Mbona kama umekata tamaaaHalafu kuna watu bado mnapata ujasiri wa kumuunga mkono yule nyoka muuaji na mwenye sumu kali! Kisa tu anarembua macho na kuongea kwa lugha laini yenye bashasha!! Mimi kwa kweli hapana. Hata sura yake sihitaji kuiona. Ninamchukia sana yule nyoka.
..Ila hili la watu kutekwa na kupotea lina kuchafua sana Mh Rais Samia..
Nataka nione watakufa wangapi, maana siku zinavyozid kwenda wakosoaji ndio wanazidi, ukiua wawili wanaibuka wa5haujawai kusikia nguruwe anakula watoto akiwa na njaa wewe? Ndo kinachoendelea Tanzania. Njaa za madaraka zinafanya sisi watoto wa nchi tuliwe, labda tukae kimya kama misukure ndo tutabaki salama kwa amani bandia.
Ile ya Kaka yake HP kusema ana chip sidhani kama alimaanisha hivyo. Kibinadam ndugu yako akifanyiwa kitendo kama kile na si ajabu alishuhudia damu zilizomwagika, hivyo, kwa fikra zangu Ile ilikuwa ni kama sehemu ya kutisha watekaji wasiendelee na mipango ovu juu yake. Nadhani hata wewe kihisia mfano; ukifiwa na ndugu yako wa karibu kuna hali ya sintofahamu hutokea.Wawasiliane na yule mtonyaji aliyesema huenda yupo sehemu fulani au sijui anataka kupelekwa wapi wapewe warrant na wakisaidiana na vyombo vya sheria wakafanye uchunguzi...
Si tuliambiwa ana CHIP ?!!!; Haya mambo ishakuwa tabu tayari na tunaendelea kulea hili liki-Donda Ndugu....; Sioni kama haya mambo yanachukuliwa Serious hata kidogo
Kwa jinsi hili tukio lilivyokuwa na uzito mkubwa hivi na kila mtu anajua chombo cha dola ndio kimehusika, sidhani kma hao majirani watakuwa na ujasiri wa kutoa ushirikiano wa namna yoyote ile kwenye kumbaini muhusika.Ile ni mitaa ya kishua nyumba kadhaa hazikosi CCTV aende kuomba msaada atapata wasamaria wema watakaompa footage.
Mbona wataliona hilo gari most likely ni yale ma-pickup ya polisi likiingia na kutoka. Common sense kwa zile damu lazima walienda na cruiser ya polisi tu na kumtupa nyuma.
Kusema hawajui halipo maana yake jeshi la polisi limekuwa sehemu ya ‘aiding and abetting’ criminal activities.
Nchi imekuwa ya hovyo sana, taasisi inayotakiwa kuaminiwa na wananchi imekuwa sehemu ya ujangili.
Waitake mahakama itoe hiyo amri, nyumba zenye CCTV zitoe footages, kuzuia ushahidi pia ni kosa la jinai.Kwa jinsi hili tukio lilivyokuwa na uzito mkubwa hivi na kila mtu anajua chombo cha dola ndio kimehusika, sidhani kma hao majirani watakuwa na ujasiri wa kutoa ushirikiano wa namna yoyote ile kwenye kumbaini muhusika.
Madaraka ya kulevya 😭😭😭😭Hivi ni kwa nini na ni nadra sana humu duniani kwa serikali yeyote kunyanyua mikoni juu na kusema imeshindwa kazi za kulinda Raia na Mali zao... ? Ni kwa nini ?
Serikali ya Tanzania haijashindwa kazi ya kuwalinda raia, serikali ndiyo inayowaua.Hivi ni kwa nini na ni nadra sana humu duniani kwa serikali yeyote kunyanyua mikoni juu na kusema imeshindwa kazi za kulinda Raia na Mali zao... ? Ni kwa nini ?
Ile ya chip ni geresha tu mkuu.Ile ya Kaka yake HP kusema ana chip sidhani kama alimaanisha hivyo. Kibinadam ndugu yako akifanyiwa kitendo kama kile na si ajabu alishuhudia damu zilizomwagika, hivyo, kwa fikra zangu Ile ilikuwa ni kama sehemu ya kutisha watekaji wasiendelee na mipango ovu juu yake. Nadhani hata wewe kihisia mfano; ukifiwa na ndugu yako wa karibu kuna hali ya sintofahamu hutokea.
Hizi tulikuwa tunazitengeneza Tambaza.
Kila mtanzania ana mafuta yana yowaka ndani kwake, utambi, vitambaa na viberiti... Siku ya Maandamano hakikisha mnatembea kwa mbinu ya semi-circle hili kuwazunguka Polisi katika makundi yanagawanya resources za polisi (hili kuzi exaust/stretch resources za polisi)
Hakikisheni hizi explosives mnarusha nyuma ya mistari ya Polisi, hili kuhakikisha wanakuwa katika defensive move na sio offensive, this will collapse police force maeneo yote watakayo enda kuzuia maandamano.
Sehemu yoyote mtakayo washinda polisi wapigeni picha na mtume kwa waandamanaji wengine nchi nzima, This...
- MlimaSayuni
- Replies: 1
- Forum: Jukwaa la Siasa
Siku akijua kama URAIS hauna ushirika itakuwa too late..awe makini na hao chawaSiyo tu linamchafua Rais lakini pia hata nchi inachàfuka.
Nilikuwa napitia page ya BBC Africa news yaani watu walivyokuwa wanacomment na kuizungumza Tanzania vibaya. Comments kutoka Europe,America, Asia, west africa.
Wengine wanaifananisha Tanzania na Eritrea. Iñasikitisha sana.
Wengine wakawa wanashangaa A woman become a Dictator???
Nilikuwa na wasiwasi mkubwa na wewe, kuwa yamekufika hayo hayo!