n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Zimemwagwa siri kibao kuwa stendi ya MBEZI tu ilisumbua kujenga sababu kila diwani wa CHADEMA alikuwa na kampuni yake aliyotaka ipate tenda sababu wao ndio walikuwa wengi wakawa wanavutana tu wenyewe kwa wenyewe kwenye vikao vya jiji hadi hela ikawa haiwezi tumika.
Alipotoka CCM kwenda chadema hakuwa msaliti, ametoka chadema kwenda CCM kawa msaliti.Wasaliti wanatia huruma.
Awasamehe waliompiga risasi Lissu.Jomba hua anapenda kusamehe.
Nimemsamehe Kinana
Nimemsamehe Nape
Nimemsamehe Commisioner Andengenye
Nimemsamehe Wanaonichukia
Nimesamehe waliochagua upinzani 2015
Nimemsamehe.................Itaendea
Wewe ukiwa mmoja waoHata Chadema imejaa wanafiki kibao.
Labda tundu la choo lakini sio Mh. Tundu LissuTundu anaenda kupata aibu ya dunia awamu hii
Kafulila alijitelekeza mwenyewe baada ya kuacha ukatibu tawala kule songwe.Wampe sasa walau ukuu wa Wilaya siyo wamtelekeze kama Kafulila.
Ona upumbavu mwingine huu, Rais hana mamlaka ya kumsamehe mkosaji kabla hajapelekwa kwenye mahakama ya kisheria.Rais ametamka kumsamehe Kumbilamoto kwa yale aliyoyafanya.
Amesema hata tarehe ya uchaguzi amepanga yeye.Ona upumbavu mwingine huu, Rais hana mamlaka ya kumsamehe mkosaji kabla hajapelekwa kwenye mahakama ya kisheria.
Anahukumiwa kwanza yeye na washirika wenzake kisha kama Rais anajisikia kumsamehe atakavyo hapo anaruhusiwa.
Mfundisheni mzee wenu aheshimu katiba na sheria
Mkuu mbona hufanani na hao wenye propaganda hizo za kitoto? Kule maisha ya kijana wa CCM yamepotea, na kama mnampenda kweli mngetaka uchunguzi wa kweli ili haki ya marehemu ipatikane sio mambo ya siasa za kitoto.Huyu apewe ulinzi...wanaofanana na wale waliojulikana kule Tunduma na Njombe wako wengi katika chama hicho.
Kwa hiyo maoni yangu ni propaganda na ya kwako siyo propaganda...duh!Mkuu mbona hufanani na hao wenye propaganda hizo za kitoto? Kule maisha ya kijana wa ccm yamepotea, na kama mnampenda kweli mngetaka uchunguzi wa kweli ili haki ya marehemu ipatikane sio mambo ya siasa za kitoto.
Polisi wangefuatilia hizi hints ingewasaidia.View attachment 1597949View attachment 1597950View attachment 1597951View attachment 1597952
November nchi hii itakuwa chini ya utawala mwingine. Maneno aliyosema huyu hadharani tena bila shinikizo ni open plea guilty na kinachofuatia hapo ni adhabu tu.Kosa LA kuhujumu uchumi wa nchi ni kubwa sana naomba haki itendeke tunataka serikali ya haki Uhuru na maendeleo tuanze na huyu akaozee segerea si anaona ni sifa kupayuka utopolo ushahid umekamikika amekiri mwenyew mbele ya umati
Dada mkubwa hujui kitu huyo fala hajawahi kuwa Chadema,alikuwa diwani wa Vingunguti kupitia CUF.Alipotoka CCM kwenda chadema hakuwa msaliti, ametoka chadema kwenda CCM kawa msaliti.
Utakuwa na msongo wa mawazo,sio bure!Mwambieni huyo Mashinji awaeleze siri za CDM ili mseme hapa!Si alikuwa katibu mkuu wa chama na akawa ndiye anayesaini fedha za chama!Mwambieni CAG ambaye huwa anatoa hati isiyo na mashaka kwa CDM baada ya ukaguzi wa fedha za chama!Chama cha Mbowe, kinaweza kufanya zaidi ya hayo aliyoyasema huyo jamaa. Kama majitu mazima yanaambiwa kila mwezi yapeleke 1.5M kama michango ya chama kwa mwamaume mwenzao mwenyekiti na wanatii sembuse kuzuia utekelezaji miradi?. Chama cha mapunguani kabisa hicho.
Waanze na huyo anayekiri hadharani kuhujumu uchumi!Akamatwe na aliyewatuma.
πππ Haya maigizo kweli mnawafanyia Watanzania wenye akili timamu? Aibu kwakweliRais ametamka kumsamehe Kumbilamoto kwa yale aliyoyafanya.
Wepesi sana kudandia jambo ili waitaje Chadema na mioyo yao ifurahi. Ila safari hii imekula kwao, Lissu kesha mkatisha pumzi mwamba wao na ubabe wote tupa kule, magoti keshapiga bado kugalagala mavumbini kulilia kiti cha utukufu. Hapati kituDada mkubwa hujui kitu huyo fala hajawahi kuwa Chadema,alikuwa diwani wa Vingunguti kupitia CUF.