GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu, Kumdhalilisha hasa kwa aina ya Fikra zake pana alizokuwa nazo na Wapumbavu wengi wanatumia Siku yake hii ya Kukumbuka Kifo chake kama Tiketi ya Kutafuta Sifa na Huruma kwa Jamii au Kujikosha kusiko na maana na hata pia Kupiga Hela kupitia Tamasha lake.
Hovyo kabisa.
Rest In Peace Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anayekuenzi kweli ni Mimi tu GENTAMYCINE.
Hovyo kabisa.
Rest In Peace Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anayekuenzi kweli ni Mimi tu GENTAMYCINE.