Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Mi siyajui hayo maneno Ila nachangia ivoivo.. Huo utaratibu umeoushauri hauwezekani Katika utawala wa magu labda akija membe mwakani.. Hivyo vuta subira usiwe na haraka kama bao la kwanza
 
Wanafiki bwana wanamtaka Membe au Slaa?

Mi siyajui hayo maneno Ila nachangia ivoivo.. Huo utaratibu umeoushauri hauwezekani Katika utawala wa magu labda akija membe mwakani.. Hivyo vuta subira usiwe na haraka kama bao la kwanza
 
Kwa kawaida mapinduzi ya kijeshi au hata ya kiraia ni UHAINI, lakini pale ambapo maamuzi halali ya RAIA hayaheshimiki na yanadharauliwa jee UHAINI hauwezi kuwa ni njia halali ya kurudisha heshima ya maamuzi ya RAIA?

Maana kama RAIA maamuzi yao hayaheshimiki (kura) wataendelea kulalamika hadi lini? Au watarudia maneno "tunamwachia Mungu" hadi kizazi kipi?

Hili ni swali tuu linalo hitaji majibu na sio kuwa linawakilisha dhamira yangu
 
Kimsingi uchaguzi wa vitongoji /vijiji/mitaa waachiwe wananchi wenyewe tufanye yetu. Nimeshiriki chaguzi mbili, masmuzi manayajua palepale. Yaani mwawez hesabu kura watu wapo kwenye mstari wakioiga kura.

Baada ya hapo matokeo yakitoka unaenda kunywa pombe zetu zile Lita moja huku mkipeana heko. Kitendo cha kutoka kuwaamulia watu awe huyu au huyu kutasababisha matatizo makubwa kwa wananchi.

Nami nawashauri wenye mamlaka hii game watuachie wanKitogoji. Madiwani na wabunge ni rahisi kufanya miundombinu kwa sababu wao huondoka kijiini/mtaani na kuishi mbali, lkn chamen wetu kitaani tunaye daily, Ndoa zikizingua tunaenda kwake SAA 9 za usiku.

Naamini nilekeweka. Tena nafikiri hawa tuwachaguao wangesikuwa wanachama na Chama chochote.
 
Bila free and fair election guided by Inclusive people's Constitution hayo hayawezi kutendeka.

Vimeanza vioja vya kunyimwa Fomu za uchaguzi kwa watu wa vyama vingine, wakurugenzi kupigiliwa koti la kisheria Kama wasimamizi wa uchaguzi, mikutano kutoruhusiwa hayo unayoyapendekeza kwa wahusika hayawezi kutokea .
 
Hivi manavyolazimisha wenyeviti wa mitaa washinde uchaguzi manakua na akili kweli..yani mnalazimisha wananchi wawapende na kufanya kazi na watu wasio wataka..mnaenda kuwapa kazi sana hao wenyeviti..kimsingi wananchi hawatawapa ushirikiano.

Waacheni wananchi wachague wanaowapenda ili wafanye nao kazi vzr kwa moyo mmoja..msilazimishe jshindi wa makaratasi wa asilimia 100..

#MaendeleoHayanaChama.
 
Mkuu mayalla, wewe siyo mtu mdogo kwenye hii Tanzania, Hakuna siku umeona dosari za utendaji wa magufuli, na kama ulijaribu kumkosoa ni kijisafisha mbele za watu.
Duh...!.
Karibu mitaa hii ushuhudie jinsi ninavyosifu na kupongeza!. Unajua ombi hili ni kwa nani?.
P
 
Wanabodi,
Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread ya kutuma ujumbe maalum kwa watu maalum.

Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni ya Watanzania wote, wa vyama vyote, wa dini zote, wa makabila yote, wa jamii zote, wa jinsia zote, wa rangi zote, wa hali zote, na circumstances zozote,

Hivyo tunapokwenda kwenye uchaguzi, naomba kutoa ombi maalum kwa Wahusika Wakuu wa Uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, uendeshwe kwa kutumia kanuni ya Kilatini ya "Ceteris Peribus" na sio kutumia zile kanuni zetu za kawaida za "Mutatis Mutandis"!.

