Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

Kufufua kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi ya petroli (petroleum refinery) na kukuza matumizi ya gesi asilia kwa matumizi ya ndani na kuuza nje ni mambo muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu.

Kwanza, kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi ya petroli kingeweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji wa bidhaa za mafuta (dizeli, petroli, mafuta ya ndege, vilainishi) kupunguza gharama za kuagiza nje, na kutoa fursa za ajira kwa watanzania.

Kuhusu matumizi ya gesi asilia, kuongeza matumizi ya gesi majumbani kunaweza kuwa na manufaa kwa kuwa ni nishati safi na endelevu. Hata hivyo, kufanikisha hilo kunahitaji mikakati thabiti ya kuboresha miundombinu, kutoa elimu kwa umma, na kuvutia uwekezaji katika sekta hiyo. Pia, kuimarisha uuzaji wa gesi nje kunahitaji mikataba bora, miundombinu ya usafirishaji, na ufanisi wa kusimamia rasilmali hiyo.

Katika nafasi hii, nitajitahidi kuleta mabadiliko chanya na kuweka mikakati madhubuti ili kufufua kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi ya petroli (petroleum refinery) na kukuza matumizi ya gesi asilia kwa manufaa ya wananchi na uchumi wa nchi.
Naona una mawazo sahihi. Kuna yule kipara yeye kaingia mkataba na waarabu kujenga mapipa ya kuhifadhi mafuta yaliyochakatwa tu kuashiria tumekubali milele kua soko la mafuta yaliyochakatwa na wala hatuna mpango kujenga refiner yetu wenyewe kupunguza gharama na kuongeza ajira.
Nakuombea heri kupata huo ukurugenzi wa mafuta na gesi.
 
Kwa hiyo unaenda kujifunza kazi at senior management position.

Kama tunaokota makatibu wakuu nje ya senior civil servants wa wizara (wakati hizo ni very sensitive posts) kwanini ishindikane mtu yeyote kushika nafasi za mashirika bila ya uwezo.

Matter of fact January Makamba kila siku alikuwa anapeleka rafiki zake wasio na skills wala knowledge za sector kushika nafasi. Why not you walau una basics za oil and gas.

Swali kwako how much is storage capacity ya mafuta kwa sasa Tanzania na sera za inventory control ya nchi inasemaje kuhusu minimum reserves.

Wapi tunanunua mafuta kwa wingi, supply risks zilizopo na mitigation strategy unayopendekeza kuhakikisha nchi aina uhaba watu wakianza kuparurana huko kwenye vyanzo vya mafuta. Mambo unayoandika na nafasi unayoomba ni vitu viwili tofauti.

Bila shaka kama nilivyo eleza kwa kina kwamba kila kazi ina kanuni na taratibu zake. Ukifuata kanuni na taratibu za kazi hakika unaweza kuifanya kazi yoyote. Tusifanye kazi kwa kukariri bali tufuate kanuni na taratibu za kazi hiyo. Kufanya kazi kwasababu ulisha ikariri kunajenga mazoea kazini na kupunguza ufanisi.

Kuhusu makatibu wa wizara sina hakika na ulicho kiandika ninachojua makatibu wote wanateuliwa kwa kufuata katiba ya nchi yetu. Sidhani kama katiba imesema ili kumteua katibu lazima awe ni senior civil servant wa wizara hiyo. Katiba haisemi hivyo, tulishakubaliana kuteua kwa utaratibu unaotumika kila siku. Ukitaka wateuliwe kama hivyo unavyotaka badilisha katiba. Lakini kwasasa uteuzi unafuata misingi ya katiba tuliyo nayo. Na teuzi zote za wakurugenzi wa mashirika na makamishina unafuata katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Kuhusu January Makamba kwamba alikua anapeleka marafiki zake mimi kwa uelewa wangu sina hakika. Bado nipo palepale kwenye mwongozo wa taifa letu katiba. Alikua anafanya hayo kwa kuzingatia katiba kama kulikua hakuna kifungu chochote cha katiba kilichokuwa kinamzuia kufanya hivyo sidhani kama ni makosa. Katika hili kila kitu kinafanyika kwa kufuata katiba. Kama katiba haijasema kwamba mteuliwa lazima awe na basics za oil na gas basi mtu yeyote anaweza kushika nafasi hiyo. Kama sio hivyo basi itengenezwe katiba mpya itakayofuata hayo unayo yahitaji.

