Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

Sijamtaja Mungu kaka nimemtaja Mussa..Mussa alikuwa mfanya mazingaombwe. Ana vitabu vyake vya siri ameviandika. Wachawi na wajanja wanajua wote wanajua kuhusu hivyo vitabu na nguvu yake. Nilipotaja 5 books of Moses hiyo ni code ambayo huwezi kuijua kama Wewe sio mjanja maana kwenye mambo ya rohoni. Reaction yako imethibitisha kwamba kwenye mambo ya rohoni wewe bado mchanga sana.

Laiti ungalijua! Okay. Ila wacha tufurahie tu humu, do not take it personal
 
Kama mfumo wa Gamondi hautumii mawinga sasa huu usajili ya Okrah tunaousikia utakuwa umefanywa na nani?
Ngoja tuone Gamondi atamtumiaje.....anaweza akamgeuza kuwa striker..no one knows....
 
Skudu tena???

Ila watu hamna jema

Huyu si ndio yule alipigiwa promosheni na ttulikesha macho wazi kusubiria atangazwe saa 6?

Kweli Soka la bongo ni kivyetuvyetu

Ile promo ilikuwa iwe ya Ngoma, watu wakafanya umafia....
 
musonda nafasi haitendei haki inabid ataftwe mbadala manake kashapewa sana nafasi

forward anamagori 4 sijui afu kiungo anakuja kuwa magori zaid yake hapana
 
Ngoja tuone Gamondi atamtumiaje.....anaweza akamgeuza kuwa striker..no one knows....
Sasa kama sababu ya nyie kumsajili ni kutokana na mafanikio yake ambayo amekuwa akipata kupitia position hiyo huoni kumbadilishia upande ni risk ambayo inaweza kufanya asikupe kile ulicho kiona?
 
musonda nafasi haitendei haki inabid ataftwe mbadala manake kashapewa sana nafasi

forward anamagori 4 sijui afu kiungo anakuja kuwa magori zaid yake hapana
Na hivi lile dili la Chivaviro lilifikia wapi?

Nilisikia kwenye ile 2nd leg ya final ya African Football league iliyofanyika Afrika Kusini, Hersi alienda kumalizana na Chivaviro
 
Hivi kwa nini mnapendaga kumzuia Mzize aisende kucheza timu ya taifa? Hii imekaaje kisheria?
 
Imeshafan
Sasa kama sababu ya nyie kumsajili ni kutokana na mafanikio yake ambayo amekuwa akipata kupitia position hiyo huoni kumbadilishia upande ni risk ambayo inaweza kufanya asikupe kile ulicho kiona?
yika mara kadhaa ...kwa Farid musa kucheza back ya kushoto na alifanya vyema tu, same kwa dickson Job kuchezedhwa kama kiungo baadhi ya match na waka perform . Mbinu za kocha ni ngumu sana kuzitabiri unless tuone mipango yake ikoje akishapanga kikosi
 
Unafikiri mara zote utapata outcome ile ile?

Kwani huyo Moloko ilishindikana vipi kucheza kama striker?
 
Ungejua maisha ninayoishi!!!! Haya we! Basi tu mapumziko yangu baada ya kukesha na kazi zangu ni jamii Forums, na huku nakuta vijana wanaandika ujinga, lazima tuwaonye.
Hakuna anaeishi maisha mazuri halafu kwenye profile yake akaweka picha ya mchezaji
 
Musonda ana afadhari huwezi kuacha ukaleta mtu huna uhakika nae bora Konkoni apishe
 
Na hivi lile dili la Chivaviro lilifikia wapi?

Nilisikia kwenye ile 2nd leg ya final ya African Football league iliyofanyika Afrika Kusini, Hersi alienda kumalizana na Chivaviro
Ulimsikia mumeo? Acha habari za kusikia utapata mimba tena shauri yako...badala uzungumzie ujio wa manzoki kwenye uchaguzi wa simba unakaza fuvu kuzungumzia mambo ya nasikia
 
Ulimsikia mumeo? Acha habari za kusikia utapata mimba tena shauri yako...badala uzungumzie ujio wa manzoki kwenye uchaguzi wa simba unakaza fuvu kuzungumzia mambo ya nasikia
Kwanini umechagua kunijibu kwa namna hii?

Aiseee!!! Ni hatari
 
Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.

Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere.

I beg you by five books of Moses please don't let Musonda go.

Am saying this from a spiritual perspective.

Anga la sasa katika ulimwengu wa kiroho kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania na barani Afrika kwa ujumla, linalazimisha Musonda lazima aendelee kuwepo ndani ya kikosi cha Yanga no matter what.

Am saying this because I know what Musonda' s aura represents in the realm of the spirit.

Ningekuwa mkuu wa benchi la ufundi la Yanga ningeshauri Musonda ndio awe wa kwanza kuingia na kutoka ndani ya pitch.

Please my brother. Take this advice serious
Wewe kweli mpiga ramli. Lakini naamini unaweza kunisaida kwenye ku_bet. Maana mikeka yangu inachanika kweli siku hizi.
 
Mchezaji wa kuachwa ni moloko, skudu na konkon.. Moloko ni winga wa kizaman sana na huyo skudu ni ball dancer tu hakuna mchezaji pale.

Musonda apewe muda naamini ana kitu

Yanga ilete winga mbunifu itapendeza zaid anayetumia mguu wa kushoto acheze upande wa kulia, winga anayelifata box akiwa na mpira, winga anayemfata beki na kulazimisha kuingia kwenye box. Moloko winga wa kizaman sana aondoke.

Asajiliwe Holding midfielder halisi ili aucho asogee acheze kama Central midfielder kutokana na uwezo mkubwa wa pasi sahihi wa aucho anapaswa kucheza Central midfielder
 
Skudu ni mchezaji mzuri ana kasi, skills, ni hatari kwenye box anatakiwa aache kuzezea mpira anapoza mashambulizi
 
Back
Top Bottom