Taifa Litabarikiwa, Viongozi Wetu Watabarikiwa, na Sisi Wananchi Pia, Tutabarikiwa!.

Mungu Mbariki Rais Magufuli, na watendaji wake wapate uwezo, watumie "Ceteris Peribus" kwa vyama vyote.
Mungu ibariki Tanzania.

NB. Sijaweka ufafanuzi wa maneno "Ceteris Peribus" na "Mutatis Mutandis" sio kwa bahati vibaya, nimefanya hivi makusudi kwa sababu ujumbe huu ni ujumbe maalum na mahsus kwa watu maalum ambao mimi nawajua huwa wanatembelea sana jf, kwa vile watu hao, wanayajua maneno hayo, na wengine hayawahusu, sikufafanua ili ujumbe huu uwafikie walengwa tuu.

Hata Mungu alipataka kumfikishia ujumbe maalum mfalme fulani, alimtumia kiganja cha mkono kikaandika kwenye ukuta wake, "Mene Mene Tekeli na Peresi".

Nawatakia Weekend Njema,

Paskali.
Kwa vile sasa kampeni zimeanza, nimeona dalili za "Mutatis Mutandis"!, its not too late to apply "Ceteris Peribus"!.
Nawatakia kampeni njema.
P
 
Wanabodi,
"Ceteris Peribus" na sio kutumia zile kanuni zetu za kawaida za "Mutatis Mutandis"!.
Taifa Litabarikiwa, Viongozi Wetu Watabarikiwa, na Sisi Wananchi Pia, Tutabarikiwa!.
NB. Sijaweka ufafanuzi wa maneno "Ceteris Peribus" na "Mutatis Mutandis" sio kwa bahati vibaya, nimefanya hivi makusudi kwa sababu ujumbe huu ni ujumbe maalum na mahsus kwa watu maalum ambao mimi nawajua huwa wanatembelea sana jf, kwa vile watu hao, wanayajua maneno hayo, na wengine hayawahusu, sikufafanua ili ujumbe huu uwafikie walengwa tuu.

Paskali.
Leo ndio siku ya bandiko hili, hivyo nafuatilia kama Ceteris Peribus" inatumika, au tunaendelea na "Mutatis Mutandis"
baada ya zoezi kukamilika, nitakuja kuwajulisha kama lilikuwa Ceteris Peribus" au "Mutatis Mutandis"
P
 
Wanabodi,
Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread ya kutuma ujumbe maalum kwa watu maalum.

Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni ya Watanzania wote, wa vyama vyote, wa dini zote, wa makabila yote, wa jamii zote, wa jinsia zote, wa rangi zote, wa hali zote, na circumstances zozote,

Hivyo tunapokwenda kwenye uchaguzi, naomba kutoa ombi maalum kwa Wahusika Wakuu wa Uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, uendeshwe kwa kutumia kanuni ya Kilatini ya "Ceteris Peribus" na sio kutumia zile kanuni zetu za kawaida za "Mutatis Mutandis"!.

Taifa Litabarikiwa, Viongozi Wetu Watabarikiwa, na Sisi Wananchi Pia, Tutabarikiwa!.

Mungu Mbariki Rais Magufuli, na watendaji wake wapate uwezo, watumie "Ceteris Peribus" kwa vyama vyote.
Mungu ibariki Tanzania.

NB. Sijaweka ufafanuzi wa maneno "Ceteris Peribus" na "Mutatis Mutandis" sio kwa bahati vibaya, nimefanya hivi makusudi kwa sababu ujumbe huu ni ujumbe maalum na mahsus kwa watu maalum ambao mimi nawajua huwa wanatembelea sana jf, kwa vile watu hao, wanayajua maneno hayo, na wengine hayawahusu, sikufafanua ili ujumbe huu uwafikie walengwa tuu.