Kuhusu uhifadhi wa mafuta, tunayo kampuni inayofanya kazi ya kuhifadhi mafuta yanayo ingizwa nchini inaitwa TIPER ni ubia wa asilimia 50 kwa 50 kati ya serikali yetu ya Tanzania na kampuni ya Oryx Energies. Hivyo taarifa zote za uwezo wake wa kuhifadhi mafuta tunazipata katika kampuni hiyo ya TIPER wala hatuhitaji kukariri ni kufuata kanuni na taratibu za kazi. Ukienda TIPER wanakupatia taarifa zote unazohitaji. Tovuti ya TIPER Tiper Tanzania Ltd.. Unapokua umeteuliwa unapaswa kujua mahali pakuzipata taarifa unazohitaji. Na tena unahitaji real time information. Unaweza ukasema TIPER wanauwezo wa kuhifadhi lita millioni 255 za mafuta kumbe jana wameongeza matanki mengine ya mafuta.

Lakini nitakuchambulia walau kidogo juu ya uwezo wa kuhifadhi mafuta katika taifa letu kwa faida ya jukwaa hili.

Taifa letu kupitia kampuni yetu la TIPER linauwwzo wa kuhifadhi mita za ujazo 255,000 za mafuta. Katika hizo mita za ujazo 180,000 ni za Automotive Gas Oil (AGO), mita za ujazo 56,000 ni za Motor Gasoline (MOGAS), mita za ujazo 9,000 ni za Dual Purpose Kerosine (DPK) na mita za ujazo 10,000 ni za Fuel Oil/Heavy Fuel Oil/ Industrial Diesel Oil (FO/HFO/IDO).

Sera za inventory control za nchi zinaweza kutofautiana kutokana na ongezeko la idadi ya watumiaji wa mafuta kutokana na ongezeko la idadi ya vyombo vya moto. Lakini mara nyingi zinajumuisha kuweka akiba ya chini (minimum reserves) ili kuhakikisha usalama wa usambazaji na kuepuka upungufu wa haraka wa bidhaa za mafuta. Lakini kama nilivyo kueleza tangu mwanzo data zote hizi zipo documented kwenye vitabu vya kanuni na taratibu. Hivyo hutakiwi kukariri fuata kanuni na taratibu ili kuelewa sera za uhifadhi wa mafuta na akiba ya chini za kipindi hicho cha uongozi wako. Kama mtumishi mpya kazini ni vyema kutafuta taarifa za hivi karibuni kutoka kwa vyanzo rasmi vya serikali au mamlaka husika ya nishati katika kipindi chako.

Lakini kwa faida ya wengi katika jukwaa hili kulingana na uwezo wetu wa kuhifadhi mafuta nchini, sheria inahitaji uwepo wa hifadhi ya mafuta inayotosheleza angalau kwa siku 15. Lakini kwa uelewa wangu namba hiyo inaweza kubadilika huko mbeleni endapo kama watumiaji wa mafuta wataongezeka. Nikiwa na maana kama vyombo vya moto vitaongezeka.

Kuhusu kununua mafuta utaratibu ni uleule wa manunuzi wa kufuata kanuni na taratibu. Tanzania inaweza kununua mafuta kwa wingi kupitia mikataba ya moja kwa moja na kampuni za kimataifa au kupitia mnada wa kimataifa wa mafuta.

Hata hivyo, changamoto za usambazaji zinaweza kutokea kutokana na mabadiliko ya bei duniani, migogoro ya kisiasa katika maeneo ya uzalishaji, au matatizo ya usafirishaji.

Njia ya kupunguza hatari za usambazaji ni kujenga mkakati thabiti wa kuhifadhi akiba ya mafuta, kukuza vyanzo vingine vya nishati, na kushirikiana na nchi nyingine kwenye mikataba ya muda mrefu ili kuhakikisha uthabiti wa usambazaji. Pia, kuwekeza katika miundombinu ya usafirishaji na kuhimiza uzalishaji wa ndani wa nishati kunaweza kuwa njia muhimu za kupunguza hatari za usambazaji wa mafuta.
 
