Ombi la Simba na TFF ni Yanga asilete timu, ili Simba apewe ubingwa wa mezani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby

Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.

Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake

TFF wametafuta njia zote za kuipa Simba ubingwa mwaka huu imeshindikana

TFF wamewapa Simba upendeleo kuanzia ratiba yaani viporo, waamuzi n.k

Sisi Wanachama wa Yanga tumestuka
TUTACHEZA na tutawafunga 5imba na shoga Yao Karia

Yanga tumedhamiria kuhakikisha Simba anatoka bila kombe msimu huu
 
apewe kikombe cha chai labda
 
Tatizo ni ile unabet kuwa Man U ifungwe upate hela, ila unapoangalia mechi unatamani Mani Yuu ishinde maana wewe ni shabiki lialia.

Sasa hiki ndicho kinachoikuta Yanga, viongozi hawataki kucheza ili wasipate aibu, mashabiki wanataka icheze waone burudani.
 
Sasa hiki ndicho kinachoikuta Yanga, viongozi hawataki kucheza, mashabiki wanata icheze
Tutawafunga
 
Kama yanga hataleta tim na simba akapewa point 3, hio haitaishia hapo. Patachimbika kuliko palivyochimbuka sasa. Usalama wa bodi na TFF ni yanga akubali kucheza, otherwise ngoma itakua nzito. Nipo hapa tukutane tarehe 13 siku ya kikao cha maandalizi yake mchezo. Kama yanga hawatatokea kwenye kikao ina maana kweli hawachezi, oya tifu litaanzia hapo.
 
Kikubwa ni kucheza ili kuwafunga hawa wahuni
 
Tatizo ni ile unabet kuwa Man U ifungwe upate hela, ila unapoangalia mechi unatamani Mani Yuu ishinde maana wewe ni shabiki lialia.

Sasa hiki ndicho kinachoikuta Yanga, viongozi hawataki kucheza ili wasipate aibu, mashabiki wanataka icheze waone burudani.
Hii game ndio ya kufungia msimu, tarehe 15 tunalevel hali ya hewa, iwe both team to score a.k.a GG... Halafu ndio ipangwe sasa tarehe rasmi ya hii game... Yaani ngoma inaahirishwa mara mbili
 
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby

Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.

Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake

TFF wametafuta njia zote za kuipa Simba ubingwa mwaka huu imeshindikana

TFF wamewapa Simba upendeleo kuanzia ratiba yaani viporo, waamuzi n.k

Sisi Wanachama wa Yanga tumestuka
TUTACHEZA na tutawafunga 5imba na shoga Yao Karia

Yanga tumedhamiria kuhakikisha Simba anatoka bila kombe msimu huu
TUtajipigia hao.
 
Ati unasemaje wewe
 
Attachments

  • simba.jpg
    simba.jpg
    19.7 KB · Views: 38
Hatuchezi hatuchezi hatuchezi in Mzee Mpili voice
😂😅😂Tusicheze ili muwe mabingwa
Dadek jiandae kupigwa 5
Na uzuri awamu hii nyie ndo mmeulilia hamwezi kuukimbia
 
Kikubwa ni kucheza ili kuwafunga hawa wahuni
Wahuni akina nani sasa mkuu? Mimi si shabiki wa simba wala yanga ila kwa namna soka la bongo linavyoendweshwa natamani yanga wasitokee ili liibuke tifu tu, viongozi wawajibike na kujifunza. Ile game iliingiliwa na wakubwa kisiasa tu, ndio maana kuna watu walikua wanajua kuwa game haipo wiki kabla ga game. Natamani kuona tifu ili soka liendeshwe kwa uhuru hat wa asilimia 90 najua 100% haiwezekani
 
Kama yanga hataleta tim na simba akapewa point 3, hio haitaishia hapo. Patachimbika kuliko palivyochimbuka sasa. Usalama wa bodi na TFF ni yanga akubali kucheza, otherwise ngoma itakua nzito. Nipo hapa tukutane tarehe 13 siku ya kikao cha maandalizi yake mchezo. Kama yanga hawatatokea kwenye kikao ina maana kweli hawachezi, oya tifu litaanzia hapo.
Acha mbwembwe uchwara. Utawala ya nini?
 
Back
Top Bottom