Ombi la Ukraine 🇺🇦 kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

Kitu nashindwa kuelewa ni haya Matamko na Suctions za kipuuzi kutoka kwa EU na Marekani while Russia yeye anaendelea kupiga tu na kuchukua Miji .
Huwezi kuelewa madhara ya sanctions kama unaangalia kwa jicho la ki ushabiki,jipe muda baadae utakuja kuelewa vizuri tu,waliyokuja na dhana ya sanctions hawakuwa wajinga. Unahitaji kuiangalia Zimbabwe kwanza kwa mfano mwepesi na rahisi wa madhara ya sanctions,au hata Zimbabwe hukuwahi kuijua ilivyokuwa kabla na baada ya Vikwazo?
 
Safi sana, wawahishe urasimishwaji wake wakati Putin bado amelemewa kuiteka Kiev, wakipata uanachama rasmi hapo ndio ngoma itanoga maana Putin atalazimika kuipiga bara Uropa yote.

Vitaifa vyote vidogo vidogo vinavyonyanyaswa na Putiin, huu ndio muda muafaka wa kujiunga maana Putin na Urusi wamedhihirisha udhaifu wao kwenye mapambano ya Kev.
Kwani EU ni millitary Block?
 
Watu hawajui vikwazo maana yake nini hata kwa Kiswahili rahisi tu
 
Safi sana, wawahishe urasimishwaji wake wakati Putin bado amelemewa kuiteka Kiev, wakipata uanachama rasmi hapo ndio ngoma itanoga maana Putin atalazimika kuipiga bara Uropa yote.

Vitaifa vyote vidogo vidogo vinavyonyanyaswa na Putiin, huu ndio muda muafaka wa kujiunga maana Putin na Urusi wamedhihirisha udhaifu wao kwenye mapambano ya Kev.
Akili tope kbs

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Masheikh wa Bongo ambao wanamsifia Putin kama mtume wanawapotosha nyie watu....

screenshot_20220228-225028-jpg.2134429
 
Mashekh wanahusika nini hapo? Mmechoka kutikisa maka... Sasa mnahamia kwenye dini?
Nina shaka unachembechembe za mchezo wa mapadri
 
Mpaka waje wakubaliwe kujiunga watakuwa wamechakaa. Yamebaki magofu
 
Mashekh wanahusika nini hapo? Mmechoka kutikisa maka... Sasa mnahamia kwenye dini?
Nina shaka unachembechembe za mchezo wa mapadri

Kuna video zinazunguka kwenye whatsapp masheikh wakimsifia sana Putin na kufurahi kwamba Marekani amekomolewa, halafu ukija kuangalia timu Putin wengi kwenye mitandao wanaomsifia Putin ni nyie nyie wale wale.
 
Kwa hiyo masheikh ni Pro-Putin na nyie mapadre ni Pro-west sio? Kumbe mnyukano hapa jf wote huu ni wa kidini zaidi? Basi sasa nimeelewa[emoji848]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kitu nashindwa kuelewa ni haya Matamko na Suctions za kipuuzi kutoka kwa EU na Marekani while Russia yeye anaendelea kupiga tu na kuchukua Miji .
Sanctions za EU na washirika zitamuumiza sana Urusi, na hasa Putin in the long run. Hamna kitu kibaya kama kiongozi wa nchi mwenye hulka ya Putin kushindwa kuhudimia watu wake wa karibu. Kwanza inamdhoofisha kimamlaka, pili inatoa ushawishi kwa maadui zake wa ndani kumla kichwa, halafu atakosa ushawishi kwa watu wake hasa wakiathirika kwenye utafutaji wa maisha ya kila siku na wakianza 'kufa njaa'.

Vita bila resources za uhakika itamuumiza sana kisiasa na kiuchumi. Unless apate support ya chini kwa chini, hii vita hataiweza kwa muda mrefu. Na akipata hiyo support lazima itamgharimu sana. Hakuna atakaempa support bila kudouble interests zake.
 
Kuna video zinazunguka kwenye whatsapp masheikh wakimsifia sana Putin na kufurahi kwamba Marekani amekomolewa, halafu ukija kuangalia timu Putin wengi kwenye mitandao wanaomsifia Putin ni nyie nyie wale wale.
Na wengi wanaomsifia mmarekani ni mashoga. Au wenye chembechembe za ushoga
 
Back
Top Bottom