Wewe si ulisema utagombea ubunge Songwe huko 2025 kupitia chama cha kijani?

Sasa unatuombaje humu si upenyeze kimemo kwa chief Manyama kama mnavyofanya umuambie wewe ni mzalendo uliyepiga chini scholarship ya kwenda kusoma China ili ujitengenezee barabara ya kuingia bunge la kijani 2025.

Mmeichezea sana nchi kiasi kwamba hata Kingwendu anaweza kuwa mkurugenzi wa hiyo taasisi ili mradi tu awe na kadi ya kijani na kujitoa akili tayari kwa kupokea maelekezo toka juu.
Nikipata nafasi mojawapo kati ya hizo nipo tayari kuzitumikia mkuu. Mimi ni mzalendo nipo tayari kuwatumikia watanzania wenzangu kiu yangu ni kuona watanzania wanapata maendeleo.
 
Bila shaka kama nilivyo eleza kwa kina kwamba kila kazi ina kanuni na taratibu zake. Ukifuata kanuni na taratibu za kazi hakika unaweza kuifanya kazi yoyote. Tusifanye kazi kwa kukariri bali tufuate kanuni na taratibu za kazi hiyo. Kufanya kazi kwasababu ulisha ikariri kunajenga mazoea kazini na kupunguza ufanisi.

Kuhusu makatibu wa wizara sina hakika na ulicho kiandika ninachojua makatibu wote wanateuliwa kwa kufuata katiba ya nchi yetu. Sidhani kama katiba imesema ili kumteua katibu lazima awe ni senior civil servant wa wizara hiyo. Katiba haisemi hivyo, tulishakubaliana kuteua kwa utaratibu unaotumika kila siku. Ukitaka wateuliwe kama hivyo unavyotaka badilisha katiba. Lakini kwasasa uteuzi unafuata misingi ya katiba tuliyo nayo. Na teuzi zote za wakurugenzi wa mashirika na makamishina unafuata katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Kuhusu January Makamba kwamba alikua anapeleka marafiki zake mimi kwa uelewa wangu sina hakika. Bado nipo palepale kwenye mwongozo wa taifa letu katiba. Alikua anafanya hayo kwa kuzingatia katiba kama kulikua hakuna kifungu chochote cha katiba kilichokuwa kinamzuia kufanya hivyo sidhani kama ni makosa. Katika hili kila kitu kinafanyika kwa kufuata katiba. Kama katiba haijasema kwamba mteuliwa lazima awe na basics za oil na gas basi mtu yeyote anaweza kushika nafasi hiyo. Kama sio hivyo basi itengenezwe katiba mpya itakayofuata hayo unayo yahitaji.

Kuhusu uhifadhi wa mafuta, tunayo kampuni inayofanya kazi ya kuhifadhi mafuta yanayo ingizwa nchini inaitwa TIPER ni ubia wa asilimia 50 kwa 50 kati ya serikali yetu ya Tanzania na kampuni ya Oryx Energies. Hivyo taarifa zote za uwezo wake wa kuhifadhi mafuta tunazipata katika kampuni hiyo ya TIPER wala hatuhitaji kukariri ni kufuata kanuni na taratibu za kazi. Ukienda TIPER wanakupatia taarifa zote unazohitaji. Tovuti ya TIPER Tiper Tanzania Ltd.. Unapokua umeteuliwa unapaswa kujua mahali pakuzipata taarifa unazohitaji. Na tena unahitaji real time information. Unaweza ukasema TIPER wanauwezo wa kuhifadhi lita millioni 255 za mafuta kumbe jana wameongeza matanki mengine ya mafuta.

Lakini nitakuchambulia walau kidogo juu ya uwezo wa kuhifadhi mafuta katika taifa letu kwa faida ya jukwaa hili.

Taifa letu kupitia kampuni yetu la TIPER linauwwzo wa kuhifadhi mita za ujazo 255,000 za mafuta. Katika hizo mita za ujazo 180,000 ni za Automotive Gas Oil (AGO), mita za ujazo 56,000 ni za Motor Gasoline (MOGAS), mita za ujazo 9,000 ni za Dual Purpose Kerosine (DPK) na mita za ujazo 10,000 ni za Fuel Oil/Heavy Fuel Oil/ Industrial Diesel Oil (FO/HFO/IDO).

