Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Huwezi kuelewa madhara ya sanctions kama unaangalia kwa jicho la ki ushabiki,jipe muda baadae utakuja kuelewa vizuri tu,waliyokuja na dhana ya sanctions hawakuwa wajinga. Unahitaji kuiangalia Zimbabwe kwanza kwa mfano mwepesi na rahisi wa madhara ya sanctions,au hata Zimbabwe hukuwahi kuijua ilivyokuwa kabla na baada ya Vikwazo?Kitu nashindwa kuelewa ni haya Matamko na Suctions za kipuuzi kutoka kwa EU na Marekani while Russia yeye anaendelea kupiga tu na kuchukua Miji .