Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Hakujawahi kutokea utawala wa kishamba kama huu, eti jitu linazima internet, huu ni utoto na uhuni wa kizamani katika ubora wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoga tu,mijizi mikubwa..hata kama ni social media,uchaguzi si umepita tayari,aachia mitandao ya kijamii watu waendelea na maishaUzi huu umenifanya kuelewa kiwango cha ukilaza wa Baadhi yetu humu Jf
Wengi hawajui tofauti ya Social media na Internet
TCRA wame block social media sio internet
Uoga tu,mijizi mikubwa..hata kama ni social media,uchaguzi si umepita tayari,aachia mitandao ya kijamii watu waendelea na maisha
CCM haihitaji uchaguzi kutawala. Samia alisema "...hata msipotuchagua tutaunda siri-kali.."
Na ndicho wamefanya waovu hawa
Huu ni udikteta..wewe unadhani mitandao ya kijamii haina umuhimu kwa watu?..Halafu kama wameifunga jumla watoe public notice tujueBila shaka nimekuelewesha tofauti ya social media na Internet
Kama mmeshindwa kulinda masanduku ya kura mngeweza kweli kulinda Migodi ya dhahabu na Almasi?
Tuliwaambia baada ta uchaguzi mtarudia wimbo wenu mkongwe wa kuibiwa kura mkabisha
Huu ni udikteta..wewe unadhani mitandao ya kijamii haina umuhimu kwa watu?..Halafu kama wameifunga jumla watoe public notice tujue
Mnaweka mawakala, policcm wanawakamata na kuwahifadhi mahabusu kupisha utumbukizaji wa shehena ya kura za ccm zilizokwishapigwa, wangefanya nini?Kama mmeshindwa kulinda masanduku ya kura mngeweza kweli kulinda Migodi ya dhahabu na Almasi?
Samahani nimekuignoreInternet imefungwa ili kupunguza habari za uongo kipindi hiki cha uchaguzi kwa ajili ya usalama wa taifa.
Pumbavu kabisaChuo cha Shangaz yako ndio kimefunguliwa?
Unaakili ww?
University huwa kuna system yenye Dashboard ya kuwezesha Mzunguko wa Materials zisambazwe.. na kwa sas hakuna Chuo kilicho wazi
Ndio ujue katika siasa humo tu upende usipende unahusika kimatokeooIssue ya internet naombeni mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine siasa kama police na bangi yaani kwakweli hatutaki hata kusikia mambo ya siasa ila fungueni internet haya ya kutumia VPN ni mateso sana.
Tuliza MarindaPumbavu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Na utamsikia mwenyewe akisema 'Kwanini mnawazimia internet wananchi wangu wanyoooonge kabisa,ona sasa hata vijana wanaoishi kwa kuuza miziki na movie kwny flash hawawezi kufanya kazi yao kwa sababu hakuna internet,kweli ndg zangu watanzania naomba mniombee sana hii kazi ya urais ni ngumu saaana mpk najuta kwanini nilisukumizwa huku'.