Jett
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 2,712
- 5,718
SawaAcha mbwembwe uchwara. Utawala ya nini?
SawaAcha mbwembwe uchwara. Utawala ya nini?
Ingekuwa ivo Simba nae hiyo tarehe angetangaza kutotokea hadi reforms huko TFF zifanyikeWahuni akina nani sasa mkuu? Mimi ni shabiki wa simba ila kwa namna soka la bongo linavyoendweshwa natamani yanga wasitokee ili liibuke tifu tu, viongozi wawajibike na kujifunza. Ile game iliingiliwa na wakubwa kisiasa tu, ndio maana kuna watu walikua wanajua kuwa game haipo wiki kabla ga game. Natamani kuona tifu ili soka liendeshwe kwa uhuru hat wa asilimia 90 najua 100% haiwezekani
Na hicho ndicho kinachonikera, kwamba soka haliendeshwi kwa misingi yake. Nataka kuona joto kali sana viongozi wajifunze jamboIngekuwa ivo Simba nae hiyo tarehe angetangaza kutotokea hadi reforms huko TFF zifanyike
Sasa 5imba wamekubali ili wajipatie ubingwa kirahisi
Ni hivi mbungwi inapigwa hiyo siku
Sisi tupo na viongozi. Tunawakumbusha kusimamia msimamo wao, hakuna kuleta timu uwanjani. Nendeni Rwanda mkapige ile friend matchHakuna matapishi hapo
Huu mtego tumeustukia, laZima tukaweke record ya kumfunga 5imba mara ya 5 mfululizo
Huo mtego umewanasaWavimba macho wakiambiwa hawana akili wanadai wanaonewa.Kuna mtu aliyewalazimisha kuropoka hatuchezi?Mpaka T-shirt mkachapisha?
Simba walisema hawachezi wakaandika barua moja tu ikatosha.
Wavimba macho kila siku matamko.Tokea lini vichaa wakawa na msimamo ?Kinachotokea mbele yao ndio hicho hicho wanachoamua, inategemea remote control kashika nani.
Aibu ipi inayokwepwa?Tatizo ni ile unabet kuwa Man U ifungwe upate hela, ila unapoangalia mechi unatamani Mani Yuu ishinde maana wewe ni shabiki lialia.
Sasa hiki ndicho kinachoikuta Yanga, viongozi hawataki kucheza ili wasipate aibu, mashabiki wanataka icheze waone burudani.
Msilete timu mjue hamjuiViongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby
Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.
Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake
TFF wametafuta njia zote za kuipa Simba ubingwa mwaka huu imeshindikana
TFF wamewapa Simba upendeleo kuanzia ratiba yaani viporo, waamuzi n.k
Sisi Wanachama wa Yanga tumestuka
TUTACHEZA na tutawafunga 5imba na shoga Yao Karia
Yanga tumedhamiria kuhakikisha Simba anatoka bila kombe msimu huu
Ni sahihi. Uhuni ni mwingi sana.Wahuni akina nani sasa mkuu? Mimi ni shabiki wa simba ila kwa namna soka la bongo linavyoendweshwa natamani yanga wasitokee ili liibuke tifu tu, viongozi wawajibike na kujifunza. Ile game iliingiliwa na wakubwa kisiasa tu, ndio maana kuna watu walikua wanajua kuwa game haipo wiki kabla ga game. Natamani kuona tifu ili soka liendeshwe kwa uhuru hat wa asilimia 90 najua 100% haiwezekani
Aibu 2, ya kwanza kuogopwa kufungwa na Mnyama, ya pili, kulamba matapishi, utaletaje timu wakati ulishasema hutailetaAibu ipi inayokwepwa?
5imba hana uweZo wa kumfunga YangaAibu 2, ya kwanza kuogopwa kufungwa na Mnyama, ya pili, kulamba matapishi, utaletaje timu wakati ulishasema hutaileta
Labda hiyo ya kulamba matapishi ila la kufungwa na Simba wala hakuna aibu kwasababu Simba ndiye anayeonekana ni mteja kwa Yanga. Mechi tisa, Simba imeshinda mchezo mmoja pekeeAibu 2, ya kwanza kuogopwa kufungwa na Mnyama, ya pili, kulamba matapishi, utaletaje timu wakati ulishasema hutaileta