Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Hakujawahi kutokea utawala wa kishamba kama huu, eti jitu linazima internet, huu ni utoto na uhuni wa kizamani katika ubora wake.
 
Uzi huu umenifanya kuelewa kiwango cha ukilaza wa Baadhi yetu humu Jf

Wengi hawajui tofauti ya Social media na Internet

TCRA wame block social media sio internet
 
Uzi huu umenifanya kuelewa kiwango cha ukilaza wa Baadhi yetu humu Jf

Wengi hawajui tofauti ya Social media na Internet

TCRA wame block social media sio internet
Uoga tu,mijizi mikubwa..hata kama ni social media,uchaguzi si umepita tayari,aachia mitandao ya kijamii watu waendelea na maisha
 
Bila shaka nimekuelewesha tofauti ya social media na Internet

Kama mmeshindwa kulinda masanduku ya kura mngeweza kweli kulinda Migodi ya dhahabu na Almasi?

Tuliwaambia baada ta uchaguzi mtarudia wimbo wenu mkongwe wa kuibiwa kura mkabisha
Uoga tu,mijizi mikubwa..hata kama ni social media,uchaguzi si umepita tayari,aachia mitandao ya kijamii watu waendelea na maisha
 
Leo nimekutana na mtu wa Vodacom kwamba wataanza kuachia taratibu Internet kuanzia Jumamosi usiku lakini sio kwa wingi sana.

Nikauliza mpaka lini itakuwa imeachiwa huru kabisa?

Jibu: Mpaka mwaka huu uishe na unaandaliwa utaratibu mkubwa wa ubanaji wa maswala ya internet hii ilikuwa ni trials na imefanikiwa sana.

Nikauliza kwahiyo tuanze kuhesabu siku?

Jibu: Hesabuni kwelikweli

Sasa ndugu zangu wa JF kwa kadri binadamu anavyobanwa ndivyo ubongo iliokaa empty hufanya kazi. Kuna kila njia wale IT waingie sasa mtandaoni maana naamini kule China, Korea kaskazini na sehemu zote zenye utawala wa kiimla watu wana njia mbadala ya mawasiliano. Ni lazima tuanze hivyo sasa.
 
Kinana pia aliwaambieni Uchaguzi unaanzia wakati wa kuhesabu kura na unaisha matokeo yakitoka, nyie mkawa bussy kuzurura mikoani
CCM haihitaji uchaguzi kutawala. Samia alisema "...hata msipotuchagua tutaunda siri-kali.."
Na ndicho wamefanya waovu hawa
 
Bila shaka nimekuelewesha tofauti ya social media na Internet

Kama mmeshindwa kulinda masanduku ya kura mngeweza kweli kulinda Migodi ya dhahabu na Almasi?

Tuliwaambia baada ta uchaguzi mtarudia wimbo wenu mkongwe wa kuibiwa kura mkabisha
Huu ni udikteta..wewe unadhani mitandao ya kijamii haina umuhimu kwa watu?..Halafu kama wameifunga jumla watoe public notice tujue
 
Jirani yangu alipovamiwa na Vibaka kwake, aliwahi kuzima Main switch ya Umeme kuwachanganya wahalifu japo watoto wake walikuwa Mezani wanasoma muda ule

Kuahirisha baadhi ya mambo kwa muda kwa maslah makubwa ya nchi ina 'swihi'
Huu ni udikteta..wewe unadhani mitandao ya kijamii haina umuhimu kwa watu?..Halafu kama wameifunga jumla watoe public notice tujue
 
Kama mmeshindwa kulinda masanduku ya kura mngeweza kweli kulinda Migodi ya dhahabu na Almasi?
Mnaweka mawakala, policcm wanawakamata na kuwahifadhi mahabusu kupisha utumbukizaji wa shehena ya kura za ccm zilizokwishapigwa, wangefanya nini?
 
Mawasiliano yatarudi baada ya rais mteule kuapishwa unasemaje? Mbona internet ipo tu wewe uko wapi?
 
Issue ya internet naombeni mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine siasa kama police na bangi yaani kwakweli hatutaki hata kusikia mambo ya siasa ila fungueni internet haya ya kutumia VPN ni mateso sana.
Ndio ujue katika siasa humo tu upende usipende unahusika kimatokeoo
 
Wabaya wetu ni haya makampuni ya simu. Tufanye mpango tuwashitaki huko huko nchi wanazotoka kama Vodafone tunawafanyia figisu UK tunaenda bungeni kwao tunaandamana. Au tunasubiria kikao cha bodi au wanahisa mnaenda na mabango pale.

Lakini pia kutafuta wanasheria kwenye nchi zao ili wawapeleke mahakamani huko huko kwao. Washitakiwe wazazi wao halafu moto utawashukia wao huku bongo!
 
Na bado tunaenda kutengwa na dunia mpaka adabu itushike, sio tushike adabu
 
Na utamsikia mwenyewe akisema 'Kwanini mnawazimia internet wananchi wangu wanyoooonge kabisa,ona sasa hata vijana wanaoishi kwa kuuza miziki na movie kwny flash hawawezi kufanya kazi yao kwa sababu hakuna internet,kweli ndg zangu watanzania naomba mniombee sana hii kazi ya urais ni ngumu saaana mpk najuta kwanini nilisukumizwa huku'.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom