Ombi kwa Utumishi: Mwenzi huu tunaingia mwezi mtukufu wa mfungo

Mkuu sio kushirikiana tuna saidiana kwa kila kitu mpaka kwenye sherehe za ubatizo wao, sio ni wastaarabu sanaa.
Mnashirikiana na makafir, how?
 
Tàtizo mtu akifunga anaanza kuwatafuta wasiofunga awacharaze bakora.
 
Ukifunga usiwafatefate ambao hawajafunga, huko ndo kuheshimu imani zà wenzetu.
Tunafanya nao kazini ofisi moja kwahiyo tuko sehemu hiyo hiyo, sioni kama ni heshima ulete chakula ofsini wakati kuna cafeteria ambapo unaweza ukalia huko huko.
 
Mnashirikiana na makafir, how?
Kafiri ni nani? Mtu mwenye kuamini Mungu sio vizuti kumuita kafri hilo neno hapa linachukuliwa vibaya mkuu
 
Mkuu dini sio ushindani mimi hapa naongelea mfungo ttakatifu wa mwezi wa Ramadhani una masharti yake wewe unakuja na mfungo mwingine tena vip?
Hebu thibitisha utakatifu wa hicho unachokitaja
 
Hebu thibitisha utakatifu wa hicho unachokitaja
Soma Qur"an alisha qeka bayana kwamba hu mwezi ni mtakatifu zaidi.......ila siko hapa kwa ajili ya ligi niko hapa kuhamasisha umuhimu wa mwezi hu.
 
unatoa wito kwa, HAZINA/WIZARA YA FEDHA, TBS, EMPLOYERS WOTE, EMPLOYEES WOTE, WASIO WAISLAMU WOTE
 
Maombi mengine ya kipumbavu. Muda wa kutoa mshahara ubaki kama ulivyo kama ni tarehe 24 mwezi huu utoke hivyo na kama ni tarehe 28 iwe hivyo. NI UPUUZI KULETA MADEKO.
 
unatoa wito kwa, HAZINA/WIZARA YA FEDHA, TBS, EMPLOYERS WOTE, EMPLOYEES WOTE, WASIO WAISLAMU WOTE
Ndiyo wajue hilo kwamba zaidi ya 50% ya walipa kodi wa nchi wanaingia kwenye mwezi mtukufu .
 
Yani nisile hadharani kwa mtu alieamua kushinda njaa ,? Nchi ya ajabu sana hii
 
Mkuu tuheshimu Imani za wenzetu ili tudumishe amani na utulivu wa nchi yetu
Mengine si ya kuheshimu ni ya kukemea. Hakuna kuheshimu Upuuzi. Suala la kufunga ni la mtu binafsi si suala la Kitaifa. Msitake kufanya waislamu waonekane walalamishi na wenye madeko.
 
Maombi mengine ya kipumbavu. Muda wa kutoa mshahara ubaki kama ulivyo kama ni tarehe 24 mwezi huu utoke hivyo na kama ni tarehe 28 iwe hivyo. NI UPUUZI KULETA MADEKO.
Mkuu wewe ni nani kukata ombi la watu ambao wana haki kama raia wengine.
 
Hilo la 4 linaonesha mwandishi ana matatizo makubwa. Kufunga kwako kunamhusu nini mtu ambaye hajafunga. WATU WATAKULA HADHARANI NA MUDA WOWOTE ULE. UPUUZI HUO PELEKENI HUKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…