Sera za inventory control za nchi zinaweza kutofautiana kutokana na ongezeko la idadi ya watumiaji wa mafuta kutokana na ongezeko la idadi ya vyombo vya moto. Lakini mara nyingi zinajumuisha kuweka akiba ya chini (minimum reserves) ili kuhakikisha usalama wa usambazaji na kuepuka upungufu wa haraka wa bidhaa za mafuta. Lakini kama nilivyo kueleza tangu mwanzo data zote hizi zipo documented kwenye vitabu vya kanuni na taratibu. Hivyo hutakiwi kukariri fuata kanuni na taratibu ili kuelewa sera za uhifadhi wa mafuta na akiba ya chini za kipindi hicho cha uongozi wako. Kama mtumishi mpya kazini ni vyema kutafuta taarifa za hivi karibuni kutoka kwa vyanzo rasmi vya serikali au mamlaka husika ya nishati katika kipindi chako.

Lakini kwa faida ya wengi katika jukwaa hili kulingana na uwezo wetu wa kuhifadhi mafuta nchini, sheria inahitaji uwepo wa hifadhi ya mafuta inayotosheleza angalau kwa siku 15. Lakini kwa uelewa wangu namba hiyo inaweza kubadilika huko mbeleni endapo kama watumiaji wa mafuta wataongezeka. Nikiwa na maana kama vyombo vya moto vitaongezeka.

Kuhusu kununua mafuta utaratibu ni uleule wa manunuzi wa kufuata kanuni na taratibu. Tanzania inaweza kununua mafuta kwa wingi kupitia mikataba ya moja kwa moja na kampuni za kimataifa au kupitia mnada wa kimataifa wa mafuta.

Hata hivyo, changamoto za usambazaji zinaweza kutokea kutokana na mabadiliko ya bei duniani, migogoro ya kisiasa katika maeneo ya uzalishaji, au matatizo ya usafirishaji.

Njia ya kupunguza hatari za usambazaji ni kujenga mkakati thabiti wa kuhifadhi akiba ya mafuta, kukuza vyanzo vingine vya nishati, na kushirikiana na nchi nyingine kwenye mikataba ya muda mrefu ili kuhakikisha uthabiti wa usambazaji. Pia, kuwekeza katika miundombinu ya usafirishaji na kuhimiza uzalishaji wa ndani wa nishati kunaweza kuwa njia muhimu za kupunguza hatari za usambazaji wa mafuta.
B29481EA-BAF7-4596-A805-897DAEB09E4E.jpeg

318A395D-69D9-47E4-AA5E-089F8C67A0BB.jpeg

F51C074D-168C-482D-BFDF-7623CF22A319.jpeg

D82A80F6-86FD-442B-BCBD-E2EE5C7C947D.jpeg

Kama nilivyokwambia badala ya kutoa vitu kichwani kwako ulitakiwa kufanya research na kuelewa what the role entails na kuelezea experience yako, elimu yako or transferable skills za kumudu hiyo nafasi. Kuonyesha unaweza imudu hiyo nafasi.

Hayo ya katibu mkuu inataka kuelewa majukumu yake pia, that’s a strategic role uwezi kuimudu bila ya succession planning ya serikali na experience ya kufanya kazi katika administration ya serikali.

Ukiwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara ndio utaona uelewa wao mpana wa kila wizard na namna ya policy zinavyo kuwa implemented (kwa sababu kufikia hapo wamepitia succession planning and is based performance appraisal). Katibu mkuu ndio main strategist. Sasa unakuwaje na katibu mkuu wa kuokota wakati walio chini yake wanaufahamu mkubwa kushinda yeye wa kazi za wizara; that’s just a recipe for failure from start.

Teuzi za Makamba not worth discussing the results speaks independently, hakuna mafanikio kwa sababu wateuliwa ni clueless on industry and strategic planning.

Huko kwenye maelezo yako ya reserve you can’t tell kuhusu IEA reserve ni two month minimum ndio kitu January alikuwa anapigania kufikia malengo hayo, 15 days ni very risk ya ‘lead time’ kukitokea mgogoro unaponunua kutafuta muuzaji mwingine hadi yafike nchi itakuwa dry na uchumi kupata madhara.

