Ombi la kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 juu ya sakata la Tanganyika kuuzwa kwa DP World

kamati yetu ya mitandao ikiongozwa na Mimi tumekubaliana tutapiga spana Kwa miaka miwili 2024,2025 ,jiulize swali kuna chuo cha BANDARI yaani hakuna mfanyakazi hata mmoja aliyeenda Dubai kwenye hicho chuo badala yake ameenda KITENGE,kibajaji,msukuma,zembwele tunaachaje kupiga maweeeee!!
 
Mzee mmoja alipata kumshauri mama kutulia na kutumia muda kuifahamu hii nchi kwani haifahamu. Kwa tahadhari hiyo mama alipaswa kuwa makini na kuhakikisha kuwa anapata ushauri wa kutosha kabla ya kufikia uamuzi wowote hasa kwenye mambo makubwa ya nchi. Inaelekea hili halizingatiwi ndiyo maana kwenye suala kubwa mkataba wa bandari Mwanasheria Mkuu wa Serikali haonekani kabisa. Alipolazimishwa kujitokeza akaja kuongea kama chawa badala ya mamlaka. Kadhalika katika kumuongezea Jaji Mkuu muda wa utumishi inaonekena Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakushauri ipasavyo. Inawezekana kabisa rais alishauriana tu na Prof. Juma wakamaliza wenyewe!
 
Tafsiri pekee ya mkataba wa bandari ni kwamba vyombo vyote hivyo vya TISS, AG, Braza la Mawaziri, Mamlaka ya Manunuzi ya Umma, nk hawakuhusishwa. Badala yake maamuzi ya kiserikali yalifanyika kama ya kampuni binafsi.
 
Yawezekana mmeanza kuchoka halafu mnasingizia eti mmwache kwa saa 72.
No, nyie endeleeni tu kufungua threads nyingi mnavyoweza
 
Yawezekana mmeanza kuchoka halafu mnasingizia eti mmwache kwa saa 72.
No, nyie endeleeni tu kufungua threads nyingi mnavyoweza
Hahahaha, mama anaanza kuwehuka ujue, nimetoa tu ombi
 
Rais wa Nchi Si mama Etu,

Ni kiongozi wa wananchi, suala la Bandari ni nyeti kuliko nyeti zenyewe.

Spana ziendelee tafadhali 🙏🙏🙏
 
umemsahau Steve nyerer
 
Unyumbu nitabia ya watu wanafikiri vizuri kuahirisha kufikiri kwasababu ya kundi fulani, (CCM) ama uoga, (amygdala), kuogopa viongozi. Herding behavior is occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of fear, (amygdala), in this case fearing their leaders or group objectives, (CCM)
 
Ombi limekataliwa, spana ziendelee, Tanganyika kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…