apewe kikombe cha chai labdaViongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby
Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max π π na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.
Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake
TFF wametafuta njia zote za kuipa Simba ubingwa mwaka huu imeshindikana
TFF wamewapa Simba upendeleo kuanzia ratiba yaani viporo, waamuzi n.k
Sisi Wanachama wa Yanga tumestuka
TUTACHEZA na tutawafunga 5imba na shoga Yao Karia
Yanga tumedhamiria kuhakikisha Simba anatoka bila kombe msimu huu
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby
Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max
TutawafungaTatizo ni ile unabet kuwa Man U ifungwe upate hela, ila unapoangalia mechi unatamani Mani Yuu ishinde maana wewe ni shabiki lialia.
Sasa hiki ndicho kinachoikuta Yanga, viongozi hawataki kucheza, mashabiki wanata icheze
Viongozi hawawezi kukubali kulamba matapishiTutawafunga
Kikubwa ni kucheza ili kuwafunga hawa wahuniKama yanga hataleta tim na simba akapewa point 3, hio haitaishia hapo. Patachimbika kuliko palivyochimbuka sasa. Usalama wa bodi na TFF ni yanga akubali kucheza, otherwise ngoma itakua nzito. Nipo hapa tukutane tarehe 13 siku ya kikao cha maandalizi yake mchezo. Kama yanga hawatatokea kwenye kikao ina maana kweli hawachezi, oya tifu litaanzia hapo.
Hii game ndio ya kufungia msimu, tarehe 15 tunalevel hali ya hewa, iwe both team to score a.k.a GG... Halafu ndio ipangwe sasa tarehe rasmi ya hii game... Yaani ngoma inaahirishwa mara mbiliTatizo ni ile unabet kuwa Man U ifungwe upate hela, ila unapoangalia mechi unatamani Mani Yuu ishinde maana wewe ni shabiki lialia.
Sasa hiki ndicho kinachoikuta Yanga, viongozi hawataki kucheza ili wasipate aibu, mashabiki wanataka icheze waone burudani.
TUtajipigia hao.Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby
Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max π π na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.
Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake
TFF wametafuta njia zote za kuipa Simba ubingwa mwaka huu imeshindikana
TFF wamewapa Simba upendeleo kuanzia ratiba yaani viporo, waamuzi n.k
Sisi Wanachama wa Yanga tumestuka
TUTACHEZA na tutawafunga 5imba na shoga Yao Karia
Yanga tumedhamiria kuhakikisha Simba anatoka bila kombe msimu huu
Wahuni akina nani sasa mkuu? Mimi si shabiki wa simba wala yanga ila kwa namna soka la bongo linavyoendweshwa natamani yanga wasitokee ili liibuke tifu tu, viongozi wawajibike na kujifunza. Ile game iliingiliwa na wakubwa kisiasa tu, ndio maana kuna watu walikua wanajua kuwa game haipo wiki kabla ga game. Natamani kuona tifu ili soka liendeshwe kwa uhuru hat wa asilimia 90 najua 100% haiwezekaniKikubwa ni kucheza ili kuwafunga hawa wahuni
Muulize tena hajakuelewaAti unasemaje wewe
Muulize tena hajakuelewa
Acha mbwembwe uchwara. Utawala ya nini?Kama yanga hataleta tim na simba akapewa point 3, hio haitaishia hapo. Patachimbika kuliko palivyochimbuka sasa. Usalama wa bodi na TFF ni yanga akubali kucheza, otherwise ngoma itakua nzito. Nipo hapa tukutane tarehe 13 siku ya kikao cha maandalizi yake mchezo. Kama yanga hawatatokea kwenye kikao ina maana kweli hawachezi, oya tifu litaanzia hapo.