Anyway good-luck kwa Tanzania hasa nafasi za serikali everything is possible kwanza wengi waliopo competence skills zao na nafasi wanazoshika ni below, then why not you.
 
View attachment 2864052
View attachment 2864055
View attachment 2864056
View attachment 2864057

Kama nilivyokwambia badala ya kutoa vitu kichwani kwako ulitakiwa kufanya research na kuelewa what the role entails na kuelezea experience yako, elimu yako or transferable skills za kumudu hiyo nafasi. Kuonyesha unaweza imudu hiyo nafasi.

Hayo ya katibu mkuu inataka kuelewa majukumu yake pia, that’s a strategic role uwezi kuimudu kama bila ya succession planning ya serikali na kufanya kazi katika administration ya serikali.

Ukiwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara ndio utaona uelewa wao mpana wa kila wizard na namna ya policy zinavyo kuwa implemented, katibu mkuu ndio main strategist. Sasa unakuwaje na katibu mkuu wa kuokota wakati walio chini yake wanaufahamu mkubwa kushinda yeye wa kazi za wizard; that’s just a recipe for failure from start.

Teuzi za Makamba not worth discussing the results speaks independently, hakuna mafanikio kwa sababu wateuliwa ni clueless on industry and strategic planning.

Huko kwenye maelezo yako ya reserve you can tell kuhusu IEA reserve ni two month minimum ndio kitu January alikuwa anapigania kufikia malengo hayo, 15 days ni very risk ya ‘lead time’ kukitokea mgogoro unaponunua kutafuta muuzaji mwingine hadi yafike nchi itakuwa dry na uchumi kupata madhara.

Anyway good-luck kwa Tanzania hasa nafasi za serikali everything is possible kwanza wengi waliopo competence skills zao na nafasi wanazishika ni below, then why not you.
Mkuu nakupongeza sana kwa kuwa na vitu vingi hongera sana. Nashukuru sana kwa guidance yako.
 
Nikipata nafasi mojawapo kati ya hizo nipo tayari kuzitumikia mkuu. Mimi ni mzalendo nipo tayari kuwatumikia watanzania wenzangu kiu yangu ni kuona watanzania wanapata maendeleo.
Kwa siasa za bongo ulitakiwa wewe ungeenda shule urudi uwatumikie wananchi nje ya ulingo wa kisiasa.

Hiyo position unayoitamani kwanza ina mtu tayari ukiona mtu katenguliwa ujue anayeingia yupo tayari.

Kingine ni hiyo ndoto unayoota kwenye hiyo nafasi hata mwenzio aliyetenguliwa hawajataja chanzo cha kumtengua je unajua kwanini?

Tuna katiba ya hovyo sana kwamba rais anaweza kuteua mtu bila sababu na akamtengua vilevile bila sababu , na kws nafasi za kupata kwa uteuzi kwa Tanzania huwezi kuapply ujuzi wako kitaaluma wengi wanalinda nafasi hizo kwa kufuata maelekezo na vimemo.

Hivyo basi katika wasomi wengi tulishuhudia wakigeuka vichekesho licha ya elimu kubwa kumbe wameweka taaluma pembeni na kufuata maelekezo

Nakuwekea hapa barua ya yule kada wa kijani Thobias Mwesigwa aliyeteuliwa na kutenguliwa bila kuapishwa.

Sababu ni moja rais hana sababu sahihi za kumteua mtu hata akipenyezewa vimemo anadaka na kuruka na jina
IMG-20240106-WA0007.jpg
Mapendekezo yangu ni kuwa hizi nafasi zingekuwa zinatangazwa wazi na wote wenye uwezo waombe na iwepo kamati ya uwazi kupitia mchujo ili tusipate vituko na machawa kama hivi na kuleta uchawa kama huu wa kuomba omba maana naamini kwa maombi kama haya uliyoomba anayekuteua atakupangia cha kufanya na sio wewe kufanya unachopaswa kufanya na yeye kupewa report tu.
IMG-20240106-WA0008.jpg
 
Kwa siasa za bongo ulitakiwa wewe ungeenda shule urudi uwatumikie wananchi nje ya ulingo wa kisiasa.

