Ombi la kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 juu ya sakata la Tanganyika kuuzwa kwa DP World

Mtu wa kumlaumu mnamjua sio huyo mama.
 
Oh, kumbe ni kweli kelele hizi chache ni kutoka kwa wenye chuki za dini.......wajinga waliokaririshwa ujinga fulani hivi. Enzi zimepira, tunataka maendeleo
Tangu loliondo ichukuliwe na waarabu imeleta maendeleo gani? Ukisogea tu yale maeneo simu zinasema karibu uae
 
Huyu mama ni kichwa maji halafu ni jeuri na kibri
 
Narudia, ningelishangaa kama MAKALIO YENU yasingemhitaji jk. Yaani nyie washamba a.k.a failures a.k.a wanyonge a.k.a mburura a.k.a maskini mmeaminishwa kila tatizo lenu ni jk........mnafirimbwa vibaya kweli nyie wakati mwingine!!
Jk acha matusi Basi, si unajifanyaga mzee wa busara . sio poa kabisa hii!!
 
Watu kama huyu ni chawa tu. Tabia za chawa tunazijua
 
Logic uliyoanza nayo kama mama, but amekalia nafasi ya kiongozi wa nchi. Means hiyo nafasi inakuja matatizo yake na moja wapo bi hili. It comes with the job
Watanzania wako concerned na rasilimali yao lazima wapaze kelele unitl then mpaka kieleweke
 
Daah, siku hizi akiongea anakuwa kama mtu anaetaka kulia, nahisi kuna kitu kinamsibu, pengine hata yeye hapendi, ila wanamlazimisha tu
 
Yaani tuache kujadili uuzwaji wa nchi yetu eti kisa aliyeuza anaongea kama anataka kulia kwa hiyo tumwonee huruma! Haiyokaa itokee kama ametambua makosa yake au alishinikizwa atupishe, hatuwezi kuwa na mtawaka mwenye instruments zote tuje kusingiziwa kwamba ametishwa. Ameapa kulinda katiba kwa hiyo anatakiwa ikiwezekana Hata kupoteza uhai kwa ajili ya kulinda katiba ya nchi.
 
Ndio maana nimetoa ombi tu la kumpa nafasi ya kupumua na kujitafakari, walau kwa masaa 72, asije akapata kichaa cha stress na frustration; yule ni mama yetu tu..
 
Ndio maana nimetoa ombi tu la kumpa nafasi ya kupumua na kujitafakari, walau kwa masaa 72, asije akapata kichaa cha stress na frustration; yule ni mama yetu tu..
Kwa sasa ndo tunahitaji kumkaba zaidi ili ikiwezekana apate kichaa aseme na tusiyoyajua. Hakuna kupumzika hapa ni mwendo wa kushambulia kwa njia zote zilizopo
 
Ndio maana nimetoa ombi tu la kumpa nafasi ya kupumua na kujitafakari, walau kwa masaa 72, asije akapata kichaa cha stress na frustration; yule ni mama yetu tu..
Sio kumpumzisha kwa masa72 aitakiwi kumpumzisha hata kwa dakika 10 mpaka maji Aite mma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…