imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Malaria kidogo iniueNilikuwa na wasiwasi mkubwa na wewe, kuwa yamekufika hayo hayo!
Utakimbiaje mapambano?
Malaria kidogo iniueNilikuwa na wasiwasi mkubwa na wewe, kuwa yamekufika hayo hayo!
Utakimbiaje mapambano?
Kwani wewe unamwonaje huyo 'Mh Rais Samia"? Unamwona kuwa hana uwezo wa kuteka watu?..Ila hili la watu kutekwa na kupotea lina kuchafua sana Mh Rais Samia..tunajiuliza umeshindwa KUTULINDA?..Watekaji wana nguvu zaidi ya DOLA yetu?
Pole zako.Malaria kidogo iniue
Kama Malaria yangu huiamini utaamini mpango wangu wa 29 Oktoba?Pole zako.
Lakini tafuta mwingine wa kumdanganya kuhusu 'malaria'; siyo mimi!
Hakuna malaria ya namna hiyo.
Pamoja na yote, achana na hayo; lete mrejesho wa maandalizi ya ukombozi wa taifa letu huko uliko; kuelekea Oktoba 29. Hii ndiyo habari muhimu kwa sasa.
Basi bhwana, naona ulikuwa kwenye mafunzo maalum. Mambo ya nchi hii yanatisha sana. Kama akina Wenje iliwezekana; itashindikana kwa sisi wengine?Kama Malaria yangu huiamini utaamini mpango wangu wa 29 Oktoba?