Hiyo position unayoitamani kwanza ina mtu tayari ukiona mtu katenguliwa ujue anayeingia yupo tayari.

Kingine ni hiyo ndoto unayoota kwenye hiyo nafasi hata mwenzio aliyetenguliwa hawajataja chanzo cha kumtengua je unajua kwanini?

Tuna katiba ya hovyo sana kwamba rais anaweza kuteua mtu bila sababu na akamtengua vilevile bila sababu , na kws nafasi za kupata kwa uteuzi kwa Tanzania huwezi kuapply ujuzi wako kitaaluma wengi wanalinda nafasi hizo kwa kufuata maelekezo na vimemo.

Hivyo basi katika wasomi wengi tulishuhudia wakigeuka vichekesho licha ya elimu kubwa kumbe wameweka taaluma pembeni na kufuata maelekezo

Nakuwekea hapa barua ya yule kada wa kijani Thobias Mwesigwa aliyeteuliwa na kutenguliwa bila kuapishwa.

Sababu ni moja rais hana sababu sahihi za kumteua mtu hata akipenyezewa vimemo anadaka na kuruka na jinaView attachment 2864074Mapendekezo yangu ni kuwa hizi nafasi zingekuwa zinatangazwa wazi na wote wenye uwezo waombe na iwepo kamati ya uwazi kupitia mchujo ili tusipate vituko na machawa kama hivi na kuleta uchawa kama huu wa kuomba omba maana naamini kwa maombi kama haya uliyoomba anayekuteua atakupangia cha kufanya na sio wewe kufanya unachopaswa kufanya na yeye kupewa report tu. View attachment 2864075
Lakini mimi sioni kama kuna kosa kama anafuata katiba. Katiba ndio msingi wa kuteua na kutengua unapoanzia hivyo Rais anayosababu ya kufanya hivyo inapobidi kwa kua katiba inamruhusu.

Swala la kusema nafasi kama hizo zinatakiwa kutangazwa sio swala la kulisemea mdomoni tu lazima lianzie kwenye maandishi yaliyopitia mchakato wa kikatiba.

Yaani bado nipo palepale kufuata kanuni na taratibu za kazi. Rais hawezi kusema nafasi hizo zitangazwe wakati swala hilo halipo kikatiba.

Swala la kuheshimu katiba jamani liwe kipaumbele kwenye nchi yetu. Kama tunataka mambo yawe hivyo tunavyotaka hilo ni swala la katiba mpya.
 
Lakini mimi sioni kama kuna kosa kama anafuata katiba. Katiba ndio msingi wa kuteua na kutengua unapoanzia hivyo Rais anayosababu ya kufanya hivyo inapobidi kwa kua katiba inamruhusu.

Swala la kusema nafasi kama hizo zinatakiwa kutangazwa sio swala la kulisemea mdomoni tu lazima lianzie kwenye maandishi yaliyopitia mchakato wa kikatiba.

Yaani bado nipo palepale kufuata kanuni na taratibu za kazi. Rais hawezi kusema nafasi hizo zitangazwe wakati swala hilo halipo kikatiba.

Swala la kuheshimu katiba jamani like kipaumbele kwenye nchi yetu. Kama tunataka mambo yawe hivyo tunavyotaka hilo ni swala la katiba mpya.
Na haziwezi kutangazwa sababu wana watu wao tayari hiyo ndio inacompromise big brain zilizoko nje ya ulingo.

Nafasi hizo zingekuwa zinapatikana kwa uwazi na uwezo halisi asingekuwa mtaalam anatenguliwa na hatupewi sababu kilichomfanya atenguliwe.

Soma mapendekezo yangu ni kutokuwepo uwazi katika uteuzi ndio tulichokiona mtu akateuliwa na kutenguliwa bila kuapishwa.

Is that even hard to fathom out?
 
💯 watu wapo na vimemo na maagizo mtu ukifika hapo unatakiwa ujitoe akili na kusikiliza yale anayokuambia aliyekuleta hapo.
Ukijitia una akili timamu hawaendi na wewe, wao lengo lao ni tanzania isiendelee, mtanzania wa chini wamkamue mpaka mavi ya ngama, sasa we unakuja na mipango yakinifu, mipango inayotekelezeka watakuchukuaje!?
 
Back
Top Bottom