Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ndio maana Lissu Jana akiwa Singida kasema kuhusu vitambulisho vya wamachinga kukopea bank "huyu jamaa anatudanganya anatuona sisi washamba kama yeye"Amesema hata tarehe ya uchaguzi amepanga yeye.