GE2025 Ombi la kuletwa kwa Humphrey Polepole, mahakama yamjibu Kibatala HAIWEZEKANI

GE2025 Ombi la kuletwa kwa Humphrey Polepole, mahakama yamjibu Kibatala HAIWEZEKANI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Halafu kuna watu bado mnapata ujasiri wa kumuunga mkono yule nyoka muuaji na mwenye sumu kali! Kisa tu anarembua macho na kuongea kwa lugha laini yenye bashasha!! Mimi kwa kweli hapana. Hata sura yake sihitaji kuiona. Ninamchukia sana yule nyoka.
Mbona kama umekata tamaaa
 
..Ila hili la watu kutekwa na kupotea lina kuchafua sana Mh Rais Samia..

Siyo tu linamchafua Rais lakini pia hata nchi inachàfuka.
Nilikuwa napitia page ya BBC Africa news yaani watu walivyokuwa wanacomment na kuizungumza Tanzania vibaya. Comments kutoka Europe,America, Asia, west africa.

Wengine wanaifananisha Tanzania na Eritrea. Iñasikitisha sana.

Wengine wakawa wanashangaa A woman become a Dictator???
 
haujawai kusikia nguruwe anakula watoto akiwa na njaa wewe? Ndo kinachoendelea Tanzania. Njaa za madaraka zinafanya sisi watoto wa nchi tuliwe, labda tukae kimya kama misukure ndo tutabaki salama kwa amani bandia.
Nataka nione watakufa wangapi, maana siku zinavyozid kwenda wakosoaji ndio wanazidi, ukiua wawili wanaibuka wa5
 
Wawasiliane na yule mtonyaji aliyesema huenda yupo sehemu fulani au sijui anataka kupelekwa wapi wapewe warrant na wakisaidiana na vyombo vya sheria wakafanye uchunguzi...

Si tuliambiwa ana CHIP ?!!!; Haya mambo ishakuwa tabu tayari na tunaendelea kulea hili liki-Donda Ndugu....; Sioni kama haya mambo yanachukuliwa Serious hata kidogo
Ile ya Kaka yake HP kusema ana chip sidhani kama alimaanisha hivyo. Kibinadam ndugu yako akifanyiwa kitendo kama kile na si ajabu alishuhudia damu zilizomwagika, hivyo, kwa fikra zangu Ile ilikuwa ni kama sehemu ya kutisha watekaji wasiendelee na mipango ovu juu yake. Nadhani hata wewe kihisia mfano; ukifiwa na ndugu yako wa karibu kuna hali ya sintofahamu hutokea.
 
Ile ni mitaa ya kishua nyumba kadhaa hazikosi CCTV aende kuomba msaada atapata wasamaria wema watakaompa footage.

Mbona wataliona hilo gari most likely ni yale ma-pickup ya polisi likiingia na kutoka. Common sense kwa zile damu lazima walienda na cruiser ya polisi tu na kumtupa nyuma.

Kusema hawajui halipo maana yake jeshi la polisi limekuwa sehemu ya ‘aiding and abetting’ criminal activities.

Nchi imekuwa ya hovyo sana, taasisi inayotakiwa kuaminiwa na wananchi imekuwa sehemu ya ujangili.
 
Kwa jinsi hili tukio lilivyokuwa na uzito mkubwa hivi na kila mtu anajua chombo cha dola ndio kimehusika, sidhani kma hao majirani watakuwa na ujasiri wa kutoa ushirikiano wa namna yoyote ile kwenye kumbaini muhusika.
 
Waitake mahakama itoe hiyo amri, nyumba zenye CCTV zitoe footages, kuzuia ushahidi pia ni kosa la jinai.

Moreover isije onekana hao wenye nyumba wana viherehere. Mahakama ikikataa kutoa hiyo amri, tujue ambalo lililowazi Polepole kachukuliwa na polisi.

Mwisho wa siku wampeleke kwa familia yake akiwa hai au umauti.
 
Hivi ni kwa nini na ni nadra sana humu duniani kwa serikali yeyote kunyanyua mikoni juu na kusema imeshindwa kazi za kulinda Raia na Mali zao... ? Ni kwa nini ?
Madaraka ya kulevya 😭😭😭😭
 
Hivi ni kwa nini na ni nadra sana humu duniani kwa serikali yeyote kunyanyua mikoni juu na kusema imeshindwa kazi za kulinda Raia na Mali zao... ? Ni kwa nini ?
Serikali ya Tanzania haijashindwa kazi ya kuwalinda raia, serikali ndiyo inayowaua.
 
Ile ya Kaka yake HP kusema ana chip sidhani kama alimaanisha hivyo. Kibinadam ndugu yako akifanyiwa kitendo kama kile na si ajabu alishuhudia damu zilizomwagika, hivyo, kwa fikra zangu Ile ilikuwa ni kama sehemu ya kutisha watekaji wasiendelee na mipango ovu juu yake. Nadhani hata wewe kihisia mfano; ukifiwa na ndugu yako wa karibu kuna hali ya sintofahamu hutokea.
Ile ya chip ni geresha tu mkuu.

Suala la kumuwekea mtu chip si rahisi hivyo.

Kwanza mtu akiwa na chip ukisema anayo si ndiyo unawataarifu watekaji waitoe?

Zile ni tishatisha tu kama ulivyosema.
 
Hizi tulikuwa tunazitengeneza Tambaza.

Watu wanasoma Chemistry, sisi tunatengeneza Molotov cocktail.
 
Na huyu ni miongoni mashahidi wa policcm kwenye kesi ya Lissu

John kaaya: Waheshimiwa Majaji pamoja na hayo matamshi niliyosema, pale aliposema kuwa mahakamani hakuendeki kwasababu majaji ni watu wa Rais na ni MACCM niliona taarifa hiyo ina viashiria vya jinai.

Hadi hapo bado mnawaamini hawa watu?
 
Siyo tu linamchafua Rais lakini pia hata nchi inachàfuka.
Nilikuwa napitia page ya BBC Africa news yaani watu walivyokuwa wanacomment na kuizungumza Tanzania vibaya. Comments kutoka Europe,America, Asia, west africa.

Wengine wanaifananisha Tanzania na Eritrea. Iñasikitisha sana.

Wengine wakawa wanashangaa A woman become a Dictator???
Siku akijua kama URAIS hauna ushirika itakuwa too late..awe makini na hao chawa
 
Back
Top Bottom