JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Pls don't bring emotions into this matter,her womanhood,has nothing to do with her being attached,criticised,Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa.
Imefika wakati najiuliza, is she being ‘black mailed’?, kwamba she has no choice? Au amekuwa -threatened usalama wake endapo ataenda kinyume na matakwa yao? Sijui na sina hakika, ila nawaza sana, huyu mama yetu anafaidika na kipi kikubwa hasa katika hili? Kama ni hongo, mbona angeweza kukwapua tu tozo za miamala kwa muda wa mwezi mmoja na zingemtosha kuishi kama malkia maisha yake yote? Kulikuwa na haja gani ya kutufanyia hivi waTanganyika? Hivi ilikuwa ni lazima kutuuza?!
Natoa ombi kwa WaTanganyika wote, kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 ili kumpa mama yetu nafasi ya kujitathmini.
Maana imefika wakati anaongea kama anataka kulia, kuna nini nyuma ya pazia?
We are attaching the presidency(,ofisi ya Raisi)whoever would have been occupiying the ofisi,would have been facing the same,barrage of critical words,his or her gender not withstanding.
Umama wake pembeni,tunajua ni mama,shangazi,bibi,mke,wa Mtu,ila yupo ikulu,maamuzi yake yana madhara makubwa,
Kama ni swala la msosi Gani anampikia mumewe,au nyimbo Gani anawaimbia wajukuu zake,we don't give a shit,and don't care,ila nyimbo kuhusu rasilimali zetu na urithi wa vizazi vijavyo,hakuna rangi hataacha ona,tutamuonyesha kila rangi.if she can't withstand the heat,she should vacate the office