Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Oct 12, 2020 #81 Matola said: Amesema hata tarehe ya uchaguzi amepanga yeye. Click to expand... Ndio maana Lissu Jana akiwa Singida kasema kuhusu vitambulisho vya wamachinga kukopea bank "huyu jamaa anatudanganya anatuona sisi washamba kama yeye"
Matola said: Amesema hata tarehe ya uchaguzi amepanga yeye. Click to expand... Ndio maana Lissu Jana akiwa Singida kasema kuhusu vitambulisho vya wamachinga kukopea bank "huyu jamaa anatudanganya anatuona sisi washamba kama yeye"
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Oct 12, 2020 #82 Hapo kwenye mikopo TAKUKURU wachunguze kinachoendelea kuna watu wataenda gerezani.
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 28,064 Reaction score 31,401 Oct 12, 2020 #83 Sasa anakuja mjinga eti Chadema itaongoza nchi hahaha.
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 28,064 Reaction score 31,401 Oct 12, 2020 #84 Chakaza said: Ndio maana Lissu Jana akiwa Singida kasema kuhusu vitambulisho vya wamachinga kukopea bank "huyu jamaa anatudanganya anatuona sisi washamba kama yeye" Click to expand... Kibendera Kama kawaida yako Kweli wewe Fuata upepo Na huyo Mtetea mashoga Ikulu ataisikia tu
Chakaza said: Ndio maana Lissu Jana akiwa Singida kasema kuhusu vitambulisho vya wamachinga kukopea bank "huyu jamaa anatudanganya anatuona sisi washamba kama yeye" Click to expand... Kibendera Kama kawaida yako Kweli wewe Fuata upepo Na huyo Mtetea mashoga Ikulu ataisikia tu
Gullam JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 5,239 Reaction score 3,933 Oct 12, 2020 #85 Umechemka huyo alikuwa meya msaidizi kutokea CUF.
X X-bar JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 1,006 Reaction score 1,156 Oct 12, 2020 #86 Papushikashi said: Hakuwa CHADEMA , alikuwa CUF Click to expand... Waandishi wengi hawataki kuandika "CUF" wakidhani kufanya hivyo ni kukiongezea uhai na umaarufu chama hicho.
Papushikashi said: Hakuwa CHADEMA , alikuwa CUF Click to expand... Waandishi wengi hawataki kuandika "CUF" wakidhani kufanya hivyo ni kukiongezea uhai na umaarufu chama hicho.