Uchaguzi 2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

Uchaguzi 2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

Magufuli kahujumiwa sehemu nyingi sana, na hawa ma meya, madiwani na wabunge. Fedha nyingi za mifuko ya majimbo imetafunwa Sana, ndio maana namwelewa Sana Rais akisema nileteeni madiwani, wabunge wa CCM.
 
Mungu walaani Chadema wote waaioitakiamema nchi yetu, "aamin"
 
Kwel poyoyo atabaki hvyohvyo
Zimemwagwa siri kibao kuwa stendi ya MBEZI tu ilisumbua kujenga sababu kila diwani wa CHADEMA alikuwa na kampuni yake aliyotaka ipate tenda sababu wao ndio walikuwa wengi wakawa wanavutana tu wenyewe kwa wenyewe kwenye vikao vya jiji hadi hela ikawa haiwezi tumika.
 
Jomba hua anapenda kusamehe.

Nimemsamehe Kinana

Nimemsamehe Nape

Nimemsamehe Commisioner Andengenye

Nimemsamehe Wanaonichukia

Nimesamehe waliochagua upinzani 2015

Nimemsamehe.................Itaendea
Awasamehe waliompiga risasi Lissu.
 
Sasa kwanini wanadanganya Kama yeye anavyodanga? Kama katoka CUF kwanini ajipe ujiko wa CDM na mpaka anamchota akili Kiongozi mkubwa kirahisi hivyo?
 
Rais ametamka kumsamehe Kumbilamoto kwa yale aliyoyafanya.
Ona upumbavu mwingine huu, Rais hana mamlaka ya kumsamehe mkosaji kabla hajapelekwa kwenye mahakama ya kisheria.

Anahukumiwa kwanza yeye na washirika wenzake kisha kama Rais anajisikia kumsamehe atakavyo hapo anaruhusiwa.

Mfundisheni mzee wenu aheshimu katiba na sheria
 
Ona upumbavu mwingine huu, Rais hana mamlaka ya kumsamehe mkosaji kabla hajapelekwa kwenye mahakama ya kisheria.
Anahukumiwa kwanza yeye na washirika wenzake kisha kama Rais anajisikia kumsamehe atakavyo hapo anaruhusiwa.
Mfundisheni mzee wenu aheshimu katiba na sheria
Amesema hata tarehe ya uchaguzi amepanga yeye.
 
Huyu apewe ulinzi...wanaofanana na wale waliojulikana kule Tunduma na Njombe wako wengi katika chama hicho.
Mkuu mbona hufanani na hao wenye propaganda hizo za kitoto? Kule maisha ya kijana wa CCM yamepotea, na kama mnampenda kweli mngetaka uchunguzi wa kweli ili haki ya marehemu ipatikane sio mambo ya siasa za kitoto.

Polisi wangefuatilia hizi hints ingewasaidia.

IMG-20201012-WA0006.jpg
IMG-20201012-WA0007.jpg
IMG-20201012-WA0008.jpg
IMG-20201012-WA0009.jpg
 
Kosa LA kuhujumu uchumi wa nchi ni kubwa sana naomba haki itendeke tunataka serikali ya haki Uhuru na maendeleo tuanze na huyu akaozee segerea si anaona ni sifa kupayuka utopolo ushahid umekamikika amekiri mwenyew mbele ya umati
November nchi hii itakuwa chini ya utawala mwingine. Maneno aliyosema huyu hadharani tena bila shinikizo ni open plea guilty na kinachofuatia hapo ni adhabu tu.

Jee akijikuta mahakamani anasomewa hukumu ya kukiri kuhujumu uchumi wa nchi atamlaumu nani?

Mkewe na watoto watamlilia nani wakati baba kakiri hadharani dhambi alizoitendea nchi?

Ole wenu wanaccm wengi mdhanio chama chenu kitaendelea kupora madaraka toka kwa umma ya kuweka viongozi wao. Safari hii imekula kwenu. Sio polisi sio jeshi, mshindi ndio atatangazwa
 
Chama cha Mbowe, kinaweza kufanya zaidi ya hayo aliyoyasema huyo jamaa. Kama majitu mazima yanaambiwa kila mwezi yapeleke 1.5M kama michango ya chama kwa mwamaume mwenzao mwenyekiti na wanatii sembuse kuzuia utekelezaji miradi?. Chama cha mapunguani kabisa hicho.
Utakuwa na msongo wa mawazo,sio bure!Mwambieni huyo Mashinji awaeleze siri za CDM ili mseme hapa!Si alikuwa katibu mkuu wa chama na akawa ndiye anayesaini fedha za chama!Mwambieni CAG ambaye huwa anatoa hati isiyo na mashaka kwa CDM baada ya ukaguzi wa fedha za chama!

Propaganda za kipuuzi hutolewa na wapuuzi kwa ajili ya wapuuzi!

Sasa umekosea jukwaa kwa kuandika huo upuuzi wako!Labda FB,huenda ukaokota wapuuzi wenzako!
Acha kutumika kama kondomu!
 
Dada mkubwa hujui kitu huyo fala hajawahi kuwa Chadema,alikuwa diwani wa Vingunguti kupitia CUF.
Wepesi sana kudandia jambo ili waitaje Chadema na mioyo yao ifurahi. Ila safari hii imekula kwao, Lissu kesha mkatisha pumzi mwamba wao na ubabe wote tupa kule, magoti keshapiga bado kugalagala mavumbini kulilia kiti cha utukufu. Hapati kitu
 
Back
Top Bottom