani ccm wampitishe kuwa meya. Nilikuwa namkubali huyu jamaa kwasababu wakati cuf ina mgogoro, yeye alikuwa upande wa Maalim. Hivi Charles Kuyeko ambaye alikuwa ndio meya kabla yake yuko wapi hivi sasa? Sababu aliunga mkono juhudi kabla ya Kumbilamoto.
 
Kosa LA kuhujumu uchumi wa nchi ni kubwa sana naomba haki itendeke tunataka serikali ya haki Uhuru na maendeleo tuanze na huyu akaozee segerea si anaona ni sifa kupayuka utopolo ushahid umekamikika amekiri mwenyew mbele ya umati.
 
Hii nchi bado hatujapevuka kisiasa. Kama unakua mwanasiasa na unakubali hicho alichokisema, ana matatizo. Yeye na hao aliowataja wanatakiwa kukamatwa kwa makosa hayo kama kweli yapo, vinginevyo ni utoto tu.

Zamani nilikuwa nikisikia wazungu wanatuita manyani nilikuwa napata hasira sana, lakini baada ya kufuatilia vizuri nimegundua wako sahihi. Kila siku rais anasema anataka kuona siasa za kistaarabu za kuhubiri sera, kisha anatokea mtu anafanya igizo la kitoto la kusema alihujumu miradi, kwa akili hizo hizo za kinyani anasemehewa na nyani mwenzake badala ya kushitakiwa! Ajabu watu wanashangilia huo utoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…