Ombi la Simba na TFF ni Yanga asilete timu, ili Simba apewe ubingwa wa mezani

Ombi la Simba na TFF ni Yanga asilete timu, ili Simba apewe ubingwa wa mezani

Yanga wanataka kuskip mechi ya derby ili wakikatwa points 15 wakashiriki shirikisho msimu ujao. Wameshtukia Ligi ya mabingwa msimu ujao ni hatari
 
Hii mechi ni ya mtego Yanga tufunike kombe, tukubali kuwapa ushindi tff tukacheze kwa nguvu kama Ile mechi na Azam au TP Mazembe, first eleven iwe Ile tulicheza na Azam. hakuna kutoa ushindi wa mezani na ubingwa kwa makolo, tukicheza dizaini ile na Azam tunakabia juu kwa dkk tisini hata Barca wanakaa!

Yanga tukubali refa awe Arajiga tu na si refa mwingine yoyote, marefa wengine wote viazi mbatata tu washawekwa mfukoni na makolo.

Uwanja ni Amaan Complex maana kwa Nkapa wazee wafupi na mbuzi washaweka kambi, uwanja umerogwa ukarogeka.
 
Heri uwe masikini kuliko kunyimwa akili, nyie ndio mlisema hamchezi halafu nyienyie mnawasingizia Simba ndio hawataki mcheze si mseme tu mlikuwa mnatumika kisiasa na ccm
 
Kama yanga hataleta tim na simba akapewa point 3, hio haitaishia hapo. Patachimbika kuliko palivyochimbuka sasa. Usalama wa bodi na TFF ni yanga akubali kucheza, otherwise ngoma itakua nzito. Nipo hapa tukutane tarehe 13 siku ya kikao cha maandalizi yake mchezo. Kama yanga hawatatokea kwenye kikao ina maana kweli hawachezi, oya tifu litaanzia hapo.
Msitishe watu hapa , hamna lolote nyie ni kelele za bure . Wakongo waliwatikisa kidogo tu mkaja mbiombio kuomba msaada kwa Mashabiki wa simba wawasaidie
 
Msitishe watu hapa , hamna lolote nyie ni kelele za bure . Wakongo waliwatikisa kidogo tu mkaja mbiombio kuomba msaada kwa Mashabiki wa simba wawasaidie
Mimi sio shabiki wa simba wala yanga kiongozi. Naongea mpira, na matamanio yangu ni kuona yanga anagoma kucheza ili moto uwale watu wajifunze namna ya kuendesha mpira kwa sheria na kanuni zilizopo
 
Nawaza tu hapa Yanga akaendelea na huu msimamo wake, halafu masaa machache tu kabla ya mchezo, wakaamua kupeleka timu uwanjani!!
 
Nawaza tu hapa Yanga akaendelea na huu msimamo wake, halafu masaa machache tu kabla ya mchezo, wakaamua kupeleka timu uwanjani!!
Watamwambia Karia kuwa Kuna wachezaji wao 9 wana COVID 19 hivo mechi hii iwe mwezi September
 
.
Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake
Usiisingizie Simba wala TFF. Ni tofauti zenu huko huko ndani ya utopolo ndizo zinazowafanya muongee lugha tofauti na kushikiana akili.
TFF inaendelea na maandalizi ya mechi hiyo, Simba nayo imeshaingia kambini. Iweje leo useme Simba na TFF wanataka dabi isichezwe? Hao wazee wa utopolo walioapa kumuondoa duniani kiongozi wao yeyote atakayeipeleka timu uwanjani, nao ni Simba na TFF? Piganeni makonde huko huko vyurani, atakayeshinda ndio atafanya uamuzi
 
Simba inautulivu na uvumilivu wa kutosha:
Kuna mechi Bodi ya Ligi iliupeleka mbele kutoka saa 10 hadi saa moja jioni:
Yanga wakapeleka timu saa 10 huku uwanjani hakuna timu ya waamuzi, Simba walitii amri ya Bodi ya Ligi na kupeleka Timu saa moja usiku kukiwa na timu ya waamuzi waliokamilika:
Yanga walishaondoka mda huo:
Pamoja na mechi kuwa kamili Simba walitii maamuzi ya kuvunjika kwa mchezo na walikuwa na haki ya kudai point 3 lakini wakapotezea tu:
Ingekuwa ndio Yanga wameenda hiyo saa moja wakiwa na timu ya waamuzi ni lazima wangedai point 3 na magoli 3:
Kinachoshangaza pamoja na kwenda saa kumi na kushindwa kucheza kwa kukosa timu ya waamuzi na viongozi wa mchezo, Yanga hawakudai point 3 kama wanavyofanya wakati huu:

We fikiria, Simba walinyimwa fulsa ya kufanya mazoezi wakiwa ugenini kwa Yanga jambo ambalo Yanga waligakiwa kuhakikisha wageni wao wanafanya mazoezi kama timu mwenyeji:

Washabiki wa Simba walichukia kwa timu yao kukataliwa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa wenyeji wao:
Sasa ingetokea kesho yake Simba wakapeleka timu na wakafungwa hamwoni kuwa kungesababisha uvunjifu wa amani ?
Kwamba jana tumenyimwa kufanya mazoezi makusudi ili leo tufungwe. Kumbe ilikuwa ni mbinu ovu za nje ya uwanja:

Bodi ya Ligi waliona mbali sana, na kuamua kuahirisha mechi kwani Simba ingefungwa hali ya usalama ingekuwa mbaya sana:

Simba na Yanga ni timu kubwa zenye heshima nje na ndani ya nchi, na ni lazima zichukuliwe kwa heshima na tahadhari kubwa:


Baada ya kunyimwa kufanya mazoezi ya mwisho timu ya Simba iliathiriwa kisaikolojia na kuripoti kwenye vyombo husika kuwa kwa namna walivyofanyiwa mchezo mchafu na wenyeji wao haitokuwa tayari kucheza huo mchezo:
Wajibu wa Simba kufanya mazoezi ya mwisho ulikuwa chini ya Timu Mwenyeji, Yanga, na Yanga haikuwajibika kwa makusudi yao:
Hivyo Simba haiwajibiki kwa chochote kuhusu uhairishwaji wa mchezo huo:

Simba ilijua kuwa timu mwenyeji hakuwa na fair play ya mchezo, hivyo ili kulinda usalama wao na wa mashabiki wao haikuwa tayari kushiriki kwenye huo mchezo:
 
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby

Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.

Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake

TFF wametafuta njia zote za kuipa Simba ubingwa mwaka huu imeshindikana

TFF wamewapa Simba upendeleo kuanzia ratiba yaani viporo, waamuzi n.k

Sisi Wanachama wa Yanga tumestuka
TUTACHEZA na tutawafunga 5imba na shoga Yao Karia

Yanga tumedhamiria kuhakikisha Simba anatoka bila kombe msimu huu
Wewe utakuwa moyo wa pili wa msemaji wa Simba. Sio kwa ujinga huu
 
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby

Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.

Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake

TFF wametafuta njia zote za kuipa Simba ubingwa mwaka huu imeshindikana

TFF wamewapa Simba upendeleo kuanzia ratiba yaani viporo, waamuzi n.k

Sisi Wanachama wa Yanga tumestuka
TUTACHEZA na tutawafunga 5imba na shoga Yao Karia

Yanga tumedhamiria kuhakikisha Simba anatoka bila kombe msimu huu
Leteni timu uwanjani wiki ijayo hizo ngonjera zenu hazina mashiko.
 
Back
Top Bottom