Hata Mungu alipataka kumfikishia ujumbe maalum mfalme fulani, alimtumia kiganja cha mkono kikaandika kwenye ukuta wake, "Mene Mene Tekeli na Peresi".

Nawatakia Weekend Njema,

Paskali.
Nilipenda sana makala na hoja zake zikigusa maeneo mengi. Leo ni upande mmoja tu kusifia.
Nikiona makala yake huwa nasoma tu kichwa naishia.
Mkuu Mzamifu, karibu katika makala hii, uangalie jinsi ninavyosifu sifa fulani zinazoitwa " Ceters Peribus" na "Mutatis Mutandis"
P
 
Paskali, Paskali, Paskali.
Umepatwa na nini?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anasema kuwa tarehe 28 Oktoba 2020 kulikuwa na Uchaguzi Mkuu?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anakubaliana na "matumizi ya bilioni 350 kwa kile kilichofanyika Oktoba 28'?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anakubaliana na alichokifanya Ndugai na Halima Mdee 'et al'?
Nimeona AG akinukuliwa na Gazeti la Uhuru juu ya haki za Halima Mdee na wenzake!
Mwanasheria Mkuu ambaye aliukunja mkia wake mithili ya mbwa mwoga wakati Tume ya Uchaguzi ikiinajisi Katiba ya Nchi kwa kuhakikisha kuwa Mawakala wa Vyama vya Watu hawaingii kwenye Vituo vya Kupigia Kura.
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu, mwenye uzalendo na nchi yake, mwenye uchungu na masikini wa Nchi hii ambaye anaweza kuunga mkono matumizi ya shs. bilioni 13.68 za mishahara ya Wabunge hao19 kuhalalisha ubatili wa tarehe 28 Oktoba 2020?
Nakumbuka 'novel' ya " Cry, the beloved Country".
Napata faraja nikijifunza kutoka kwenye Historia kuwa "daima, dhuluma itashindwa".
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu fundimchundo , nimeguswa na bandiko lako hili, mimi ni realist, ma realists wote, hata kama hau support kilichofanyika, lakini when kumetokea kitu kilichotokea, and there is nothing anyone can do to change the situation, ma realists wote tunakubali matokeo, katika muktadha wa appreciating the situation and suggest the best way forward out of the situation.

Vyama vya siasa sio mali ya watu, viongozi, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote yatafanywa kwa kutanguliza maslahi ya umma.
Kwenye hili, maslahi ya umma ni kwa wapinzani hao wachache waliopata fursa ya kuingia Bungeni, waingie waka salvage what is left of opposition in Tanzania.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha, kuwa tulishauri pia the best way forward, ukitoa ushauri mzuri, hata kama haukufuatwa, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako.

Mimi nimetimiza wajibu wangu.
Kama kosa langu ni kuukubali ukweli jinsi ile ulivyo, nalikubali kosa hili.

P
 
Wanabodi,
Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread ya kutuma ujumbe maalum kwa watu maalum.

Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni ya Watanzania wote, wa vyama vyote, wa dini zote, wa makabila yote, wa jamii zote, wa jinsia zote, wa rangi zote, wa hali zote, na circumstances zozote,

Hivyo tunapokwenda kwenye uchaguzi, naomba kutoa ombi maalum kwa Wahusika Wakuu wa Uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, uendeshwe kwa kutumia kanuni ya Kilatini ya "Ceteris Peribus" na sio kutumia zile kanuni zetu za kawaida za "Mutatis Mutandis"!.

Taifa Litabarikiwa, Viongozi Wetu Watabarikiwa, na Sisi Wananchi Pia, Tutabarikiwa!.

Nawatakia Weekend Njema,

Paskali.
Uchaguzi ulikuwa wa haki na huru?

Umejibu hili?
Mkuu Kiranga, kwa vile wengi wanauzungumzia uchaguzi based on kilichotokea, mimi nimeanza kuuzungumzia zamani na matokeo ya uchaguzi wa 2020, niliishayajua tangu ile 2015 baada ya Jembe JPM, kuingia ulingoni.
Karibu pande hizi
P
 
Back
Top Bottom