Ombi kwa Utumishi: Mwenzi huu tunaingia mwezi mtukufu wa mfungo

Mtu akila mbele yako usimuangalie jifanye unapita tu
 
Ajabu ni kuwa wakristo hawasemi hizo habari wakiwa kwenye mfungo wao,kwanini sisi tunakuwa na shida
Sidhani km mtu. Mwenye Imani thabiti na amefunga km anaweza kutamni chakula huko mtaani maana hata kupika tunapka tukiwa tupo kwenye swaumu mbona
Aaliyyah mfungo ukianza naitwa IZUDIN ABDULRAHMAN BANADIIR
 
Tut
Mkuu ni ombi sio agizo ili tuheshimiane na tuwe wahimilivu kwa wrnzetu.
Tutaendelea kufanya tunavyopenda ilimaradi hatuvunji sheria za nchi wenyewe watajijua na mambo yao
 
Chuki zimekutawala ila huna la kufanya huo ni mwezi mtukufu unaheshimika dunia nzima hata uko ulaya kuna kua na mabadiliko katika mfumo mzima.
Yaan nichukue hekaya za mudy, mambo hewa ambayo hayana mbele wala nyuma.

Mkipewa negative comments mnawaza chuki tu, chuki gani?? Hamtaki kuambiwa ukweli, nani awachukie nyie? Nyie ndio mmejaa chuki, kila siku kweny sala zenu kazi kulaani wakristo na wayahudi.

STUPID๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