Ombi la Simba na TFF ni Yanga asilete timu, ili Simba apewe ubingwa wa mezani

Ingekuwa ivo Simba nae hiyo tarehe angetangaza kutotokea hadi reforms huko TFF zifanyike
Sasa 5imba wamekubali ili wajipatie ubingwa kirahisi
Ni hivi mbungwi inapigwa hiyo siku
 
Ingekuwa ivo Simba nae hiyo tarehe angetangaza kutotokea hadi reforms huko TFF zifanyike
Sasa 5imba wamekubali ili wajipatie ubingwa kirahisi
Ni hivi mbungwi inapigwa hiyo siku
Na hicho ndicho kinachonikera, kwamba soka haliendeshwi kwa misingi yake. Nataka kuona joto kali sana viongozi wajifunze jambo
 
Wavimba macho wakiambiwa hawana akili wanadai wanaonewa.Kuna mtu aliyewalazimisha kuropoka hatuchezi?Mpaka T-shirt mkachapisha?
Simba walisema hawachezi wakaandika barua moja tu ikatosha.
Wavimba macho kila siku matamko.Tokea lini vichaa wakawa na msimamo ?Kinachotokea mbele yao ndio hicho hicho wanachoamua, inategemea remote control kashika nani.
 
Huo mtego umewanasa
Si mliwategea TFF wawape kichaka mkimbie
Sasa hiyo tarehe 15 kiherehere kimewapanda mkasema mnataka game.
Sasa subiri hiyo tarehe ifike tuwapige 8
 
Na hicho ndicho kinachonikera, kwamba soka haliendeshwi kwa misingi yake. Nataka kuona joto kali sana viongozi wajifunze jambo
Hawa hawajifunzi acha tufanyiane uhuni watajua Yanga sasa
 
Aibu ipi inayokwepwa?
 
Msilete timu mjue hamjui
 
Ni sahihi. Uhuni ni mwingi sana.
 
Aibu 2, ya kwanza kuogopwa kufungwa na Mnyama, ya pili, kulamba matapishi, utaletaje timu wakati ulishasema hutaileta
5imba hana uweZo wa kumfunga Yanga

laZima Yanga tuje kuwaita aibu na kuhakikisha msimu wa 4 mfululizo mtoke bila kombe
 
Swali fikirishi je ripoti ya masaa 72 bado tu ya kuanzia tarehe 7-3-2025 hadi 8-3-2025, mechi namba 184 NBC premier league inatakiwa tujifunze makosa yaliyo fanyika tarehe 07-03-2025 kabla ya mechi ya tarehe 15-06-2025, ili yasije yakatokea tena timu ikakimbia hasa wale wenye uzoefu, (experience)

Kwa miezi mitatu Yana zidi masaa 2,160
 
Aibu 2, ya kwanza kuogopwa kufungwa na Mnyama, ya pili, kulamba matapishi, utaletaje timu wakati ulishasema hutaileta
Labda hiyo ya kulamba matapishi ila la kufungwa na Simba wala hakuna aibu kwasababu Simba ndiye anayeonekana ni mteja kwa Yanga. Mechi tisa, Simba imeshinda mchezo mmoja pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…